Rais wa Ukraine Zelensky amewaonya marais na viongozi wa Ulaya katika video call (conference call) kuwa huwenda wasimuone hai tena milele kufuatia jeshi la Urusi linavyozidi kujikusanya na ktk viunga vya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, alimo rais huyo. Ambapo yeye ni taget namba 1.
Ktk conference...
Julia Petta alifariki mwaka 1921, baada ya hapo alizikwa kwenye Makaburi ya Mount Carmel yaliyopo Chicago nchini Marekani.
Alizikwa akiwa na gauni lake la harusi, inadaiwa kuwa mara baada ya msiba huo, mama wa marehemu, Filomena alianza kuota ndoto akiona Petta anamwambia kuwa yeye (Petta)...
Mada tajwa hapo juu yahusika.
Pamoja na CCM kuwa inatumia demokrasia kwenye changuzi zake, huko Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro hali ni tofauti kidogo.
Aliyekuwa Katibu mwenzi wa CCM wa Jimbo la Hai ameajiriwa na serikali bila kujua Elimu yake na bila kufanya mitihani kupitia jitihada Za...
Alichofanya ni kuwaambia watu wa Hai kuwa hawana Mbunge maana anashinda Dodoma akila bata. Watu wa hai wakampiga chini Mbowe.
Sasa kuwa na kesi kama Armed robbery kwa aliyekuwa mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya mnaona kawaida? Tena kosa lenyewe analifanyia wilaya nyingine yenye mkuu wa...
Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa.
Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
Jeshi la Sudan lilifanya mapinduzi ya utawala wa kiraia wiki kadhaa zilizopita. Lkn baada ya maandamano yasiyokoma ya wananchi leo hii jeshi limeufyata na kuamua kuurejesha utawala wa kiraia.
Nchi ambazo wananchi wake wako hai (active) matumizi ya mabomu na vifaa vingine vya kijeshi huwa...
Mwanasiasa Bernard Membe anasema kuna umuhimu kwa viongozi wote kufanyiwa uchunguzi wa kina ili kujua historia na taarifa zao kwa kuwa baadhi yao si Watanzania.
Huu ni mfululizo wa habari zinazotokana na mahojiano maalumu ya Membe na Gazeti la JAMHURI yaliyofanyika nyumbani kwake Mikocheni...
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC) kimesema chanjo zenye viambata vya virusi hai (viral vector vaccines) havisababishi mtu kupata #coronavirus
Chanjo hizi hutumia virusi visivyo na madhara ili kuchochea mfumo wa kinga ili kupambana na kile inachodhani ni maambukizi
Karaha...
Nimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao...
Wakati Sabaya anafanya Ujambazi Polisi HAI,Arusha na Kilimanjaro intelijensia yao haikubaini viashiri vyovyote?
Kuna matukio mengine najaribu kutafakari naona kabisa KATIBA YETU kwa wakati huu lazima tufanye mabadiliko , hili jambo kuna upande wataliona kama ni siasa lakini kwa afya ya nchi...
Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .
Hebu jionee mwenyewe.
Majina ya Wahusika wote...
Kama wewe umekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa zetu unaweza kukumbuka jambo moja ambalo lilianzia padogo lakini mwisho likaishia kuwa jambo kubwa kwelikweli....Sakata la Dowans ni mfano mmoja liliishia kuondokana waziri mkuu...
Jambo gqni liliwahi kuanzia padogo likaja na makubwa...nitarudi.
Katibu Tawala Msaidizi wa zamani wa Mkoa wa Kilimanjaro, Renatus Msangira (45), amepanda kizimbani akidai kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani humo, Lengai Ole Sabaya, hakupewa kibali chochote cha maandishi kwenda kutekeleza majukumu nje ya kituo chake cha kazi.
Msangira, ambaye ni...
Inasemekana kwamba aliyekuwa OCD wa Hai kipindi cha Uchaguzi ndiye amekuwa RPC wa Kinondoni na ndiye aliyemwambia Mbowe juzi walipomkamata kwa kumdhalilisha kwamba safari hii hachomoi watampiga na kesi ya Ugaidi.
Kama hili ni kweli kamanda Sirro unawezaje kutuaminisha kwamba Jeshi la Polisi...
Ntafurahi nikiona mawazo ya mpwa want HUyu kabla ya mechi Simba vs yanga
Otherwise namtakiaaa mechi njema.kama n mpenzi waoujichanganya avae BARAKOA anawe mikono kabla ya kuzama vibandavyetu vile binafsi ntakuwa kimara bucha WAZEE wA bomoabomoa
Njoooona SADAKA YA UKOMBOZI
OKOA YANGA ISHINDE
Mtanzania yuleyule anayeandika kwenye barua, kwenye mtandao wa kijamii au anayezungumza kutoa pole na kuomba dua anaposikia msiba ndiye huyohuyo anayekuona upo kwenye hatari ya kifo asiseme kitu.
Hakuna Mtanzania kiongozi wa kitaifa aliyesimama nakusema kuwaweka mahabusu watu bila sababu za...
Wakati huu wapo hai, wanaongea hamuwasikilizi, wanashauri mmeziba masikio, wanapendekeza lakini mmeshupaza shingo!
Mtapata faida gani kutokusikiliza hitaji LA watu!
Viongozi wakuu mnachokifanya ni kama dereva na tairi!
Sisi wananchi ni matairi hivyo tunapitia msoto mkali sana kuwabeba nyinyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.