Harusi yangu ilikuwa ya kawaida sana Kitche Party tuliifanya nyumbani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Kitchen Party tuliifanya nyumbani. Tulipika wenyewe tena nilipika chapati mpaka saa 10 ndiyo nikaenda saloon. Chakula kilikuwa pilau, chapati na mchuzi wa kuku, ndizi nyama na kachumbari. Vyote tulipika nyumbani na binamu walihudumia.

Watu walikuwa kama 50 hivi majirani na marafiki. Tulipiga mziki mpaka watu walipopungua kabisa tulibaki ndugu tukahamishia party ndani.

Sherehe ya nyumbani haina gharama kubwa. Tulikodi viti watu walikaa nje na hakukua na mvua.

Send Off ndiyoilifanyika kwenye hall, tiki kodi na catering service.
 
"Skai Ekurat" (in JPM voice) vipi bado upo kwenye hiyo ndoa au ni stori ndefu..? 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom