hai

“Haï” is an essay written by French Nobel laureate J. M. G. Le Clézio.

View More On Wikipedia.org
  1. Championship

    JamiiForums Tanzania Kwanini ardhi hai collapse baada ya miaka mingi ya kuchimba mafuta?

    Mafuta yanapotoka huko chini yanaacha nafasi. Ardhi iliyopo juu yake haiwezi kuzama chini? Kwanini miaka mingi hili halijawahi kutokea?
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haipo hai kama mnavyojidanganya. Ipoipo tu kama ilivyo ili kutimiza matakwa. Kama ipo hai ingekuwa na nguvu ya umma

    Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao. Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii. Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii. Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mnyeti ni mfano hai wa Wabunge mizigo na anayehatarisha diplomasia ya nchi

    "ALEXANDER MNYETI" sio jina geni katika siasa ya Tanzania. Wengi wanakumbuka ugomvi wake mkubwa na waandishi wa habari mkoa wa Arusha wakati akiwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru ambapo chanzo kinaelezwa kuwa ni Mnyeti kumuweka ndani mwandishi wa ITV (Arusha) Halfan Liundi kwa kile kilichoelezwa kuwa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Yalihamishwa makaburi na miili ndani, sembuse hawa Wamasai hai na nguvu zao

    Binadamu tunapenda mno kulalamika, haswa sisi tunaojulikana kama raia wa nchi ya Tanzania. Huwa hatuna dogo hata siku moja ni mwendo wa malalamiko. Zipo video zinazozunguka mitandaoni zikiwaonyesha wamasai wakihama kwa ridhaa yao wakielekea makao mapya huko Handeni. Wamejengewa nyumba na...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

    Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi? Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati Magufuli haya masuala hayakuibuka? Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema. Mkuu wa nchi anashiriki...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Hai / Kilimanjaro: Wenyeviti wa vjiji 62 vitongoji 260 hajawahi kulipia posho zao tangu Saashisha Mafue awe Mbunge

    Kwa Hali ya kushangaza na kusikitisha, wenyeviti wa vijiji na vitongoti Jimbo la Hai , Mkoa wa Kilimanjaro, wamesusia uchaguzi wa ndani wa CCM kwa Kile wanachokisema kuwa hawajawahi kulipwa posho zao kwa miaka mitatu sasa tangu wamchahue mbunge wao Saashisha Mafue. Hali imechafuka zaidi baada...
  7. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mchunguzeni Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe

    Mbunge wa Hai SAASHISHA MAFUWE na baadhi ya wajumbe wa chama cha ushirika cha uduru wanatuhumiwa kuongwa kiasi cha shilingi 70,000,000/= na Mrusi aitwaye ALEX au ALTEZA, ili kutengenezea mizengwe muwekezaji wa Makoa Farm Mjerumani aitwaye Elizabeth ili mkataba wake na chama cha ushirika cha...
  8. Leak

    JamiiForums Tanzania Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana. Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa jimbo la Hai ofisi ya CCM ulikochukulia na kurudishia fomu za Ubunge haifanani na hadhi yako

    Kichwa cha habari kinajitosheleza. Mh mbunge Saashisha Mafue mbunge wa Jimbo la Hai. Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijana wa CCM...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania CCM wilaya ya Hai yaibua zoezi la kuwatambua simu na Majina ya wagombea Nafasi za chama kuanzia Mashina hadi kata kabla ya uchaguzi mkuu wa chama

    Chama cha mapinduzi ngazi ya wilaya , wilaya ya Hai huko Kilimanjaro kimeanza zoezi la hila la kuwatambua viongozi watakao chaguliwa kuanzia ngapi ya Shina hadi ngazi ya kata Mia ikiwa kuvuruga uchaguzi mkuu wa chama hicho. Zoezi hilo linaonyesha linaratibiwa na mbunge wa Jimbo kwa...
  11. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Nizikwe hai

    Sikusema nae nilipomuona ufukweni, Hakuniona nataka kumsuprise baby girl, Mtu mwingine akaja mshika bega kabla yangu, Kusimama Nashangaa Mara wanakiss na baby wangu, Ile ki-silencer nagubwikwa na machozi nikimuona mchumba, Wakarudia tena kwa Mara ya pili nikashindwa vumilia nikaenda zangu.
  12. Stroke

    JamiiForums Tanzania Utalii ni zaidi ya wanyama hai na mazingira mazuri kama Taifa tunapaswa kutengeneza Upekee wetu ili kuvutia watalii

    Tanzania sio Nchi Pekee duniani yenye wanyama hai na mazingira mazuri ya kuvutia watalii. Kuna nchi mbali mbali duniani ambazo hazina wanyama wala mazingira mazuri ya kuvutia lakini zinapata watalii kwa mamilioni kwa mwaka. Mfano Mzuri ni Nchi kama Ufaransa watu wanakwenda pale kuangalia tu...
  13. Poker

    JamiiForums Tanzania Kama Kanumba angekua bado hai, unahisi Bongo Movie ingekua wapi?

    The Great Kanumba kama alivyopenda kujiita alikuwa ndio star mkubwa Bongo hii na nje ya mipaka yake. Akishirikiana kwa ukaribu na waghana na wanaijeria katika kuhakikisha tasnia ya Bongo movie inapaa kileleni. Wakati huo enzi za steps entertainment wakiwa kama wasambazaji wakubwa takwimu...
  14. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeshindwa ku rent ama kununua hii Royal tour documentary amazon

    Nimejaribu ku rent ama kununua nikashindwa kwa sababu ya billing address nje na US . Payment inaonyesha in $ tu. Please mwenye msaada ili tuangalie wote ubunifu wa mkuu wa machifu wetu naomba msaada.
  15. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania Hai: DED aagiza walimu wote kwenda kumpokea Rais Samia uwanja wa KIA

    Ujumbe wenyewe huo hapo Habari za jioni, napenda kuwataarifu kuwa kesho kutakuwa na ujio wa Mhe. Rais , hivyo watumishi wote tunatakiwa tufike uwanja wa ndege wa kia saa kumi na mbili kamili asubuhi.
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikataa kukosolewa akiwa hai, sasa watu wanamkosoa akiwa amekufa

    Vita kali ya maneno ya kumkosoa na kumdhihaki Magufuli inayoendelea sasa huenda ni matokeo ya kitendo cha Magufuli kukataa kabisa yeye na utawala wake kukosolewa akiwa hai. Hichi kinachoendelea ni matunda ya tabia ya Magufuli mwenyewe ya kupenda kusifiwa tu huku akiwadhihaki watangulizi wake...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na chama chake wametufumbua macho,serikali ya CCM iliua na kuteka watu. Baadhi ya waliohusika wapo hai wafikishwe kortini

    Naona huko twita anapost bila hata kuficha kitu. Anadai kuwa Akina Ben, Azory na wengine wengi ni wahanga. Kwa hiyo kama ndio hivi wahusika watakuwepo mitaani huu ndio wakati wa kuwapeleka kortin.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tulimtahadharisha Mwendazake akiwa hai hatukusikia yeye na wafuasi wake, hivyo leo wavumilie anaposemwa

    Tuliandika humu tukabezwa, kukejeliwa na kupuuzwa, ila leo yanatimia kwa watu kueleze aliyoyafanya na yaliyofanywa chini ya utawala wake. Ukizui watu kusema ukiwa hai, watakusema ukishakufa. Binadamu kamwe hawezi kosa la kukufanya hata kwa kukusema tu inatosha kunfanya aondoe dukuduku lake...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tunamponda Magufuli akiwa hai, sasa tutamtetea akiwa Amekufa!

    Kwema Wakuu! Hakuna atakayemsema Hayatti Magufuli akapata Faida yoyote Ile, zaidi nawaona wanaomkosoa hasa viongozi wakipata uharibifu mkubwa na kujenga chuki mioyoni mwa wananchi wa chini. Nimemsikia Mhe. Zito Kabwe akimshambulia JPM Kwa namna mbalimbali, nataka kumhakikishia Zitto kuwa...
  20. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Leo tar 12 April 2022, Serikali yatangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi. Zaidi ya billion 40 kutumika

    Leo tarehe 12 April 2022 Serikali yetu kupitia Wizara ya Ajira na utumishi wa Umma imetangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi kibao. Serikali yetu imesema itatumia zaidi ya shilingi bilion 40 katika michakato hii yote. Kwa taarifa zaidi ingia www.utumishi.go.tz Kila la kheri vijana.
Back
Top Bottom