happy birthday

  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tunapoadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanzania, tujikumbushe maneno ya aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kuhusu Muungano wa Tanzania. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania MP Mpembenwe: Happy Birthday Hon. Speaker, Madame, Dr. Tulia Akson Mwansasu!

    Happy Birthday Hon. Speaker, Madame, Dr. Tulia Akson Mwansasu! I am reverently writing you a birthday wish, my Heart is overflowing with emotional goose bumps of gratitude! Dear Madame speaker and president of IPU! You’re the most loving, caring, enduring, encouraging, forgiving, considerate...
  3. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Najua haiwahusu ila Happy Birthday To Me!

    Habari wanaJF, Siku ya leo miaka 22 nyuma Dunia ilipata MBEBA MAONO. Nikiwa kama kijana wa makamo na mwenye mchango mkubwa kwa taifa hili nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa. Najua haiwahusu ila ndio hivyo tena hamna cha kufanya. Alichokipenda Mungu wewe Mwanadamu huwezi kukichukia. Amin,amin...
  4. uran

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to the Queen of Awesomeness

    Happy Birthday to the one super lady! 🎉 You're the perfect mix of brilliance, strength, and fun. Keep being amazing, because you're simply unstoppable! Hongera sana financial services 🎂 🍾 🥂 New Certified accountant in town!! Proud of you 👏 👏 👏 Tuungane pamoja kumtakia heri na fanaka💐 💐
  5. Mpenda vurugu

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu aliniomba siku yake ya Birthday nimnunulie zawadi itakayo dumu mwaka mzima nimemnunulia Calendar kanuna

    Za sahizi wakuu. Wakuu nipo njia panda simuelewi huyu mpenzi wangu maana alitaka zawadi nimempa ananuna Au nimezingua wakuu
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday wadau. Muishi maisha marefu na yenye Mafanikio!

    Heri ya kuzaliwa wadau wa JF mliozaliwa tarehe ya leo. Mungu awatangulie katika mishe zenu. Happy Birthday 28/August mwilongo Aron mr xuma Inspector Jws Gilbert Julius Alex Fredrick amonbiner anonymous_blue Lobaraki Joyeuse SISTY DENIS MUSHI saliel Sanga Imma Mr Stoic Edna kahema Na...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Joseph Minala, leo anatimiza miaka 28

    Sikia kisa cha Joseph Minala kiungo raia wa Cameroon aliwahi kukutana na changamoto ya kuhisiwa kudanganya umri wakati huo ambao alikuwa anadai kuwa na umri wa miaka 17. Vyombo vya habari vya Italia vilidai kwamba wakati huo alikuwa na umri wa miaka 42 na sio 17 kama ambavyo anasema Mchezaji...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Madaraka Nyerere

    Leo Madaraka anatimiza miaka 64. Ni mtoto wa mwisho wa Mwalimu Nyerere ( now that Rose Nyerere has passed away). Madaraka amesoma Banking, Italy na Canada. Madaraka ana predilection for going to Uhuru Peak,( Uhuru Peak,that is the summit of Mount Kilimanjaro).
  9. m2peace

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to Me

    LEO NIMEZALIWA
  10. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me

    Signed out forever
  11. Mahondaw

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Smart911

    Wishing you a birthday as perfect as you are for me. Your day is as special as you are! May your birthday be as unforgettable as you are every day. Here's to another year of good health and happiness. May you have all the love your heart can hold, all the happiness a day can bring, and all...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

    Ungekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu. Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
  13. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to you

    Ni siku mpya hii, pia kwa ndugu wengine ni siku muhimu ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwao. Kama umezaliwa siku kama ya leo tujuze basi maana sisi ni familia. Japo hatuwezi kukumwagia maji, tutakupa wishes, ambazo pia zitaweza kukumotivate, na kufanya siku yako iwe njema na uifurahie zaidi...
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Innocent Bashungwa, kwanini baadhi ya viongozi hutenguliwa ghafla!

    Bwana Inno alivyokataa Bilioni 5 za Hayati kwenye miaka ya 2018 Alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata Bwana Inno ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili amkubalie ombi lake la kwenda kumuombea kibali cha kuagiza sukari kutoka nje kwa sababu wakati huo SHUGA...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuokolewa na Tukio la Happy Birthday to you?

  16. excel

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Admin wa Mashujaa FC

    Huyu jamaa ndie mbunifu mkuu na admin wa wazee wa mapigo na mwendo. namkubali sana kwa sanaa yake katika Page za Mashujaa FC, wazes wa mapigo na mwendo
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to me, kwaheri ujana. Sasa ni muda wa busara za kiutu uzima

    HAPPY BIRTHDAY TO ME. KWA KHERI UJANA. SASA NI MUDA WA BUSARA ZA KIUTU UZIMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Namshukuru Mungu. Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Nikiwa nimetimiza Rasmi miongo mitatu kamili(miaka 30). Nimejifunza mengi. Nimefanya mengi kwa muda huo. Namshukuru...
  18. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Floyd Mayweather

    Leo ni kumbukumbu ya mfanano wa siku ya kuzaliwa ya bondia tajiri zaidi duniani ambaye si mwingine bali ni Floyd Mayweather Jr wengi wanapenda kumuita The Money May. Floyd Jr baba yake mzazi anaitwa Floyd Mayweather Sr ambaye alikuwa pia bondia na mama yake Deborah Sinclair alikuwa ni mhasibu...
  19. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Madamu Samia Suluhu Hasani

    Nianze kwa shukrani , nimshukuru Rabuka, Yeye ni mwenye auni, tena mwingi wa baraka, Nguvuze zapita kani, haziwezi elezeka, HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIZA. Mengi alikujalia , wete tumeshuhudia vema umesimamia, kwa upendo kadilia, sifa Tunampatia, Muumba wa hidunia, HONGERA MAMA...
  20. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me Intelli, I mean no malice to anybody

    December 31 I was finally birthed, it was time for me to find what is this planet worth. Jamaa home where I got my sernity first, you can say, this is where I was handled my bless. I have been hustling since a kid and iam so talented based, it was like a game to me, I never knew hustling paid...
Back
Top Bottom