Japo hawezi kushinda kiukweli, CHADEMA imemtendea haki Tundu Antipas Lissu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,301
146,768
Kitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama.

Niwapongeze wajumbe wa CHADEMA kwa kutoyumbishwa na kurudia makosa ya kuzungusha mikono kama 2015. Hapa Lumumba tunasubiria majina ya wateule wa ubunge katika bunge lijalo ambalo halitakuwa na wala rushwa.

Nawatakia vijana wote baraka za Mungu katika hii siku yenu.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
 
Bilionea Nyalandu how?
 
Bwashee hao watoa rushwa na wala rushwa ndio wamiliki wa CCM na CCM bila hayo mazimwi haiwezi kuwepo... na mkiwakata hayo majimbo mnapoteza maana hao ndio kila kitu..

Njia rahisi ya nyie kujinusuru na hao ni kuchagua upinzani ili bunge liwe lenye kusimamia maslahi ya wananchi na sio maslahi ya CCM na wenye CCM..
 
Taratibu sindano zimeanza kufanya kazi kidogo mna recover
 
Bwashee hao watoa rushwa na wala rushwa ndio wamiliki wa CCM na CCM bila hayo mazimwi haiwezi kuwepo... na mkiwakata hayo majimbo mnapoteza maana hao ndio kila kitu..

Njia rahisi ya nyie kujinusuru na hao ni kuchagua upinzani ili bunge liwe lenye kusimamia maslahi ya wananchi na sio maslahi ya CCM na wenye CCM..
Hahahaaaa...... hapa Mikumi tutamchagua Jay!
 
Huku Mbeya na Arusha tunachagua Sugu na Lema hiyo hata mwenyekiti anajua..

Kwa maslahi mapana ya nchi wazalendo tunapashwa kusimama tusiwaachie Bunge akina Msukuma, Kishimba,Mlinga, Kessy na wabunge wengine wa CCM wanaojali maslahi binafsi ..
 
Back
Top Bottom