Tundu Lissu alionya kuwa mwaka huu issue si uchaguzi huru na wa haki kwani hilo halipo, bali ni kama tutaendelea kuwa hai na salama baada ya uchaguzi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,154
144,677
Siku moja au mbili kabila ya kurejea nchini,Lissu alihojiwa na chombo kimoja cha habari kuhusu swala zima la uchaguzi na iwapo uchaguzi itakuwa huru na wa haki.

Nakumbuka Lissu alijibu kwa kusema:Issue sio uchaguzi huru na wa haki, kwani hilo halitaraji, bali issue ni je,tutaendelea na maisha na tutakuwa hai baada ya uchaguzi?

Nakumbuka hayo ndio yalikuwa maneno yake ingawa naweza nikawa sijamnukuu kwa sahihi kwa maana ya neno kwa neno.

Nimeamini hutu mtu kiona mbali kwani kwa haya yanayoebdelea,ni wazi huko mbeleni kuna hatari inatukabili.

Nikiipata hiyo clip nitaoweka, ila nakumbuka nilipandisha uzi bila kutaja maneno hayo ya Lissu ila leo nimeona niyaseme tu.

Uzi husika ni huu hapa chini:

Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu kaongea jambo moja ambalo kila mtu anapaswa kulitafakari na kujiuliza kama ambavyo yeye anajiuliza

Clip ni hii:

 
Yule bwana katu hawezi kuwa na amani Hadi ahakikishe tumesambaratika kabisa, furaha yake ni kuona damu zetu, kwao ni ibada
 
Mpuuzi huyu kesha gharimu sana hatima za maisha ya wafuasi wa cdm kauli zake za kichochezi, dharau, unaharakati wa kutetea mabeberu ili kutimiza agenda yake ya kujinufaisha kupitia siasa za hovyo hovyo. Walitudanganya mwishowe wakageuka kukodisha chama kwa EL bado hajatosheka tu!!!! Anataka kuvuruga hii nchi atuletee taabu za kuanza kukimbia huku yeye akijua anaufadhili wa mashoga huko ulaya.
Kila mtu anakushangaa mvuruga nchi Ni yule aliyefata malisho ya mifugo nchini kwetu,tulimkaribisha kashiba anataka kutawala
 
Mpuuzi huyu kesha gharimu sana hatima za maisha ya wafuasi wa cdm kauli zake za kichochezi, dharau, unaharakati wa kutetea mabeberu ili kutimiza agenda yake ya kujinufaisha kupitia siasa za hovyo hovyo.

Walitudanganya mwishowe wakageuka kukodisha chama kwa EL bado hajatosheka tu!!!!

Anataka kuvuruga hii nchi atuletee taabu za kuanza kukimbia huku yeye akijua anaufadhili wa mashoga huko ulaya.

Uzuri sasa hivi hata ukiandika maneno mengi, bado ukweli tunaujua ni upi, na kama kutatokea umwagaji damu, inafahamika nani atakuwa sababu. Haiwezekani toka awamu hii iingie madarakani chaguzi zote kuanzia za marudio, mpaka wa serikali za mitaa zina zinavurugwa kwa faida ya ccm. Watu wanaogopa kuusema ukweli kwa ajili ya usalama wao, lakini sio kwamba hawajui nani ndio sababu.
 
Lissu ni nabii, uchaguzi wa mwaka huu utaharibiwa na tume pamoja na polis, mark my words
 
Back
Top Bottom