happy birthday

  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mtetezi wa Haki za Wasichana Duniani na Mshindi wa Tuzo za Nobel MALALA yuko Nchini, Serikali Iko bize kuhudhuria Happy Birthday za Wasanii

    Aliyeturoga hii Nchi , alishakufa !!. Huyu Binti Malala , Mtetezi wa Haki za Waschana Duniani na Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Mschana alonusurika kuuwawa Kwa kupigwa Risasi za Kichwa kama Alivyonusurika LISSU , hamna asiyemjua. Jicho la Dunia lote liko linamlinda, popote anapoenda , Mguu wake...
  2. Setfree

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to you, President Donald J. Trump!

    Better late than never... Happy birthday to you, President Donald J. Trump! As Philippians 4:8 reminds us, “Whatever is true, whatever is noble, whatever is right, whatever is pure, whatever is lovely, whatever is admirable—if anything is excellent or praiseworthy—think about such things.”...
  3. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday To you

    Heeey,. Hope you good. Najua haiwahusu lakini leo ni birthday ya wazazi wangu wote wawili😍😍😍.. ( Wanashare birthdate lakini kila mmoja na mwaka wake)... But naandika huu uzi special kwajili ya Baba yangu Cause najua atasoma kwasabu yupo humu,. Dear Dad,. As we celebrate your 65's birthday...
  4. Smart911

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Mahondaw Wangu

    Today is all about you, Mahondaw, the light of my life, the one who makes my world brighter just by being in it... Every moment with you feels like a beautiful gift, and today, I celebrate the amazing person you are... Your heart, your smile, your strength, and your love inspire me more than...
  5. trudie

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me Trudie

    Kwanza namshukuru sana mwenyezi Mungu kuiona siku ya leo. Happy birthday to me, leo nimetimiza miaka kadhaa duniani hapa. Nimeingia floor ya tatu na zaidi, sina mengi niliyofanikiwa ila namshukuru Mungu kwa machache niliyo nayo na ninajivunia. Kama kuna member nashare nae siku ya kuzaliwa leo...
  6. Mr Spider

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to Me

    I'm so happy today, I celebrate another year in my life. I would like to share this information so that I can earn something new from this platform. I expect to get sometips about opportunities in Tanzania especially in agriculture sector but not only that, I would rather to get in touch with...
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Halafu mwanaume unawezaje kwenda photoShop kupiga picha za kupost siku ya Happybirthday yako?

    Ni kweli hainihusu kabisa lakini lazima uambiwe ukweli bana. Mwanaume unatakiwa uwe tofauti na jinsia ya kike bana. Mods ni Vyema na haki sasa mkawaorodhesha watu wenye I'd zaidi ya moja maana tunapata upinzani mkali sana kumbe unashindana na jamaa yuleyule mwenye ID 3 😁 Mkiwaorodhesha...
  8. realMamy

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to me Realmamy

    Najiombea mafanikio mengi zaidi katika maisha yangu. 🙏
  9. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Magige Nyerere

    Leo April 21 ni birthday ya Magige Nyerere mtoto wa tatu Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Magige yupo Dar es Salaam sasa hivi. Ni graduate wa UDSM ambapo alipata shahada ya Bsc. Electrical Engineering.
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Steven Seagal! 🎉

    A very happy Birthday Steven Seagal 🎉 What's your favorite film he's starred in?
  11. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Aliko DANGOTE - Simba wa Afrika

    Leo ni siku ya kuzaliwa ya Aliko Dangote – bilionea namba moja Afrika na mfano wa kuigwa kwa wawekezaji wadogo. Kupitia safari yake ya kibiashara, tunajifunza kuwa mafanikio makubwa yanaweza kuanzia Kwa hatua ndogo kabisa. Dangote alianza na biashara zake Kwa mkopo, aliaminiwa na kukopeshwa na...
  12. Binti Kimoso

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Taikon Master

    Happy birthday Darling. I'm not good in writing sorry for this. To me wewe ni special gift and I always thanks God to have you🥰🥰. You know how much I love you. Mungu akupe maisha Marefu My Micky My super T. Mwaaah!
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Yvonne

    Heri ya Siku ya Kuzaliwa ya Miaka 60 kwa Mwimbaji Mashuhuri wa Afrika Kusini, Mtunzi wa Nyimbo na Mwigizaji Yvonne Chaka Chaka Tunamtakia mwimbaji, mtunzi wa nyimbo wa Afrika Kusini, mwigizaji, mjasiriamali, mfadhili wa kibinadamu, na mwalimu Yvonne Chaka Chaka siku njema ya kuzaliwa leo...
  14. Mwasapile

    JamiiForums Tanzania Ni sawa mwanaume kumpa mwanaume mwenzake zawadi ya Birthday?

    Nina rafiki yangu leo kafikisha umri wa miaka 31. Sasa amenicheki hapa kuwa nimtumie zawadi ya muamala kwajili ya birthday yake: je hili limekaaje wadau wa JF? Mtu wa aina hii kijana mwenye nguvu muajiriwa kwa mshahara mzuri anataka zawadi ya birthday? Kuna usalama kweli hapa?
  15. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Happy birthday the Weeknd

    https://youtu.be/e2PsmMlSP5s?si=9kcGRMlCdNEIXk6A Asantee sana kwa kutupa album kalii ya hurry up tomorrow hapa tunasubiria movie yetu sasa ya hurry up tomorrow happy birthday Ethiopia finest https://youtu.be/ljxYE-aJD3A?si=HsztdoldHBJpglZk Je nyimbo gani kalii unayo ikubali kutoka kwa the Weeknd?
  16. U

    JamiiForums Tanzania Happy birthday bia ya safari lager leo umetimiza miaka 48 ya kuzaliwa

    Wadau hamjamboni nyote? Siku ya furaha,siku ya kukumbukwa HAPPY BIRTHDAY SAFARI LARGER Tarehe 4 Februari 1977 siku kama ya leo bia ya SAFARI LAGER ilizinduliwa na kampuni ya bia Tanzania Breweries katika mikoa ya Arusha na Dar es Salaam. Sherehe za uzinduzi zilifanyika New Africa hotel...
  17. milele amina

    JamiiForums Tanzania Hatari ya CCM Kuchagua Nchimbi Mapema kugombea Umakamu wa Rais

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha kisiasa, ni muhimu sana kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa makini na maamuzi yake, hasa katika kumchagua Nchimbi kuwa Makamu wa Rais kuelekea mwaka 2030. Hatari hii inaonekana wazi kwa sababu inawezekana kwamba tunajenga msingi wa Rais wa mwaka 2030 hadi...
  18. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me and myself

    🎈🎂🔥📸
  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Sir Alex Ferguson

    He won the Premier League 13 of his 21 seasons in charge including two three-peats. He was a two-time champion of Europe. Five FA Cups and four League Cups. It's legendary former Manchester United manager Sir Alex Ferguson's birthday 👑
  20. aise

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday In advance kwa Baby Boy wetu

    Ni miaka zaidi ya 2,000 sasa tangia azaliwe! Happy Birth Day kwake in Advance
Back
Top Bottom