Mkopo wa haraka unahitajika ili kukamilishaoda za wateja.

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
4,885
10,615
Wakuu habari zenu

Nina uhitaji wa mkopo wa haraka ili niweze kufanikisha biashara yangu na nisipoteze watena hivyo ninahuitaji wa haraka wa mkopo kiasi cha milioni 1.4 au 1.5 (milioni moja na nusu)

Muda wa kurejesha ni ndani ya siku 14 yaani nusu mwezi kitu cha kukaa kama dhamani ni pikipiki aina ya tvs pamoja na kadi yake.

Mwenye msaada au anayeweza kusaidia hili tuwasiliane kwa namba 0769 055050.

Asante.

Update:
1-01-2023
wakuu habari zenu tena na heri ya mwaka mpya .

Nilileta uzi wa kuomba mkopo wa haraka kwa ajili ya kukamilisha oda za biashara.
Nashukuru kuna wadau walinipa ushauri na michango mbalimbali na baadhi nimefanyia kazi na mashukuru sio haba.
Niliongea na baadui ya wateja wangu watoe advance na kweli wawili walitoa advance so huitaji wamkopo sasa umepungua.

Kiasi kinachohitajika sasa ni laki 9 ili nikamilishe kabisa oda zao na nichukue oda mpya nimeogopa kuchukua oda nyingine nimeona kama ninateseka sana kuokoteza mtaji na biashara bado haijasimama vizuri.

Mwenye kuweza kunikopesha hiyo laki 9 tafadhali karibu tuyajenge ni dharura.
 
wakuu habari zenu
ninauhitaji wa mkopo wa haraka ili niweze kufanikisha biashara yangu na nisipoteze watena hivyo ninahuitaji wa haraka wa mkopo kiasi cha milioni 1.4 au 1.5 (milioni moja na nusu)

muda wa kurejesha ni ndani ya siku 14 yaani nusu mwezi kitu cha kukaa kama dhamani ni pikipiki aina ya tvs pamoja na kadi yake.
mwenye msaada au anayeweza kusaidia hili tuwasiliane kwa namba 0769 055050.
asante.

Ushauri wangu ungeenda kwenye watoa mikopo wadogo wadogo sasa hivi wamefungua Vijiofisi vingi hapo mtaani kwako ungefanikiwa Zaid kuliko mm nilieko morogoro huku Niko mbali other wise kama uko Moro ntakusaidia
 
Ushaur Wangu,
Kama Oda yenyewe wateja wako Ni Watu wa taasisi/serikali. Achana kabisa na mpango wa kukopa. Utafiliska kimasihara mchana kweupe
sifanyi nao biashara mara ya kwanza teyari nafanya nao na hawajawa kulitea shida..
 
Hapana ningekuwa nauza ningesema nauza boda
Ila ndio bond iliyopo ili niaminike mkuu
Muhimu ni kupata fedha ili nikamilishe biashara.
Wewe unataka "interest free loan", lakini dhamana yakoinalingana au iko chini na mkoba. Ni kitu gani kitakuhamasisha kurudisha mkopo wakati hata kama hukulipa hakuna hasara unayoipata. Nenda vicoba ukanyolewe. Alafu, mara nyingi wakoipaji wana maneno matamu, lakini wakati wa kurudisha wana hadithi ndefu msaana. Hii haiendi sawa na watu usiyofahamiana nao zaidi ya "post exchange: JF. Ni mjinga gani atakuamini akupatie pesa.
 
1.5 kwa tvs ambayo imeshatumika
unaweza chukua pesa baada ya hapo ukamwambia mtu umemuachia pikipiki hio ambayo ikiuzwa sanasana ni 500k
Dhaman inatakiwa iwe 3x ya mkopo
 
Back
Top Bottom