Happy birthday to me.

KJ07

JF-Expert Member
Dec 17, 2021
2,243
5,000
Aloooooooooooooo.
its my birthday.
shukrani kwa mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardho kwa kunifikisha siku hii ya leo.
siku muhimu katika maisha yangu.
lakini pia nitumie nafasi hii kuwashukuru wazazi wangu huko walipo na Mungu awape umri mrefu zaidi.


happy birthday to me.🧁🧁🧁🎂🎂
 
ulinikera sana siku ile wodini…Katika watoto wote tuliozaliwa Siku ile wewe pekee ulikuwa unalia sana sijui ulikuwa na matatizo gani…Mimi nilikuwa nanyonya sikuwa na kelele…
Alooooooooo.
nilikuwa nishasau kama ulikuwa ni wewe.
but big up mkuu
 
Watoto wa kiume birthday pia unaweka jamiiforum! But anyway grow well with bless and grace kid
Alooooooooooo.
katika maisha hutakiwi kuwa serious sana.
maisha yanahitaji enjoyment pia kutokana na majukumu yetu.
na enjoyment zenywe ndio hizi mkuu
 
The celebrities who were born today.

Maya Hawke (1998) - American actress and singer, known for her role in the TV series "Stranger Things" and her music releases.

Julian McMahon (1968) - Australian actor, notable for his roles in TV series like "Nip/Tuck" and "Charmed" and movies like "Fantastic Four."

Triple H (Paul Levesque) (1969) - Professional wrestler and executive in WWE, also known as "The Game."

Peggy Fleming (1948) - American figure skater and Olympic gold medalist.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom