Producer: Harmonize aombe msamaha

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,576
18,894
Producer wa Kenya aliyeibiwa beat na Harmonize amtaka Harmonize aombe msamaha la sivyo atafuta hata audio ya Uno baada ya video kufutwa, pia ataenda mahakamani kudai haki yake.
 
Anatafuta kiki kwa kokoteni

Mbona ye kaiba kwa olamide
Kiki kivp?huyo mkenya Hana masihara asipo angalia vizuri harmonize huyo mkenya atampeleka mahakamani Kama kaweza kufuta video ya uno atashindwa vp kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom