Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.
Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi...
Nawasalimu katika jina la chama pendwa CCM.
Leo nimekuja kitofauti.
Leo ninatoa maoni yangu kuhusu mambo ya mapenzi na ndoa. Kabla sijaelezea nataka kila msomaji ajikumbushe ule msemo usemao "fuata maneno yangu sio matendo".
Leo nitaongelea kitendo cha madhehebu yetu hasa ya kikristo...
Ni kawaida kukuta reservation kwenye mabar, ma pub na maeneo mengi mashuhuri. Hawa wanaokutana as if ni jambo la maana Sana hivi mdg zangu wanachangia au Ndio mambo ya kifahari.
Naenda Zang maeneo nakuta Kuna reservation imewekwa🧐💅💅baada ya Muda naona mabox ya keki yakiingia. Ukiuliza ni nn eti...
Last week jamaa angu alikua anaoa,so kwenye sherehe nikachapa tungi sana then nikakamatia mtoto flani wa kike nikaruka nae debe sana, kumbe mle ukumbini wife alikua na makachero wake ambao walimtumia picha za kila tukio nililofanya.
So baada ya kuona picha zangu nimekamatia kiuno cha mtoto wa...
Unakuta haamini Kama kaolewa?
Anajua anaenda kulala uchi (popo) kila usiku?
Anajua msela atabandua papuchi Bila malipo?
Au Huwa nimaigizo?
Maana nimeshindwa kuelewa machozi yanahusikaje pale
Vijana wengi tunaogopa kuingia kwenye ishu za ndoa rasmi Ila tunda tunapata adi Basi.
Sababu gharama za harusiNni changamoto mno.
Je, wewe uliye ingia katika ndoa kwa kufanya harusi Ni Jambo gani linakufanya huitamani hiyo siku kila siku Bila kuisahau.
Wakuu Kwema!
Leo sina mengi!
Ujumbe huu unawahusu zaidi wasomi hasa kutoka dini ya kikristo.
Vijana acheni kusubiri Embe kwenye Mnazi!
Msichelewe, ikiwa Una mwenza wako, na una miaka 27-30 amueni kuzaa ikiwa mnaona mambo Yenu bado hayajakaa Sawa.
Msisubiri embe dodo kwenye mnazi. Safari ya...
Mwanamuziki wa zamani Patrick Balisidia alizaliwa mwaka 1946, mwaka uliofuata yaani 1947 alizaliwa dada yake aliyepewa jina la Ndyanao.
Patrick na Ndyanao walielewana sana na walikua kama mapacha. Siku ya harusi ya Ndyanao, kaka yake Patrick alimuimbia mwimbo wa harusi ambao wengi mnaufahamu...
Kapo pendwa kunako Bongo Fleva, Billnass au Nenga na Nandy ‘The African Princess’ wanatarajia kufunga ndoa Juni 25, mwaka huu.
Hiyo ni kwa mujibu wa Baba wa Nandy, Charles Mfinanga alipokuwa akizungumza mara baada ya hapo jana Billnass kumvisha Nandy pete ya uchumba.
Utakumbuka hiyo ni mara ya...
Stori ya kushangaza nchini Rwanda imetokea, Bi harusi aliyetambulika kwa jina la Nadine anadaiwa kurogwa na Ex wake ambaye walipendana kwa muda mrefu na ndiye aliyemsomesha.
Inaelezwa kuwa jamaa alikuwa akimgharamia kila mahitaji yake yote, alimnunulia gari, viwanja ila mwishowe Nadine...
Naombeni ushauri wakuu kama mnavyojua tarehe mbaya hizi hapa nilipo nimenasa haswa Sina hata mia yaani ikitokea ghafla bill ya maji au umeme naaibika maana kila ninayemgusa analia njaanuary kapeleka watoto shule.
Back to the topic Kuna group letu la shule kuna jamaa yangu tumemchangia mchango...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi akiwa katika kikao cha baraza la Madiwani amesema kuwa mapato mengi yanapotea kwenye harusi,Mc na wapishi wa vyakula hivyo watendaji wa halmashauri wanapaswa kupita mtaani na kumbi za sherehe ili kukusanya mapato hayo kikamilifu.
"Tumepitisha makadirio ya...
Mume wangu tulikutana chuo, mimi nikiwa na miaka 20, yeye 21. Tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume.
Tulikuwa tukiandika majarida mitandaoni ndo tunapata pesa ya kujitunza wenyewe, na ndo pesa nilimsomeshea mdogo wangu kwani mama alikuwa mgonjwa na tuliishi maisha duni sana. Mimi na mume...
Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao.
Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata...
Kutokana na ugumu au vipaumbele vya maisha, watu wengi wanajitahidi kupunguza matumizi ya fedha yasiyokuwa ya lazima. Sasa wewe kipato chako hakitoshelezi kufanya sherehe ya harusi kubwa, huku ukitaka sherehe yako ianzie labda milioni 20, wakati wewe kianzio ulichonacho labda milioni 1; hizo...
Augustine Makule na Mpenzi wake Rose Kimaro wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya siku ya harusi yao.
Ajali hiyo ya pikipiki iliyotokea eneo la zuzu Dodoma na kupelekea kijana Agustino kukatwa mguu wake wa kulia na vidole vitatu...
Je unategemea kuwa na Harusi au Send-Off hivi karibuni?
Je unajiuliza ni wapi utapata huduma bora ya usafiri wa harusi yako?
Jibu ni moja tu @magariyakukodi_carrental
Wasiliana nasi sasa, kuuliza bei ni Bure kabisa!
Call/WhatsApp : 0788457446
Office : Kijitonyama
Bei kuanzia 150,000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.