Tarehe kama ya leo 26 Nov Mkoa wa Kilimanjaro ndani ya Wilaya ya Moshi vijijini. Kijiji kimoja cha kuitwa "masama" baba na mama wa CONTROLA walibahatika kupata mtoto wao wa kwanza waliempenda kupita maelezo,wakati CONTROLA akizaliwa alitoa kilio cha hatari ila kwa upande wa wazazi wake wao...