habari

  1. Habib Halahala: Mwandishi wa habari wa Rais Nyerere na Rais Mwinyi aliyefariki kifo kibaya

    Habib Halahala alichaguliwa kuwa mwandishi wa habari na mpiga picha wa Rais Nyerere mwishoni mwa utawala wa Rais Nyerere kwenye miaka ya 1980. Ilipofika mwaka 1985, Mwl Nyerere aling'atuka ofisini kama Rais wa kwanza wa Tanzania mara baada ya takribani miongo miwili na robo madarakani. Habib...
  2. N

    Habari mbaya kwa Makanjanja: kocha chizi la Orlando Pirates aiomba msamaha Simba na CAf

    Habari hii ndugu zangu wana jukwaa hamtaisikia ikiongelewa kwenye "media" zetu za HOFYOHOFYOOOOOO makanjanja huko yalipo yamekunja hadi sura maana week hii wamejaribu kufanya yooote kutingisha wana simba waapiiii raia wamekausha tu kimya lengo lao la kuleta mgogoro limeshindikana Team kushika...
  3. Vyombo vya habari Malawi vyajiwinda kumsubiri balozi Polepole aanze kusakata sebene, vimuandike, viuze magazeti

    Waandishi wa habari za udaku wa Malawi wanajiwinda kuanza kuandika habari za vituko ambazo balozi wa Tanzania Malawi atakuwa akiweka katika mitandao yake ya kijamii Balozi Polepole, ambaye atakuwa sura ya Tanzania na Rais wa Tanzania, ana tabia ya kushangaza ya kukata mauno akicheza sebene...
  4. Vyombo vya Habari vidhibitiwe kueneza Habari za Kijinga na za kizushi

    Inakera sana kusikia chombo rasmi cha habari, kilichoaminiwa na serikali mpaka kupata leseni kushiriki kueneza upuuzi kwa lengo tu la kupata Wasikilizaji au Wafuatiliaji. Tunaweza kuchukulia mambo kirahisi lakini amini amini nawaambia madhara yake yanaitafuna jamii taratibu na tutadhalilika...
  5. B

    Mwenezi Shaka Hamdu Shaka kufanya mkutano na Waandishi wa Habari leo 23 Mei 2022

    🔥🔰MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA NA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI ASUBUHI HII🇹🇿. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumatatu tarehe 23 Mei, 2022 atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) Jijini Dodoma...
  6. Arumeru: Wandishi wa habari wapigwa mawe na mizimu na kutimka mbio. Mawe hayajulikani yanatoka wapi. Yanamwagika kama mvua

    Waandishi wa Habari mkoani Arusha wametimuliwa kwa kupigwa na mawe ambayo hayajulikani yanapotokea katika Kijiji cha Kiwawa Wilayani Arumeru, ikiwa ni baada ya waandishi hao kufika kwenye eneo hilo kufuatilia taharuki ya wananchi kupigwa kwa mawe yanayohisiwa kurushwa na mizimu.
  7. M

    Kipa Diarra wa yanga apewe heshima yake ni habari nyingine

    Nimekuwa nikiona mijadala mbalimbali ikiendelea hapa wakishindanishwa magolikipa diarra na Manura kwamba nani ni bora, Naweza kusema golikipa Djigui diarra kuna vitu vingi sana kamzidi manura achilia mbali kufanya vizuri kwenye ligi ya Tanzania, uyu diarra walio wengi wamekuja kumjua...
  8. Video yaonesha kabla ya kifo cha mwandishi wa habari Abu Akleh hakukuwa na majibizano ya risasi

    Video mpya imesambaa ikionesha hakukuwa na mashambuliano yoyoye wakati mwandishi wa habari Abu Akleh anauawa kwa risasi, kama ilivyoelezwa awali kuwa aliuawa wakati wa mashambulizi baina ya pande mbili Video hiyo inamuonesha mwanahabari huyo wa Al Jazeera akiwa katika hali ya utulivu na wenzake...
  9. Bulaya: Sheria zenye ukakasi zinaminya Uhuru wa Habari

    Mbunge Ester Bulaya (Viti Maalum) amesisitiza Mabadiliko katika Sheria ya Huduma ya Habari 2016 akisema Waandishi wa Habari bado wanatishwa na hawafanyi kazi kwa Uhuru kwenye baadhi ya maeneo. Amefafanua, "Leo hakuna Habari za Kiuchunguzi, hata Makala zinazoandikwa ni za kawaida. Sheria hii...
  10. HOTUBA: Waziri wa Habari, Nape Nnauye akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Mapato na Matumizi 2022/23

    Waziri wa Habari Nape Nnauye akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Mapato na Matumizi 2022/23 Laini za simu Aprili, 2021 - laini 52,965,816 Aprili, 2022 - Laini 55,365,239 Sawa na ongezeko la 4.5% Watumiaji wa intaneti Aprili, 2021 – Watu Milioni 29.1 Aprili, 2022 – Watu Milioni 29.9 Wawa na...
  11. Habari! Shedrack David From Chugastan

    Habari! Shedy David from Chugastan hapa. Nami nasema hodi Jf. Hivi ni forum gani huwa inakua active sana humu niweke kambi huko?
  12. Ni nini naweza kutumia ili nywele zangu kuwa kavu na ngumu?

    Habari za muda huu wakuu, hope mmeamka salama. Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada. Kuna jambo moja ambalo linanipa kero sana ni kwamba nimekuwa nina nywele laini kiasi kwamba kuna watu wanajua kwamba huwa naweka dawa zile wanazotumia wanawake na hizi nywele mimi nimerithi kwa...
  13. Vatican yalaani vurugu za Israel katika mazishi ya mwandishi wa habari

    Mwakilishi wa Vatican Nchini Jerusalem, Monsignor Tomasz Grysa ameijia juu Israel kwa kukiuka makubaliano ya miongo kadhaa ya kutetea uhuru wa kidini la mwaka 1993, baada ya kufanya vurugu katika mazishi ya mwandishi wa Habari Shireen Abu Aqla. Askari wa Israel waliwapiga waombolezaji...
  14. Z

    Naomba Ushauri: Binti yangu amepangiwa Chuo na huku alishaanza masomo ya Pre-Form 5

    Habari wakuu, Naomba ushauri kwenye hilo: binti yangu amechaguliwa katika Chuo cha Diplomasia cha Kurasini Dar es Salaam katika kozi ya International Relations and Diplomacy, lakini wakati tulikuwa tunasubiri kupangiwa shule nilimpeleka kuanza pre form five katika shule moja ya private Kule...
  15. Mbeya: Mwandishi wa Habari afariki baada ya kujifungua

    Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mbeya (MBPC) kimepata pigo baada ya kuondokewa na mwanachama wake wa muda mrefu, Hannerole Mrosso aliyefariki baada ya kujifungua katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kitengo cha Wazazi Meta Jijini Mbeya tarehe Mei 13, 2022. Akitoa taarifa mume wa...
  16. Wanahabari 50 wa Tanzania kujifunza kuandika habari za fedha na biashara

    Taasisi ya Bloomberg Media Initiative Africa (BMIA) imetangaza kuanza kwa awamu ya pili ya programu ya mafunzo ya uandishi wa habari za fedha (FJT) kwa waandishi wa Tanzania. Mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha waandishi wa habari wa fedha na biashara kuandika habari za kina zinazohusu sekta...
  17. Marekani na Umoja wa Mataifa walaani mauaji ya Mwandishi wa Habari wa Al Jazeera

    Marekani na Umoja wa Mataifa wamelaani vikali mauaji ya mwandishi wa habari wa Al Jazeera ambaye alikuwa anaripoti kuhusu operesheni ya jeshi la Israel katika ukingo wa magharibi. Shireen Abu Akleh, m Mmarekani mwenye asili ya Palestina mwenye umri wa miaka 51, alipigwa risasi licha ya...
  18. Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

    Mwandishi wa habari Shireen Abu Akleh enzi za uhai wake Mwandishi wa habari wa Al Jazeera Shireen Abu Akleh (51) ameuawa kwa kupigwa risasi ya kichwa akiwa katika majukumu yake ya kazi wakati akifuatilia uvamizi wa Jeshi la Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin. Wizara ya Afya ya Palestina...
  19. Kauli ya Rais kwa waandishi 'Wapara' kuwa wakimpara "Atawaparua", Je Rais Samia ni katili?, Soma Jinsi ya kuwabaini makatili!. Ni kutumia macho tu!.

    Wanabodi, Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana. Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa kutumia experience yako kuelimisha wengine nao wajue. Ila kauli ya Rais Samia aliyoitoa siku ya Uhuru...
  20. Habari Wana jamii

    Nimwaka wa tatu Sasa natafuta mchumba wa kuowa, lkn Kila nikipambana kutafuta naangukia pia, naombeni maelekezo websaiti nayoweza PATA wachumba... Ata group la mamanzi wa kizungu mm fresh... Nisaidien jmn Angalizo: Kama Kuna bibie yeyote Alie nielewa anichek tufanye maisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…