Naomba makadirio ya malipo ya fundi kwa chumba kimoja

Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
4,261
6,908
Wadau naombeni rafu estimates za kumlipa fundi ujenzi nyumba ya kawaida yenye, chumba masters sebule, jiko na stoo.

Je, njia nzuri za kuepuka gharama ni kuhesabu tofali alizojenga au maelewamo tu.
 
Wadau naombeni rafu estimates za kumlipa fundi ujenzi nyumba ya kawaida yenye, chumba masters sebule, jiko na stoo
Je njia nzuri za kuepuka gharama ni kuhesabu tofali alizojenga au maelewamo tu.
Njaa kali hakuna pesa sahiz unaweza jaribu njia zote...

Ya kwanza jua nyumba yako mpaka in aisha unahitaji tofari ngapi.. Kwa kujua idadi ya tofari unakaa na fund una mwambia bwana kama nikitaka kuripa kwa kila tofari shingap?? Na kama naripa kwa ujumla wa kujenga nyumba ad inafika kwenye rinta shingap...
Hapo majibu yake yatakupa mwanga njia gani nzuri..
Lakin pia inategemea upo wap gharama za ujenz wa dsm sio sawa na kule kwetu nanjilinji

Njia nyingne watu hujenga kwa awam hii nayo inasaidia.. Una gwa ujenz katika awam tatu
Msingi
Boma ad kwenye rinta
Rinta ad kupaua

Unaongea na fund nataka kujenga msingi tuu ndugu nina laki zangu hiz

Msingi ukiisha una mwita tena baada ya wek unapatana nae kutoka kwenye msing ad rinta

Zen kipande cha mwsho

Not njia hii ni lazima ujue nyumba yako itagarimu kiasi gani ndio uwezo wa kujenga kwa Kiwango cha chini zaid utaweza
 
Tofali msingi 600, za kupandisha kama 1200 location ni Dsm, kiwanja kipo sehemu nzuri..Naomba estimate hapo mkuu.
 
Kwa sasa Tofari moja hujengwa kwa 400 hivo 400 x 1800 = 720,000

Uza kazi yote kwa sh 690,000 hadi 750,000 Range nae humo ila usilipe day maana unaweza fanyiwa vimbwanga.

Pia usipigiane kwa Tofari kwani mafundi hujenga haraka bila kufuata ubora na muonekano wa kazi. Ila kama utasimamia mwenyewe na kukagua pindi wanapojenga ni Sawa
 
Kihalali, ukifahamu gharama ya vifaa au materials yote ya nyumba hadi inaisha, bajeti ya ufundi inabidi iwe kati ya 20% hadi 25% ya bajeti ya materials
 
Kwa sasa Tofari moja hujengwa kwa 400 hivo 400 x 1800 = 720,000

Uza kazi yote kwa sh 690,000 hadi 750,000 Range nae humo ila usilipe day maana unaweza fanyiwa vimbwanga.

Pia usipigiane kwa Tofari kwani mafundi hujenga haraka bila kufuata ubora na muonekano wa kazi. Ila kama utasimamia mwenyewe na kukagua pindi wanapojenga ni Sawa
Hapo ni tofali bila vipande..maana tofali Moja linaweza toa vipande viwili hadi vinne..au utahesabu tofali tu ulizoleta
 
Back
Top Bottom