haki

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mbagala Rangi Tatu tulivunjiwa nyumba zetu kimakosa, amri ilikuwa ya Kitalu kingine, tunapambania haki yetu

    Suala hili kiukweli linaumiza sana. Kulikuwa na amri ya kubomoa Kitalu namba 13, ambacho kiko upande wa nyuma na kilikuwa ni eneo la wazi lililovamiwa. Nyaraka zote za serikali, maamuzi ya mahakama, barua za notisi, na ramani zilikuwa zinaonyesha wazi kuwa zoezi lilikuwa ni kwa ajili ya Kitalu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashari ya Wilaya Kishapu haiwatendei haki watumishi wake katika malipo

    Mimi ni mtumishi wa umma kutoka Halmashari ya Wilaya Kishapu iliyopo mkoa wa Shinyanga, halmashauri yetu imekuwa haiwatendei haki watumishi wake kama ifuatavyo: 1. Malipo ya fedha za likizo. Watumishi hulipwa kwa kuchelewa mno na mara nyingi hulipwa kiasi kidogo ukilinganisha na kiasi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpimbwe: Walioonesha ujasiri wa kuhoji Wameahidiwa kupandishwa Daraja, Walionyamaza Wakaachwa, Hii Ndiyo Haki?

    Baadhi ya watumishi wanadai kuwa watumishi ajira ya Juni mwaka 2022 waliitwa kwenye kikao na Mkurugenzi wa halmashauri ya Mpimbwe na kuambiwa hawastahili kupanda madaraja yao na kwamba hata wakifuatilia suala hilo hawatafanikiwa. Hata hivyo, baada ya kikao hicho, watumishi wachache ambao...
  4. JamiiForums Tanzania Ambwene mwasongwe -Chozi la haki.

    https://youtu.be/vSqnzkIu_Vk?si=x0Va2DazuNGc_mpT Jumapili njema kwako.
  5. JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Anayedai kubomolewa kimakosa, kama amevunjiwa kimakosa atalipwa na Jiji, kama alikosea hiyo ni haki yake

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amewataka Maafisa Habari, Uhusiano na Mahusiano wa Serikali kuuza huduma zinazotolewa kwa jamii ili umma ujue utekelezaji wa kila siku wa shughuli kwa jamii. Mtanda ameyasema hayo leo tarehe 28 Mei, 2026 wakati akizungumza na uongozi wa Chama cha Maafisa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ataka Haki na Uadilifu kwa Majaji

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anataka haki na uadilifu. ■Aapisha majaji wa rufaa, awakumbusha pia uzalendo ■Asisitiza kuepuka upendeleo, kuwa na hofu ya Mungu ■Asema duniani ukiacha Mungu, dhamana kubwa ni yao
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Mwaka 2014 Wadai Haki ya Madaraja Waliyopunjwa

    MHESHIMIWA WAZIRI. Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mji wa Serikali Mtumba Mtaa wa Utumishi. S.L.P 670. DODOMA, TANZANIA. Yah: MAPUNJO YA DARAJA KWA WALIMU WALIOAJIRIWA MWAKA 2014. Husika na somo tajwa hapo juu. 2. Kwa heshima kubwa, nakuandikia barua hii...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Haki ndio Msingi wa Amani

    "Kwa kutambua umuhimu wa haki kama misingi ya amani, utulivu, lakini pia maendeleo ya taifa letu, na ustawi wa wananchi kwa ujumla. Haki ndiyo inayo-prevail katika hayo yote hayo. Nendeni mkae" Hayo yamesemwa na Rais Samia Leo, Mei 26,2026 wakati akiwaapisha Majaji aliowateua hivi karibuni...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpimbwe: Watumishi tulioajiriwa JUNI 2022 hatujapandishwa madaraja wala kulipwa Malimbikizo ya Mishahara

    Watumishi walioajiriwa mwezi Juni 2022 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe tunaomba haki yetu ya msingi itendeke. Pamoja na kutimiza wajibu wetu wa kazi kwa uaminifu, hadi sasa wengi wetu hatujafanyiwa utaratibu wa kupandishwa madaraja kama sheria na taratibu za utumishi wa umma...
  10. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Waziri wa Ujenzi na RC wa Dar tusaidieni Wafanyakazi BCEG Mbezi Beach tunakatwa NSSF lakini hazipelekwi

    Kero yetu sisi wafanyakazi wa Kampuni ya BCEG Construction. Tunaomba Waziri wa Ujenzi au Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam afike kwenye mradi wetu uliopo Mbezi Beach, karibu na Ramada au Whitesands—ni mradi wa waste water treatment. Kuna mambo mengi yanayoendelea hapa ambayo siyo sahihi, na hatuna...
  11. JamiiForums Tanzania Shirika la haki za binadamu (HRw) laomba picha za 29 October ili kukusanya ushahidi wa kupelekea ICC

    Ujumbe unajieleza,Samia Hana pa kutokea, ICC inanukia, mungu tenda miujuza mtesi wetu akinywee kikombe cha mateso Wenye video wazitume sasa kupitia hii link MASV Portals
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Bila Mkataba: Haki za Wafanyakazi wa Kampuni ya Temboking yupo gizani

    Kero yangu ni kuhusu ajira katika kampuni binafsi. Nimefanya kazi kwenye kampuni inayoitwa Temboking Limited, lakini sikuwa na mkataba wa ajira licha ya kukatwa makato ya NSSF kama kawaida. Hii inanifanya nisiwe na uhakika wa kazi, maana mwajiri anaweza kunisimamisha kazi muda wowote bila...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mpira leo naona utaitendea haki Arsenal: Itapata ubingwa ikiwa imekaa sebuleni!

    Imepita zaidi ya miaka 20 tangu Arsenal iteae ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza. Pamoja na kucheza soka safi la kuburudisha huwa wanaishia kunawa tu! Lakini hatimaye inaelekea soka linaenda kuitendea haki Arsenal itwae ubingwa ikiwa nje ya uwanja. Hadi muda huu Man city kachapwa 1-0. Matokeo...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna sheria inayosimamia matumizi ya maji ya mvua?

    Wakati ubinafsishaji umepamba moto Bolivia walibinafsisha DAWASCO yao kwa kampuni ya France. Kampuni ikapiga marufuku wananchi wa mji kukinga maji ya mvua. Ilisema hayo ndiyo yanaingia ardhini na kwenye vijito ambako wao hukinga. Wananchi waliandama na kampuni ikafurushwa. Juzi kati kuna jiji...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto Aahidi Haki Baada ya Kifo cha Mwimbaji wa Gospel Rachel Wandeto Katika Shambulizi la Petroli

    Serikali ya Rais William Ruto imeahidi kuhakikisha haki inapatikana baada ya kifo cha mwimbaji wa gospel Rachel Wandeto aliyefariki kufuatia shambulizi la kuteketezwa kwa petroli jijini Nairobi. Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen alilaani tukio hilo akilitaja kama la kusikitisha na...
  16. JamiiForums Tanzania Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

    Hamjambo! 1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana. 2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof Issa Shivji: Watanzania sio wajinga. Kiungo kati ya AMANI na HAKI ni UWAJIBIKAJI. Hatuwezi kupiga hatua bila viongozi wakosaji kujiwabika!

    https://youtu.be/0niFxKMdOSI?si=AQnb1lDVaELvbk05 ANASEMA: Nchi hii si mara ya kwanza kushuhudia ukatili na mauaji ya watu (raia) wasio na hatia uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama chini ya usimamizi wa viongozi wa kiraia ma RCs, DCs au Mawaziri Tofauti na wakati ule, katika matukio ya...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu billionea george soros ni nani haswa? Mtu anaesadikika kufadhili kampeni za kusambaza maudhui ya kishoga duniani kwa kununua haki za televisheni

    Namuona huyu mtu akitajwa sana kwenye maandamano ya kumpinga trump, maandamano ya upinde na maandamano ya free palestine. Mwenye moja mbili tatu zake anishtue
  19. JamiiForums Tanzania Je, Demokrasia ya Tanzania inaruhusu Misingi ya Uporaji Haki za Raia na Mali zao

    Tanzania, nchi yenye mamlaka kamili iliyosaini mikataba mbalimbali ya Kimataifa hususani mikataba ya kulinda haki za binadamu na ulinzi wa rasilimali za umma imeacha misingi hiyo,na sasa inajinadi kuwa na Demokrasia yake na tamaduni zake. Kwa kuwa lengo ni kukuza aina mpya ya Demokrasia ya...
  20. JamiiForums Tanzania Khalifa hakumtendea haki Jaji Warioba, ujumbe wa wazi kwa mwandishi Khalifa wa The Chanzo

    YA WARIOBA, MANGE NA KHALIFA: TANZANIA MOJA, ULIMWENGU MITATU TOFAUTI Tanzania ya leo inaishi katika mgawanyiko ambao hauonekani kwa macho, lakini unasikika kwenye kila mjadala wa kisiasa, kila “trend” ya mtandaoni, na kila tamko la viongozi. Ni mgawanyiko wa kizazi, wa taarifa, wa lugha, na wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…