habari

  1. H

    Natafuta kazi ya ukalimani wa Kichina

    Naomba kwa yeyote ambae ana taarifa au kusikia tarifa kampani ya Kichina ndani ya Tanzania hii wanatafuta mkalimani basi naomba a share na mm hizo taarifa. Asanteni. Nambari zangu ni 0626488282 Whatsapp +255779790006 Wechat+255626488282
  2. Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  3. D

    Ukiangali Taarifa ya Habari za TV za Kibongo unaweza fikiri zote zinatumia Ripota mmoja kwa kufanana

    Kuanzia Chanel 10, Cloud's TV, Star TV had ITV! Matukio ni Yale Yale, wanaohojiwa Ni walewale!, Ujumbe Ni uleule! Sijui huwa wanaambizana cha kuripoti siku hiyo!? au wote wanatumia repota mmoja !
  4. Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

    Wanabodi, Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa. Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya...
  5. Deogratias Nsokolo, Rais UTPC na kada wa CCM ni "kirusi"kwa waandishi wa habari nchini

    Deogratias Nsokolo, Rais UTPC na kada wa CCM ni "kirusi"kwa waandishi wa habari nchini Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Deogratias Nsokolo ni kirusi kinachowauwa waandishi wa habari katika mapambano ya kudai haki na ukuaji wa tasnia hiyo kwa ujumla. Rais wa UTPC...
  6. Baraza la Habari: Waandishi waliochukua fomu kugombea nafasi za kisiasa waondoke katika Tasnia ya Habari

    Baraza la Habari Tanzania (MCT), limesema kuwa waandishi waliojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbali mbali za kisiasa ni haki yao ya msingi kama walivyo raia wengine hapa nchini, lakini wanapaswa kuondoka katika uandishi wa habari. Katibu Mtendaji wa MCT, Bw. Kajubi Mukajanga ameyasema...
  7. M

    Nina tatizo la uvimbe kama gololi kwenye korodani

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujuzwa tatizo la uvimbe kwenye korodani na athari zake.
  8. A

    Vyombo vya Habari Tanzania na COVID-19

    Huwa najiuliza iweje Vyombo vyetu vya Habari vina uwezo wa kuripoti maambukizi na vifo vya COVID-19 nchi jirani kama Kenya, Rwanda, Uganda na nchi zingine za mabeberu lakini hawawezi hata kidogo kwenda kufanya uchunguzi kwenye mahospitali yetu Je, Tanzania ni zero COVID-19? au vyombo vyetu vya...
  9. TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Ndugu WanaJF, Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi. Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika...
  10. GE2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  11. M

    Inakuaje magazeti haya yanakuwa na kichwa cha habari kinachofanana?

    Magazeti tofauti, waandishi tofauti kichwa cha habari kinachofanana hadi maneno yalivyoandikwa. Je, mwandishi wa magazeti haya ni mmoja au yanaandika kwa maelekezo kutoka upande fulani?
  12. GE2020 Katibu wa Kamati ya Maudhui ya TCRA, Dkt. Philip Filikunjombe achukua fomu ya Ubunge Ludewa kupitia CCM

    Mwanasheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzaniania (TCRA) ambaye ni Katibu wa Kamati ya Maudhui inayofungia Vyombo vya Habari kwa kukiuka Kanuni za Maudhui mitandaoni, Dkt. Philip Filikunjombe amechukua fomu kuomba kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Ludewa
  13. Naomba kufahamishwa Course za Masters zisizo za Kielimu, ambazo mtu mwenye Shahada ya Elimu( BED)

    Habari zenu waungwana. Naomba kufahamishwa kuhusu Course za Masters zisizo za Kielimu, ambazo anaweza kusoma mtu mwenye Shahada ya Elimu ( BED).
  14. J

    GE2020 Polepole aongea na Waandishi wa Habari kuhusu mazingatio kwa wagombea wa CCM, aweka wazi ratiba ya uchukuaji fomu ya Wabunge na Madiwani

    Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole ataongea na waandishi wa habari kuanzia saa 10.00 jioni. Kikubwa ni nidhamu ya kuzingatiwa kwa watia nia ya kugombea Ubunge na udiwani kwa tiketi ya chama tawala yaani chama dume CCM. Baba Lao. Mkutano unafanyika katika ukumbi wa Jakaya...
  15. Habari hii inashtua, inahuzunisha na kufikirisha

    If you have a job & your company is still operating, be very grateful WHY? 1. Victoria's Secret declared bankruptcy. 2. Zara closed 1,200 stores. 3. La Chapelle withdrew 4391 stores. 4. Chanel is discontinued. 5. Hermes is discontinued. 6. Patek Philippe discontinued production. 7. Rolex...
  16. Wananchi zaidi 90 Wilayani Kilwa mkoani Lindi wamerudisha kadi za ACT-wazalendo na CCM na kujiunga na chama cha wananchi CUF

    #HABARI WANANCHI ZAIDI 90 WILAYANI KILWA MKOANI LINDI WAMERUDISHA KADI ZA ACT-WAZALENDO NA CCM NA KUJIUNGA NA CHAMA CHA WANANCHI CUF Mkurugenzi wa mafunzo na udhibiti CUF Taifa Mhe. Masoud Omar Mhina kutoka kushoto ndiye aliyepokea Kadi hizo na Kuwakabidhi kadi za Chama Cha Wananchi CUF...
  17. J

    Uhusiano kati ya tasnia ya habari, uhuru wa kujieleza na dhana ya Haki za Binadamu

    Demokrasia dhidi ya uhuru wa kujieleza/vyombo vya Habari Demokrasia sahihi hutegemea uhuru wa vyombo vya habari vinavyoweza kusimamia maslahi ya jamii. Kimsingi, haki zinazohusiana na uhuru wa kutoa maoni na kujieleza bila ya kuingiliwa, kutafuta, kupokea, na kusambaza taarifa na mawazo ya aina...
  18. Kipanya na hatima ya Wanahabari

    Msanii maarufu wa katuni ajulikanaye kama Kipanya leo hii ametuletea kisa cha hatima ya wana habari na vyombo vyake. Je, huyo nyoka anawakilisha nini au ni nani?
  19. Kwanza Online TV yafungiwa miezi 11, kwa kuchapisha taarifa ya Marekani

    Ni kwa kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta 2018 kwa kuchapisha taarifa ya Ubalozi wa Marekani TCRA imesema taarifa hiyo ilijaa upotoshaji na Kwanza TV waliichapisha bila kuzingatia mizania
  20. Habari ya ITV iliyowang'oa DED na DC Mvomero: Vyombo vya habari kutakiwa kuomba ruhusa kabla ya kurekodi na kutangaza habari

    Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…