Rayvanny afichua siri ya Harmonize kuondoka WCB

kid ink tz

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
307
320
Pamoja na Jina la Harmonize kuwa kubwa ila inaonekana RayVanny kamzidi mkali huyo kwenye mapato. Kupitia Dizzim online jana Rayvany amefunguka vitu vingi juu ya beef la Harmonize na WCB Wasafi.

Amefunguka kwa kusema mwanzo alijua mwenye kosa ni Uongozi wa Wcb Wasafi akawa anawalaumu management yake kwa ukubwa sana. Anasema kipindi hicho Harmonize alikuwa anampigia Simu wanabonga zaidi ya Masaa matatu kwa siku.

Mara zote Harmonize alikuwa anaonekana kulaumu uongozi na kwamba yeye hakupenda kutoka Wcb Wasafi.

Ila mambo yakawa tofauti baada ya Harmonize kutoka Rasmi WCB. Kwa mujibu wa Rayvany inasemekana Harmonize alikuwa anawalipa Online TV ili wamlinganishe na Diamond ili kumkuza yeye na kumuonesha Diamond kwamba yeye ni mkali zaidi yake.

Amesisitiza kwa kusema alibariki kutoka kwa Harmonize na kwenda kujitafutia kivyake ingawa kwa upande wake yeye anasema bado yupo WCW.

Ameongeza kwa kusema yeye pia ana mkwanja mrefu hashindwi kujilipia video wala kusambaza ila anaamini bado Management yake ni sehemu sahihi maana hata akitoka WCW atataka Management ambayo pia lazima wagawane mapato.

Ameongeza kwakusema yeye anaingiza pesa nyingi mara tatu ya anazoingiza Harmonize kwenye Digital Platform. Hii maana yake Rayvany ana pesa kuliko Harmonize sema Harmonize MISIFA.

Rayvany amefunguka kukerwa na Uswahili wa Bwana Harmonize kwenye vitu kadhaa.
Mfano Nyimbo zake nje ya Wcb nyingi zina vijembe kwa WCB kama vile Kondegang wanaiogopa na kadhaa. CHOCHOTE CHA KUSEMA??
 
Hivi hawa wasanii umuhimu wao kwa mashabiki ni nani ana pesa zaidi au kazi ya nani ni nzuri ?
 
Visafwa havina tofauti na vigogo, akili havina.

Ndio Yale Unajichomeka Kwenye Beef Ambalo Hata Halikuhusu.

Mwisho Wa Siku Diamond Akielewana Na Harmonize ( Maana Mgogoro Wao Ni Wa Maslahi ) Unabaki Umetoa Ulimi Nje Kama Mbwa Aliyeko HEAT.

TAKATAKA KABISA
 
Ray apambane na hali yake kapuuzi flan show off nyingi hela hakana. Kupanga nyumba kodi 1.8M kwa mwezi imekashinda kametimuliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom