haki

  1. J

    GE2020 Kibamba: CHADEMA wadai Mwanachama wa CCM amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwa jina lao

    Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA. Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake. Jacob...
  2. J

    IGP Sirro: Tunakichunguza Kituo cha Kutetea Haki za Binadamu baada ya kupokea fedha nyingi takriban Tsh. bilioni 6 kutoka nje

    IGP Sirro amesema jeshi la polisi linakichunguza Kituo cha Kutetea Haki za Binadamu kinachoongozwa na Ole Nguruma baada ya kituo hicho kupokea kiasi kikubwa cha fedha kutoka nje. Sirro amesema kwa mwaka huu pekee kuanzia mwezi January kituo hicho kimepokea takriban Tsh. bilioni 6 kutoka nje...
  3. C

    Funzo la mapinduzi toka nchini Mali: Maafisa waaandamizi wa Serikali ya Tanzania tendeni haki na kwa usawa kwani hamuijui kesho yenu

    Kilichotokea nchini Mali na nchi mbalimbali duniani kuhusu viongozi madikteta kuondolewa madarakani kinatoa somo kwa maafisa waandamizi wa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa hawaijui kesho yao basi ni vema kutenda haki na usawa kwa watu wote bila kujali vyama vyao vya siasa kwa kufuata katiba...
  4. J

    GE2020 Jaji Kaijage: Baada ya uhakiki, sasa tuna jumla ya wapiga kura 29,188,347. Vyombo vya Habari vitende haki kwa vyama vyote

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347 Source East africa radio My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lisu si chochote si lolote. Maendeleo hayana vyama! ====== Daftari la wapiga...
  5. Swali kwa Joseph Magata: Padre Ildefonsi Katundu aliyegombea ubunge huko Bukoba alikuwa anatafuta jukwaa la kutetea haki za mashoga?

    Mwandishi anayejitambulisha kwa jina la Joseph Magata, amejenga hoja kadhaa kuhusu sakati ya Padre Ildefince Katundu wa Jimbo la Nkenge mkoani Kagera. Magata amefanya hivyo kupitia gazeti la Raia Mwema, ukurasa wa 10, kwenye toleo la 12-18 August 2020. Makala yake ina kichwa cha maneno Kanisa...
  6. GE2020 Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa 'fair play' ya leo kwenye mkutano wa Tundu Lissu mjini Morogoro

    Nimefurahishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kutimiza wajibu wake bila upendeleo. Leo kwenye hadhara ya kutafuta wadhamini, mgombea urais kwa tiketi ya chadema, Bw. Tundu Antipas Lissu akiwa mkoani Morogoro, askari wa Jeshi la Polisi walionekana wakiimarisha ulinzi na kuhakikisha Bw. Tundu...
  7. Nimewahi kupiga kura mara moja tu, na sitarudia tena- vyote ni haki yangu ya Kidemokrasia, na sababu ya msingi ninayo

    Mwaka 2010 nilipiga kura kwa mara ya kwanza, sio kwa sababu umri ulikuwa umefika, ila kwa sababu ya ku-test kinga ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) katika masuala ya Urais kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (ibara ya 74). Matokeo ya Urais hayahojiwi wala kuchunguzwa katika...
  8. S

    Kigoma: Walioshtakiwa kuua askari waachiwa huru

    MAHAKAMA Kuu Kanda ya Kigoma, imewaachia huru washtakiwa 11 waliokuwa wakikabiliwa na kosa la kuua kwa kukusudia askari wawili wa Jeshi la Polisi na kukata sehemu za siri za mmoja wa askari hao katika mapigano yaliyotokea wakati wa kuwaondoa wananchi waliovamia eneo la Hifadhi ya Ranchi za Taifa...
  9. J

    GE2020 Je, Uchaguzi utakuwa huru na wa haki hata kama vyombo vya habari vitaendelea na katazo la kutangaza habari kampeni za vyama mbadala?

    Vyombo vya habari kutangaza kwa usawa kampeni za vyama vya siasa ni moja ya vigezo vya uchaguzi ulio huru na wa haki. Siyo sawa hata kidogo kwa CCM kuvikataza vyombo vya habari kutangaza kampeni za vyama vingine vya siasa. Tume ya Uchaguzi inapaswa kuingilia kati suala hili.
  10. Enyi wana-CHADEMA na wapenda haki wote Tanzania tumieni simu zenu kama silaha

    Kwa wewe Mtanzania mpenda Haki popote ulipo Itumie hiyo simu yako Kama silaha. Natambua simu nyingi Zina kamera,tumieni kamera hizo wakati wote kurekodi tukio lolote lenye kunyima Haki,uonevu,dhuluma ama kitendo chochote chenye uvunjifu wa amani kipindi hiki Cha Uchaguzi Mkuu. Kuweni waangalifu...
  11. Umoja wa Ulaya waandaa vikwazo kwa ajili Belarus kutokana na uvunjifu wa haki za binadamu

    Umoja wa Ulaya unaandaa vikwazo dhidi ya maafisa wa Belarus ambao walihusika na ukandamizaji unaofanywa baada ya uchaguzi dhidi ya waandamanaji ambao umesababisha umwagikaji wa damu. Idhini ya kutayarisha vikwazo ilitolewa na mawaziri wa mambo ya kigeni wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya...
  12. S

    Tundu Lissu alionya kuwa mwaka huu issue si uchaguzi huru na wa haki kwani hilo halipo, bali ni kama tutaendelea kuwa hai na salama baada ya uchaguzi

    Siku moja au mbili kabila ya kurejea nchini,Lissu alihojiwa na chombo kimoja cha habari kuhusu swala zima la uchaguzi na iwapo uchaguzi itakuwa huru na wa haki. Nakumbuka Lissu alijibu kwa kusema:Issue sio uchaguzi huru na wa haki, kwani hilo halitaraji, bali issue ni je,tutaendelea na maisha...
  13. Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Nikifa kwa ajili ya mapambano ya haki msinililie, bali muenzi na kuendeleza niliyofanya na kuyasimamia

    Nikifa kwa ajili ya mapambano ya haki msinililie, bali muenzi na kuendeleza niliyofanya na kuyasimamia. Naona si salama na si haki kufikia bei na kutelekeza mapambano (Zaburi 35)! If I die for this cause [justice] do not eulogise me, but cherish what I did and stood for! For it is neither safe...
  14. Mnaotaka Kujifunza 'Kujitetea' pale 'mnapoonewa' na Watu 'Wababe' na mpate Haki zenu 'waigeni' Mafundi hawa

    Kwangu Mimi GENTAMYCINE hawa Wafuatao ndiyo nawaona 'Mawakili' mahiri kabisa wa Kujitegemea nchini Tanzania na hawashindwi ng'o Kesi yoyote ile... 1. Fatma Karume 2. Peter Kibatala 3. Tundu Lissu 4. Jebra Kambole 5. Bernard Morrison ( aliyekuwa Mchezaji wa Sokwe Mbwa Nyani FC na sasa kahamia...
  15. J

    Japo hawezi kushinda kiukweli, CHADEMA imemtendea haki Tundu Antipas Lissu!

    Kitendo cha kamati kuu ya CHADEMA kumpitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa urais huku ikimuweka pembeni bilionea Lazaro Nyalandu ni cha kizalendo ndani ya chama. Niwapongeze wajumbe wa CHADEMA kwa kutoyumbishwa na kurudia makosa ya kuzungusha mikono kama 2015. Hapa Lumumba tunasubiria majina ya...
  16. TCRA an instrument of repression? Chombo cha kukanyaga haki za uhuru wa habari?

    Mimi si mwanasiasa. Mimi si mpenzi wau mfuasi wa Lissu(actually nimekuwa nikipinga mambo mengi ya Lissu na maneno yake) Mimi ni mtanzania huru chini ya katiba ya nchi ya Tanzania. Kinachonishangaza ni juhudi za watu fulani ndani ya serikali kukiuka uhuru wa Mtanzania wa kawaida kupata habari na...
  17. S

    GE2020 Hivi Sheria inaruhusu kuzuia Kampeni na Uchaguzi zisiendelee kwa kuomba Zuio la Mahakama iwapo mmoja wa wagombea Urais anahisi kutotendewa haki?

    Swali: Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea Uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani? Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke...
  18. M

    Hatma ya Muungano ipo mikononi mwa Maalim Seif, ili kuulinda basi tumtendee haki huyu mzee angali hai

    Maalim Seif ni Mtanzania, tena ni Mtanzania mzalendo kwelikweli! Ni miongoni mwa watu ambao mwalimu Nyerere aliwaheshimu sana kutokana na misimamo thabiti na kipawa chake kikubwa sana cha akili. Lakini ukiacha kuipenda Tanzania, Maalim anaipenda sana Zanzibar, nchi aliyozaliwa. Wazanzibar...
  19. Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

    Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja. Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
  20. Wanazuoni na Wanafunzi wa vyuo vikuu, Bodi ya Mikopo (HESLEB) haiwatendei haki. Amueni hatima yenu 2020 hii, mnaweza kuitosa CCM

    Kama navyosema siku zote mimi ni kada hai wa CCM na naendelea kukipenda CCM. Lakini nitafurahi sana chama changu kiadabishwe awamu moja au kichachafwe ili kipate adabu kisirudie makosa yale yale na kiache kudharau wanyonge wahali ya chini. KWANINI NASEMA CHAMA CHANGU KIADABISHWE? 1. Serikali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…