Habari mtanzania mwenzetu anaomba support yetu

Jenmoph

New Member
Jul 14, 2022
2
0
Ni jambo la buheri kuwa wanajamvi wote mu wazima Kuna mtanzania mmoja mdogo kiumri kama namzidi miaka mitatu ila niseme ukweli na yeye kanizidi akili kulingana na alichokifanya.
Kumenoga 1-2.jpg

Kijana anaitwa Idrisa Amiry ni kijana mdogo amefungua online classified website ambayo ni KUMENOGA baada ya kunipa link nkaitembelea kiukweli nimeget kuwa insipired kwa kufanya maamuzi aliyo yafanya na kuamua kuthubutu

Mawasiliano yake
+255747300730
Anapatikana Mwanza
Anaomba support yetu kwa project yake
 
Back
Top Bottom