harusi

  1. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua suti ya harusi kwa bei nzuri

    Nahitaji suti ya harusi, bei poa, kali na yenye rangi ya kisasa. Nijuzeni ni rangi gani nzuri na nitapata wapi kwa hapa Dar. Asante.
  2. Trubarg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya na harusi za mchana

    Naomba kufahamu, why Mnapenda fanya party za harusi mchana?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Na corona hii michango ya harusi ni ya nini sasa?

    Hebu acheni ujinga wa kutuchangisha michango ya harusi wakati hakutakuwa na sherehe yeyote kwa mwaka mzima huu. Kama kuna ulazima wa sherehe basi hamtazidi watu kumi Sasa MC, buffet, DJ, Ukumbi, Mapambo, magari ya kukodi, etc kwa ajili ya nini? Naomba mnipotezee na vikao vyenu vya Whatsapp!
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Corona wahurumie Ma emsi wa harusi

  5. Masulupwete

    JamiiForums Tanzania Nani wa kuvunja mnyororo wa michango ya harusi?

    Ninavyoona hii michango ya harusi ni mnyororo wa kutajirisha watu tu kwa kisingizio cha kuwanufaisha/ kusherehesha wanaharusi. Kiukweli, mnyororo huu itabidi ifike wakati uvunjwe (kama sio kizazi hiki basi kijacho) kwani kamwe haupo kwa maslahi ya wanaharusi kama inavyodhaniwa na wengi, zaidi...
  6. Bellami

    JamiiForums Tanzania Dishdasha la harusi

    Nakumbuka siku moja nilikosa nguo ya kuvaa kwa harusi na nilialikwa kitambo na mchango nilitoa, siku yenyewe ya harusi ndio nikakumbuka kua kuna shughuli na muda haukua rafiki...basi nikajivalia dishdasha langu hili hapa na nilikua nikiulizwa na kila mtu umenunua wapi ???? Usiwe miongoni mwa hao...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Rais Uhuru na Margaret Kenyatta

    Ilikua mwaka 1991
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Harusi yangu ilikuwa ya kawaida sana Kitche Party tuliifanya nyumbani

    Kitchen Party tuliifanya nyumbani. Tulipika wenyewe tena nilipika chapati mpaka saa 10 ndiyo nikaenda saloon. Chakula kilikuwa pilau, chapati na mchuzi wa kuku, ndizi nyama na kachumbari. Vyote tulipika nyumbani na binamu walihudumia. Watu walikuwa kama 50 hivi majirani na marafiki...
  9. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Nimevunja uchumba sababu ya Majina ya Watoto na gharama za harusi

    Nimendika baada ya kuona post kama hii ila ina utofauti kidogo. Kwa upande wangu hii ilinitokea Mwakajana ambapo kuna dem nilimuweka target nikasema huyu anaweza kuwa mke kwa mvuo wake, maana binafsi ninajali sana hisia zangu na ninajua mizigo inayo niwehusha. Basi huyu alikua anakaba engo...
  10. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Mabibi harusi acheni kuwachoresha mabwana harusi kwa kuwalazimisha kucheza "stepu"!!

    Kuna hii tabia imezuka siku za hivi karibuni japo ilikuepo pia zamani. Tabia yenyewe ni hii ya maharusi kuingia ukumbini huku wakicheza muziki kwa step ili "kuchangamsha" shughuli. Kichekesho ni pale unapokuta mmoja wapo wa maharusi hasa mwanaume sio mtu wa muziki na hajui kabisa kucheza...
  11. CORAL

    JamiiForums Tanzania Wenzi wa ndoa wajinyonga mara tu baada ya ya harusi. Pana funzo hapa

    Ile tabia ya wachumba kufanya sherehe za gharama kubwa wakitegemea michango ya watu imewagharimu uhai wanandoa mara baada ya harusi yao huko Kenya. Walikodi hoteli ya nyota 5, walikodi helikopta na mbwembwe nyingine nyingi wakiamini michango itawacha wakiwa mamilionea baada ya harusi. Lakini...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mabibi harusi wa Sudan wanashinikizwa kukeketwa ili kuwa 'mabikra'

    Katika msururu wa barua kutoka Afrika, mwandishi Zeinab Mohammed Salih anaangazia swala la ukeketaji kwa mara ya pili nchini Sudan. Baadhi ya wanawake nchini Sudan Kusini wameamua kufanyiwa ukeketaji mwezi mmoja ama miwili kabla ya harusi yao ili 'kujifanya kuwa mabikra'. Hili linafanyika hata...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Magauni ya harusi ya promotion ya kufunga mwaka

    Tunatoa promotion ya kufungia mwaka. Gauni lolote utakalo chagua kukodi gharama itakuwa 100,000/- tu. MAGAUNI yapo mengi na ni mazuri sana. Ofa hii mwisho tarehe 31/12/2019 Wahi Sasa ujipatie gauni lako la HARUSI upendeze siku ya HARUSI yako. Tupo ukonga banana.Tupigie 0717441943 au 0621940560...
  14. Jackal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Newly Married Couple Commits Suicide over Wedding Debt in Kisumu

    Newly Married Couple Commits Suicide over Wedding Debt in Kisumu Two families in Kisumu are mourning their two children who together committed suicide 4 days after their beautiful wedding. According to Sources, the newly married couples allegedly killed themselves because of the huge debt they...
  15. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Bwana na Bibi Harusi wajinyonga

    Katika hali ya kusikitisha nchini kenya bwana na bibi harusi wameamua kujinyonga ili kuepukana na madeni baada ya harusi yao. ======= Mtandao wa Kenya today umeripoti kuwa wanandoa wawili Keneth na Mary Odipo waliofunga ndoa ya kifahari huko Kisumu wiki mbili zilizopita wamejiua kutokana na...
  16. rr4

    JamiiForums Tanzania Kimuhemuhe cha Harusi Chaua

  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Darleen: Aliyemremba bibi harusi fundi kweli kweli!

  18. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni sahihi kweli? nini kazi ya bwana harusi?

    Habari zenu wanandugu!!! Nimekuwa mshenga nasimamia harusi ya ndugu yangu. Jana tulikuwa tunawaza zawadi ya bibi harusi tukataja mambo mengi sana. Kisha nikawaza.. 1. kuna haja kweli ya familia ya bibi harusi kumnunulia kila kitu binti yao wakati anaenda kuolewa? yaani kitanda, kabati, vyombo...
  19. Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Hii Kitu nilitaka kuipost hapa miezi kadhaa iliyopita sema nikasahau, leo kuna jamaa kanipigia anataka nimtumie dolali za mchango wa harusi ya binamu yake ambaye hata simjui wala sijawahi msikia. Tuendelee:- Wakuu hii kitu bado bongo ipo tena siku hizi ni project kubwa na za garama ya juu...
  20. E

    JamiiForums Tanzania MASHELA MAPYA KWA BEI CHEE

    Nakodisha mashela MAPYA na yaliyovaliwa kidogo. Bei ya ofa ya kufungia mwaka. Shela lolote utakalochagua bei ni 150,000/ wahi sasa uchague kilichobora upendeze kwenye Harusi yako Kwa bei Chee kabisa. Napatikana banana ukonga.Simu 0717441943
Back
Top Bottom