Magazeti ya Tanzania yana habari nyingi za kupotosha

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,443
8,288
Hii habari ya Gazeti la Mwananchi imejaa uongo mkubwa. Inasema mishahara ya paa.

Ukiangalia Ile document ya increment inasikitisha kweli sekta binafsi kima cha chini kutoka 120k Hadi 150k gazeti linasema mishahara imepaa.

Ivi Kwa dunia ya Leo Nani anaweza kuishi Kwa Mshahara wa 150k.

Amini na waambia magazeti hasa yaliyojikita kusifia serikali yana habari nyingi za mchongo.

Nakupa home Fuatilia sakata Kati ya Bandari na TICS Kwa undani na kinachoandikwa na magazeti yetu utalia.

Mishahara.jpg
 
Hii habari ya Gazeti la Mwananchi imejaa uongo mkubwa...
Kwani hisa za CCM huko mwananchi waliziuza? Mwananchi communications na Uhuru media ya uvccm ni sawa na godoro na shuka. hawana tofauti. tofauti ni majina tu na location wanakofanyia kazi.
 
sudani pale temeke Mk...ndu buku ukilinganisha na mshahara ni tofauti
 
Gazeti la Mwananchi binafsi limepoteza heshima yake, halina tofauti na gazeti la Habari Leo, ninawaadhibu kwa kutonunua gazeti lao, na mbaya zaidi wameshamsahau mwandishi wao aliyepotea, Azory (profesa wa majalalani ,damu ya mwandishi huyu inakulilia).
 
Magazeti yetu nahisi huwa yanalipwa kupindisha ukweli ili watu wasijue, kuna mambo huwa yanaandikwa ila kwa ndani huwa ni tofauti kabisa.
 
Hii habari ya Gazeti la Mwananchi imejaa uongo mkubwa. Inasema mishahara ya paa.

Ukiangalia Ile document ya increment inasikitisha kweli sekta binafsi kima cha chini kutoka 120k Hadi 150k gazeti linasema mishahara imepaa.

Ivi Kwa dunia ya Leo Nani anaweza kuishi Kwa Mshahara wa 150k.

Amini na waambia magazeti hasa yaliyojikita kusifia serikali yana habari nyingi za mchongo.

Nakupa home Fuatilia sakata Kati ya Bandari na TICS Kwa undani na kinachoandikwa na magazeti yetu utalia

Labda kwa yeye hiyo pesa nyingi sana

Acheni unafiki!! kupaa manake kwenda juu! juu zaidi ya kiwango au mahali/hali iliyozoeleka! ivo kima cha chini kimetoka 120 na kupaa hadi kufkia 150 sasa uongo wa wandishi wahabari ni nini???

kwa sababu wameandika hali ilivyo! acheni roho mbaya za kiswahili hizo!!..msipo soma hayo mtapata wapi ya ukweli ilimyasome?? Africa Now?...au labda African Events/N.York times! ndo mnaona ya maana siyo!

si uhame nchi!! nenda kaishi huko, tuachie hayo! magazeti yetu! ndo tulivyo!...akili yako ndogo haijui kupamabanua kati ya uongo/kawaida/ na ukweli!...sasa uanataka mishahara yetu ilingane na ya USA? Kweli??

Mbona wapokeaji wana mudu maisha yao?? Umekurupuka wkt hata Passport ya kwenda hapo Kenya tu huna!
 
Hii habari ya Gazeti la Mwananchi imejaa uongo mkubwa. Inasema mishahara ya paa.

Ukiangalia Ile document ya increment inasikitisha kweli sekta binafsi kima cha chini kutoka 120k Hadi 150k gazeti linasema mishahara imepaa.

Ivi Kwa dunia ya Leo Nani anaweza kuishi Kwa Mshahara wa 150k.

Amini na waambia magazeti hasa yaliyojikita kusifia serikali yana habari nyingi za mchongo.

Nakupa home Fuatilia sakata Kati ya Bandari na TICS Kwa undani na kinachoandikwa na magazeti yetu utalia.

View attachment 2436353
Uingereza habari zinaandikwa na wenye taaluma ya hicho anachokiandika. Siyo kila mtu ni Mwanahabari. Ndiyo maana Magazeti ya Uingereza unaweza kujibia mitihani shuleni na vyuoni.
 
Acheni unafiki!! kupaa manake kwenda juu! juu zaidi ya kiwango au mahali/hali iliyozoeleka! ivo kima cha chini kimetoka 120 na kupaa hadi kufkia 150 sasa uongo wa wandishi wahabari ni nini???

kwa sababu wameandika hali ilivyo! acheni roho mbaya za kiswahili hizo!!..msipo soma hayo mtapata wapi ya ukweli ilimyasome?? Africa Now?...au labda African Events/N.York times! ndo mnaona ya maana siyo!

si uhame nchi!! nenda kaishi huko, tuachie hayo! magazeti yetu! ndo tulivyo!...akili yako ndogo haijui kupamabanua kati ya uongo/kawaida/ na ukweli!...sasa uanataka mishahara yetu ilingane na ya USA? Kweli??

Mbona wapokeaji wana mudu maisha yao?? Umekurupuka wkt hata Passport ya kwenda hapo Kenya tu huna!
Umeandika mambo meengi ya hovyo.
 
Umeandika mambo meengi ya hovyo.
Unadhani utajibu nini?? km siyo kukashfu??.....niamini mimi ndivo ulivo!...sidhani km mke huyo bado anaishi na mtu km weye!! labda awe house girl mzee!

unawaonea wivu waandishi wa habari!! kwa kuwa weye uli fail hiyo course!!
 
Back
Top Bottom