Sisi tunaopika kwenye masherehe usitusahau. Jana nimemuona open kitchen anapika mboga ya maboga, utumbo, mlenda na ugali ajilie.biashara ya umc, umiliki wa kumbi, mambo ya make up saloon kwa sasa sio nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa aiseee, kuwa hata na bustani ya matembele tuHuu ni wakati wa kujifunza kuwa na akiba
CCM wamepata kisingizio, kuwa walianzisha viwanda vikaishia "kuuliwa na corona"!! Hawa watu sidhani kama wataiona mbingu.Viwanda vitauzwa sana mwezi huu
Kuna jamaa mmoja kule LINKEDIN huwa anapost hio teknolojia, ni nzuri sana.Kwenye flats mate mbele tunaoresha barazani kwenye ndoo chakavu
Si anajua kinga zao za mwili ni hafifu halafu wagonjwa wote wamejazana huko. Wapumzike kwa Amani in advance.Jana Bashiru anasema CCM ilindwe hasa kipindi hiki cha corona.
Sema ni vibishi utadhani vinakuaga "Member of Parliament" kila wakatiJana Bashiru anasema CCM ilindwe hasa kipindi hiki cha corona.
Hahaha it is my birthday nimekupa kicheko kama zawadi.Kaka you made my day 😂😂😂😂😂😂
Hivi natakiwa niitikieje Dada, maana nimekurupushwa tu kuwa Leo ndio birthday.Happy Birthday brother
Mkuu Elli naomba kutofautiana na wewe, CCM inategemea mabavu ya vyombo vya dola tu ku-survive.Dah ndio maana tunaambiwa tusitegemee mkono mmoja tu kama mi-ccm inayotegemea majungu ili ku-survive