Happy birthday to you To yeye

To yeye

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
28,214
65,826
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.

Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.

Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.

Amina🙏
 
Unaharisha baada ya kula bamia ama kuna sababu nyingine?

Kama ni kwa sababu ya bamia, una hakika zilikuwa safi na salama? Baada ya kusimama, umeendelea kuhara?

Pole sana Mkuu.
🤣🤣🤣Kila kitu kikizidi kiasi ni tatizo mkuu
 

Attachments

  • Screenshot_20230908-040404~2.png
    Screenshot_20230908-040404~2.png
    83.2 KB · Views: 9
...Hizi Birthday kadri unavyosherehekea... Ndugu jamaa na Dears wa mhusika Tunaumia moyon japokuw hatusemi... Maana soon kipenz chetu unatuacha... Yaan unakuwa mbali nasi... Daaah..! That is how Love... Must be...
 
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.

Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.

Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.

Amina🙏
Happy Birthday, Rafiki
 
Back
Top Bottom