Bedroom ya Harmonize matusi matupu halafu baadaye walalamikie BASATA

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,094
2,000
Nimeisikiliza hii nyimbo ya Harmonize na watu kibaoo matusi matupu yamejaa ni aibu hata kusikiliza na mtoto au mtu mnaeheshimiana.

Kwanini wasanii siku hizi wanaimba matusi namna hii? Wakifungiwa wanalalamikia BASATA lakini makosa ni yao wenyewe.
Mfano yani Rosaree anataja neno FUCKEN... kweli? Its not our culture.

Rai yangu, wasanii imbeni nyimbo zenye ujumbe kama zamani. Sio kila siku matusi tuu

Link ya wimbo
 

Mwl.RCT

Verified Member
Jul 23, 2013
8,601
2,000
Nimeisikiliza hii nyimbo ya harmonize na watu kibaoo matusi matupu yamejaa.. aibu hata kusikiliza na mtoto au mtu mnaeheshimiana... kwanini wasanii siku hizi wanaimba matusi namna hii..
Umepewa angalizo/ Tahadhari kuhusu huu wimbo.
Je malalamiko ni ya nini hasa??
1587437960837.png

Wimbo umetoka wiki tatu zilizopita, na wamefuata taratibu zote walizo wekewa kufuata kabla ya kuachia wimbo.
Tatizo liko kwako, sio kwa wimbo husika.
1587438185301.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom