harusi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya ndoa

    Augustine Makule na Mpenzi wake Rose Kimaro wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya siku ya harusi yao. Ajali hiyo ya pikipiki iliyotokea eneo la zuzu Dodoma na kupelekea kijana Agustino kukatwa mguu wake wa kulia na vidole vitatu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Magari mazuri ya harusi yakukodisha - Tanzania wedding car rental

    Je unategemea kuwa na Harusi au Send-Off hivi karibuni? Je unajiuliza ni wapi utapata huduma bora ya usafiri wa harusi yako? Jibu ni moja tu @magariyakukodi_carrental Wasiliana nasi sasa, kuuliza bei ni Bure kabisa! Call/WhatsApp : 0788457446 Office : Kijitonyama Bei kuanzia 150,000
  3. JamiiForums Tanzania Changamoto ya michango ya harusi

    Suala la michango ya harusi wenzangu limekua changamoto sana katika jamii na kwa baadhi ya wenzangu sijajua na nyie kwenu wana jamvi tusaidiane mawazo. Wakati unaoa wewe unaomba michango na una post kwenye magroup ya classmates, work mates na majirani kuna watu watakuchangia na wengine hawata...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima wa kubadilisha namba ya simu baada ya harusi?

    Hivi kuna ulazima wowote wa kubadilisha namba ya simu baada tu ya kuoana? Nyie mnaobadilisha sababu gani inawafanya mbadilishe namba zenu za simu?
  5. JamiiForums Tanzania Namna nilivyofunga ndoa kwa harusi nzuri na kubwa (ya ndoto yangu) bila kuchangisha wala kukopa

    Wasalaam, Kuna wadau wanaumizwa sana na madeni ya harusi baada ya kufunga ndoa, inampelekea mtu mpaka muda wa miaka minne akilipa tu deni la harusi ya ndoa yake. Kuna jamaa mmoja kwenye Ofisi yangu ya zamani alifunga ndoa kwa sherehe kubwa na baada ya miezi mmoja akawa anadaiwa karibia na kila...
  6. JamiiForums Tanzania Binti amlalamikia mpenzi wake kwa kumvalisha pete ya shilingi elfu 23,000

    MDADA - "Hi Nimevalishwa pete ya uchumba mwezi wa 6. Nilifurahi sana sababu sikutegemea. pete haina hata miezi 2 imeanza kupata kutu. Hata marafiki zangu chuo wameanza kunicheka kuwa nimevalishwa pete fake. Kuna rafiki wa mchumba wangu nimeongea nae ameniambia pete yangu ni ya elfu 23...
  7. JamiiForums Tanzania Bangladesh: Bwana harusi na wageni wake wapigwa na radi, wajeruhiwa na wengine wafariki dunia

    Wakuu, Radi nchini Bangladesh imewapiga na kuwaua wageni 17 waliohudhuria sherehe ya harusi moja nchini humo. Watu 14 wengine ikiwemo bwanaharusi walijeruhiwa. Wakati huo bi harusi hakuwepo katika sherehe hiyo. Sherehe hiyo ilikuwa inafanyika katika boti moja katika mji uliopo karibu na mto wa...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

    Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba...
  9. JamiiForums Tanzania RC Pwani: Sherehe za harusi zinaweza kuahirishwa kwa hekima ya kulinda Afya za Watu

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge alisema maelekezo ya Wizara ya Afya ni ya kusimamiwa kwa kuchukua tahadhari kwanza katika sehemu zote za huduma kwa kuhakikisha kuna maji tiririka, vitakasa mikono, kukaa mbali kati ya mtu na mtu na watu kuvaa barakoa. Kunenge alisema serikali imeshatia...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kodi zingetozwa kwenye harusi ingefaa sana

    Napendekeza Serikali ianze kuangalia suala la kodi kwenye harusi. Binafsi kwa mwaka nachangia karibu laki sita kwenye shughuli za sherehe za harusi. Huko nakunywa soda zisizozidi 6 na maji madogo 6 pamoja na chakula ambacho nikiagiza hotelini hakizidi sh.elfu 60 yaani milo sita. Sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

    Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu [emoji26] Taratibu zote za harusi...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nyie hawa hawa wanandoa au ni wengine?

    Salaam. Happy saba saba day, Twende kwenye topic, Nimekuwa nikikutana na clips nyingi kwenye youtube channels za ma MC's wa shughuli za harusi na kushudia vile watu wanakiwa wanasherehekea kuingia katika ndoa, promises kibao na mambo kedekede, inshort huonesha kwamba kwamba wako smart couple...
  13. JamiiForums Tanzania Usilete mbwembwe kwenye Harusi; utalia

    USILETE MBWEMBWE KWENYE HARUSI, UTALIA. Na, Robert Heriel Leo Taikon sitakuwa na maneno mengi maana kuna wadau wangu hupenda ndizi kisukari, hupenda fupi fupi. Haya, usilete mbwembwe kwenye Harusi tadhani wewe ndio mtu wa Kwanza kufanya Harusi, utalia. Usilete mbwembwe kwenye Harusi ikiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wedding and Sendoff costumes thread, uzi wa mavazi mbalimbali ya harusi

    Habarini za jioni, Ningependa kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa watu wote kwenye jukwaa hili walioonyesha nia ya dhati ya kunisupport tangu naanza kufanya hizi shughuli za kushona mpaka leo hii nna miliki brand yangu mwenyewe ambayo haina muda mrefu kwenye soko ila imezungukwa na watu...
  15. JamiiForums Tanzania Ni Harusi ipi ( gani ) inayonoga zaidi na ndiyo inatakiwa kwa Maisha ya sasa ( Magunu na Nafuu ) kati ya hizi Mbili zifuatazo?

    A. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Kuomba ( Kupitisha ) Michango kwa Watu na bado wakija Ukumbuni Bia za Kulazimisha kupewa, Soda za Kuvizia na Chakula cha Kukadiriwa na hapo hapo bado unatakiwa ukawawazawadie wana Ndoa Meza Kuu? B. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Wanandoa Kujichanga Wenyewe kwa kila Kitu huku...
  16. JamiiForums Tanzania Nalaani kitendo alichofanyiwa mke wangu siku ya harusi yetu

    RIP Fredwaaa. Nalaani kitendo alichafanyiwa mke wangu mpendwa siku ya harussi yetu. Siku ya harusi mke wangu na mimi tukiwa ukumbini tulishtuka kuona mtu akichukua mic na kuanza kumdai waifu mbele ya wageni waalikwa. Kwani kulikuwa na shida kusubiri wageni watoe zawadi kisha tulipe deni.
  17. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mbinu wanayotumia vibaka kufanya uhalifu kwenye sherehe, hasa harusi

    Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia" Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
  18. JamiiForums Tanzania Kijana anayeanza maisha na anataka kufunga ndoa afanye nini ili kupunguza gharama?

    Wakuu wanajukwaa wasalaam, Msaada, kwa kijana anayeanza maisha na anataka kufunga ndoa ya kikristo bila kutumia gharama kidogo za harusi. Au afanyeje ili kuepukana na gharama za harusi, je umewahi kushuhudia ndoa/ harusi ya bei rahisi? Je likuwaje? Je umewahi kuhudhuria ndoa isiyo na harusi...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Katika harakati zangu za harusi nimepata idea ya App

    Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo nikapata wazo la kutengeneza web App ambayo itakuwa ikifanya management ya weeding and kitchen party...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Robert Mugabe na Sara Francisca 1961

    Kwa picha harusi ya Robert Mugabe 1961 Wote ni wendazake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…