haki

  1. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Kwanini waumini wa dini ya haki kila wiki wanaua wakristo huko Nigeria?

    Dini ya haki dini ya haki! Kule Nigeria kula kukichwa wanaua makumi hadi mamia ya Wakristo. Halafu kuna mtu anazungumzia Qhamas. Kwenye hii dini kuna roho mbaya sana. https://twitter.com/visegrad24/status/1740517117882155219?t=NxTjtWOQhE8yVkNi4H5WfQ&s=19
  2. T

    JamiiForums Tanzania Fundi kapasua kioo cha simu yangu mpya, wakati akiweka protector. Je, nina haki yoyote ya kumripoti?

    Habari wakuu, Juzi nilinunua simu aina ya Samsung galaxy, sasa nikaona niiwekee protector. Kwa bahati mbaya fundi wakati anajaribu kuweka protector akawa amepasua , kioo cha simu yangu hadi kikavuja. alikuwa mbishi kukilipa, hadi nilipomtishia kwenda polisi akaniomba nimpe siku mbili. Sasa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Gaza, usiopendwa na wakristo wasio haki

    1. Kwa imani ya kikristo, uwepo wa dunia na vyote vilivyomo umejengeka kutokea katika kitabu cha Mwanzo. 2. Kwa mujibu wa kitabu hicho binadamu aliumbwa siku ya sita baada ya awali kuumbwa mbingu na nchi. 3. Kwamba hapo #2; day 1: kuliumbwa nuru katika giza; day 2: kukaumbwa mbIngu day 3...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kibatala ni adui wa haki

    Wakili msomi mwenye kipaji cha aina yake kwenye tasnia ya sheria nchini Peter Kibatala ni adui namba moja wa haki. Sijawahi kupendezwa na huyu mwamba ispokua tu alipokuwa anamwakilisha mwamba Mbowe na wenzake kwenye kesi ya ugaidi. Yani anatetea wauaji mabakaji na majambazi hadi yanashinda...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lukuvi ndiye aliitendea haki wizara ya ardhi

    Lukuvi amefanya mengi sana pale wizara ya ardhi na alikuwa na maono, mipango na mikakati sahihi. Lukuvi ndiye aliyehamisha kazi ya kutoa hati milki za ardhi kutoka wizarani na kwenda kwenye ofisi za Kanda. Haikupita muda akashusha mpk ofisi za mikoa. Kaingia Angelina Mabula akataka kuendeleza...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi kushirikisha Wadau wa Haki Jinai kuchunguza malalamiko ya Wananchi kuonewa na Askari

    Jeshi la Polisi nchini limesema limeona taarifa katika baadhi ya Mitandao ya Kijamii zikionyesha taarifa za Wananchi ambao wanalalamika kufanyiwa vitendo ambavyo ni kinyume cha Sheria na Haki za Binadamu na baadhi ya Askari Polisi. SACP David Misime Akitoa taarifa hiyo Disemba 21, 2023 Msemaji...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Papa Francis, Lissu, machampioni halisi wa haki, usawa na uhuru duniani

    Tufike mahali tuvunje ukimya: 1. Kuzitambua jitihada za kupigiwa mfano za watu wengine ni jambo la kistaarabu. 2. Vita vya kupigania haki, usawa, uhuru, demokrasia na maendeleo ni vita vya kudumu. 3. Nani asiyeyapenda au kuyahitaji matano hayo? 4. Manne ya mwanzo ni ya msingi zaidi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania je kesi ikufutwa mahakamani(mahakama ya mwanzo)kimakosa na hukuridhika na maamuzi hayo je taratibu zipi kupata haki yako

    habari wanaJF kesi mahakamani hususan mahakama za mwanzo ikifutwa na kama kumetokea hitlafu katika ufutaji kesi hio ni taratibu gani za kuchukua kufufua kesi hio na kama hujarizika na ufutaji wa kesi ni zipi taratibu za kufanya.kupata haki zako kuendelea na kesi
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 waepukwe kama Ukoma, hawawezi kutenda haki

    Hii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA, chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania, kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi, waligombea ubunge kupitia CCM , Huku wakiendelea kutumikia vyombo hivyo na wakiendelea kutangaza habari za...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria, Haki, na Wajibu. Kuwaelimisha Watanzania Wajue Haki zao na Kutimiza Wajibu Wao

    Wanabodi Japo hili ni Jukwaa la Siasa,hii ni mada ya kisiasa kisheria,hivyo naomba nianze kwa kujijitambulishe tena na tena, kuwa japo mimi Paskali Mayalla, ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, nikiandikia makala magazeti mawili kila wiki, gazeti la Mmwananchi kila Jumatano...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naomba mama Samia atende haki. Kumtumbua Gekul unaibu waziri na kumuacha huyu waziri haipendezi

    Gekul ametumbuliwa unaibu waziri baada ya kutenda yasiyofaa katk jamii. Ni sawa. Vipi huyu anayetukana watu hovyo kama mlevi? Ni sawa kuendelea kukikalia kiti cha uwaziri au aondolewe? Waziri ni kioo cha rais. Sasa kama kila siku waziri anatukana hovyo mitandaoni tafsiri yake ni kwamba...
  12. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Tanzania kama huna hela, asilimia kubwa unaweza kupokwa haki yako

    Yaani hii nchi ya ovyo, ukidhulumiwa, kuibiwa, kutapeliwa na hata mambo makubwa kama kunyanyaswa, kama huna hela au connections sahau kupata haki. Ndio maana sasa naona ni sawa wezi, wabakaji nk kuchomwa moto hadharani tu na wananchi wenye hasira zetu.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia

    Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia unaohusishwa na mradi wa maliasili wenye thamani ya dola milioni 150 ambao benki hiyo inafadhili kabla ya kuanzisha uchunguzi rasmi kuhusu suala hilo. Bodi ya Benki mnamo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango, Watanzania wana haki ya kujua viongozi wao walipo na wanachofanya

    Habari wanajamvi. Moja kwa moja kwenye mada. Hivi karibuni kumezuka taharuki ambayo haikuwa na sababu ya msingi, juu ya wapi alipo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango. Makamu huyu alikuwa hajaonekana hadharani kwa takribani mwezi mzima kwa mujibu ya vyanzo vya habari ikiwamo...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CWT adai ana Mkataba wa Ajira ya Kudumu katika Chama cha Walimu Tanzania

    Kufuatia taarifa ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Japhet Maganga, ambaye alikuwa ni mwalimu wa Shule ya...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tulimpoteza Magufuli kwa sababu kuumwa hadi kuzidiwa kulifanywa National Bigly Secret ambapo wananchi hatukujulishwa iwapo anaumwa ama amezidiwa zaidi ya kustuliwa na taarifa ya kifo chake mnamo 17 March 2021. Rais ni wa Jamhuri ijulikane kuwa anamilikiwa na wananchi wote bila kujali itikadi...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima, kuna haki za watoto zinakiukwa wazi wazi. Hatua za kuwanusuru zinahitajika

    Mhe. Waziri mama Dkt. Gwajima D hongera kwa majukumu. Hoja yangu ni fupi. Katika vibanda vya kusubiria abiria wanaotumia vivuko pale Kivukoni na Kigamboni kuna Watanzania wenzetu walioamua kuwa ombaomba ili wapate pesa za kujikimu. Pamoja na kwamba wanaomba pale kwa muda mrefu, lakini sasa...
  18. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Prince Harry Adai Kukosa haki Ya Ulinzi Akiwa UK

    Prince Harry "bila uhalali, ametendewa vibaya kuliko wengine" juu ya mipango yake ya usalama na ulinzi wake wakati yuko Uingereza. "The Duke of Sussex" anachukua hatua za kisheria dhidi ya Ofisi ya Mambo ya Ndani juu ya uamuzi wa Februari 2020 ambao ulimaanisha kuwa hatapewa tena "kiwango...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kama familia ya Sabaya imerejeshewa madaraka basi dhulma inalipa mapema kuliko haki

    Tuliona danadana mahakamani siku siyo nyingi mara tukaambiwa ameshinda kesi. Wakati tunatafakari mara paap mzazi wa mtuhumiwa ni Mwenyekiti wa chama mkoa. Funzo kubwa tunalopata hapa nikuwatesa wasiojitambua hadi wajitambue kwa sababu ni wajibu wao kujua mema na mabaya. Hii siyo Ishara nzuri...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi yakiri kuwa chanzo ucheleweshaji haki

    Kamishna wa Polisi, Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi, Shaban Hiki, amesema licha ya Ofisi ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kufanyia kazi kwa wakati sampuli inazozipokea, wataalamu na askari wa upelelezi huchelewa hadi mwaka kuzichukua na kuchelewesha haki kutendeka. Amesema licha ya...
Back
Top Bottom