habari

  1. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kutisha Wizara ya Habari na Michezo

    Ofisi nzima kuanzia waziri wapo Uturuki kuponda raha eti wameenda kushangilia timu ya Walemavu/Tembo Warriors. Swali: Hii wizara kazi yake ni moja tu kushangilia Tembo Warriors? Huu ni ufisadi was kutisha, rudini mhudumie wananchi wizi ni dhambi. Tangu msifiwe na Rais sasa imekuwa ndio tiketi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania MASTORI YA OSCAR: Kwanini Ofisa Habari wa klabu amzidi hadi Rais wa nchi kuongea?

    MOJA kati ya shida kubwa za maofisa habari wa klabu zetu ni kuongea sana. Ni rahisi sana kumuona ofisa habari wa Simba anakwenda kwenye chombo cha habari kuzungumzia timu kwa saa tatu. Ni jambo la kawaida kabisa kumuona ofisa habari wa Yanga akienda kufanyiwa mahojiano juu ya klabu yake kwa saa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua haya kuhusu Chuo cha Bandari

    Jamani naomba kujua kuhusiana na chuo Cha bandari ambacho kipo TANDIKA pale hivi short course zile mbona nina bei kubwa sana na kwa wiki 6 tu na vipi KUHUSU ajira zake zipoje maana nataka kwenda kusoma pale na ipi ni kozi nzuri ambayo itakuwa rahisi kwa ajira. Mwenye uelewa KUHUSU ili...
  4. To yeye

    JamiiForums Tanzania Hivi neno breaking news wamesema tusiseme habari mpasuko ila tuseme hivi punde au punde si punde?

    Punde Si punde
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Taasisi zote zinatakiwa kutoa taarifa kwa wananchi na kutoa ufafanuzi mbalimbali kwenye vyombo vya habari

    Na Grace Semfuko, MAELEZO Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amewataka Viongozi wa Taasisi za Serikali Nchini, kutoa taarifa za mafanikio ya utendaji kazi wa taasisi hizo kwa Vyombo vya Habari, ili kuwaonesha Wananchi maendeleo yanayofanywa na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Azam Media kwa Mapinduzi ya Tasni ya Habari Nchini

    Hakika nyie ni magwiji, Watanzania tunajivunia nyie kwa Sasa. Hongereni pia kwa kutoa vipaji vingi vinavyoenda tumika mahala pengine na vingine vinavyotumika mpaka sasa. Azam Media🙌🏻 👉🏻 Ahmedy Ally from Azam to Simba. 👉🏻 Ally Mayai from Azam to wizarani. 👉🏻 Charles Hillary from Azam to...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe achaguliwa kuwa Afisa Habari wa Yanga

    Klabu ya Yanga imemteua Mchambuzi Ally Kamwe kuwa Afisa Habari mpya wa klabu hiyo huku Privaldinho Abiud akiteuliwa kuwa msimamizi Mkuu wa Digital (Digital Manager) kwa lengo la kusimamia platforms zote za habari za klabu hiyo.
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mbeya kutamu bwana, usisikie habari za mtandaoni

    Mbeya ni mkoa mzuri sana kijografia, ukiwa umezungukwa na milima na vilima. Mito na vijito, hali nzuri ya hewa, udongo mzuri wenye rutuba na mambo mengi mazuri. Watu wa Mbeya ni wakarimu sana, watoaji na wenye upendo, ila ukiwazingua wanakuzingua mara milioni sita zaidi. Mbeya kuna mandhari ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye kujua kozi gan nzuri kati ya Tourism managent an markerting, BAGES au IT application and management

    Tafadhali msaada kwa wenye kujua...halafu ni ipi kwa hapo ipo marketing
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Habari zakutisha, Marais wawili wa mataifa makubwa kiuchumi hawajulikani walipo ila mmoja inasemekana kapinduliwa

    Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake...
  11. AKILI TATU

    JamiiForums Tanzania Habari hizi za kimataifa kwa manufaa ya nani hapa Tanzania?

    Wakongwe wa tasnia ya habari akiwemo mkuu Pascal Mayalla mtanisaidia kujua ukweli wa hili. Kwa muda mrefu redio na TV zimekuwa na hizi habari wanazoziita za kimataifa na wakati mwingine wanavuka na kuzichambua kabisa, kiukweli Sina Shaka na hilo, lakini Shaka inakuja wanatuletea habari za...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za juu zimeamuru takadini afunguliwe na TFF, cheo cha u-afisa habari hichoooo, pole sana Karia

    Naam Takadini alicheza kama pele kuchelewesha mchakato wa kumpata afisa habari wakati huohuo mamlaka za juu zikifanya kazi yake kuamuru afunguliwe haraka sana. Sasa ni wazi Sope takadini ndiye anaenda kuwa afisa habari wa yanga kwani vile vigezo vilivyoanishwa na team hiyo anavyo vyote tena...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wakati tunasubiri ni afisa habari gani wa Yanga atachaguliwa na Manara tuwe na subira

    Watu wametuma maombi wengi kwelikweli lakini ni lazima THE GENIUS HAJJ MANARA msomi mwenye degree mbili moja ya media toka south africa na moja ya political science toka china aridhike na kumpitisha Ikumbukwe kwa muda mfupi mshabiki huyo kindakikindaki aliyejiunga yanga miezi kadhaa iliyopita...
  14. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Simba, Yanga, na vilabu vyote, vitengo vyenu vya habari vijiongeze vifanye majukumu yao kikamilifu

    Kila siku huwa najiuliza hivi ni kweli hivi vilabu vyetu vina vitengo kabisa vya habari na mawasiliano? Au ukishakuwa na smartphone na kujuwa kubwabwaja na kupost mipasho ndio imeisha hiyo? Mimi Leo naomba niwaongeze ili msijizime data mjiupdate, wachezaji masuper star majina yao yanatumika...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote kwenye Kampuni au Hoteli

    Habari wana JF, Jamani natafuta kazi yeyote Kiwandani au Hotelini,, Naombeni Connection Nipo tayari, namba zangu ni 0676795851 au 0744795851
  16. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Nauli ya treni kutoka Dar kwenda mwanza

    Wakuu habari za usiku ,naombeni mnisaidie bei ya nauli kutoka dsm mpaka mwanza n bei gani na nitatumia siku ngapi njiani
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wavuvi: Hii habari ya Sangara/Sato kuhifadhiwa na chloroform ni ya kweli

    Akihojiwa na Sexless , mvuvi (jina kapuni) amesema "Sato na Sangara wana minofu mikubwa kutokana na maumbo yao. Mara nyingi wamekuwa wakioza wanaposafirishwa toka Mwanza mpk mikoa mingine kwa kuwagandisha na barafu". "Lkn maji ya kuoshea maiti (chloroform) yakitumika samaki hao hufika popote...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nape ashauri TCRA iunde kanuni ya kusimamia na kukuza maudhui ya ndani

    Kikao hiki kimefanyika kwa siku mbili ambapo jana Septemba 15, 2022 wadau walilalamikia baadhi ya sheria kuminya uwanja wa ubunifu na utengenezaji wa maudhui shindani. kwa upande mwingine, wadau wa maudhui walieleza kutokuwa na uwezo wa kulinda kazi zao, kutafuta vyanzo vya mapato na kuziweka...
  19. Superfly

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vingi vya habari siku hizi vinareport sana matukio ya Mauaji na Vifo?

    Niende moja kwa moja kwenye hoja, siku za hivi karibuni kila ukiingia mitandaoni kama Instagram, YouTube, twitter, na hata hapa jamii forums, au ukiangalia channels nyingi za habari hapa Tanzania lazima ukutane na taarifa nyingi za mauaji ya kikatili au watu kujiua (suicide). Kwanini vyombo vya...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapotosha ukweli wa Xinjiang kwa kutunga habari za uwongo

    Chuo Kikuu cha Stanford cha Marekani hivi karibuni kilitoa ripoti iliyofichua kuwa Marekani inatumia mitandao ya kijamii kupotosha maoni ya umma duniani kuhusu Xinjiang. Ripoti hiyo iliyotolewa kwa pamoja na Chuo Kikuu cha Stanford na Kampuni ya Uchambuzi wa Majukwaa ya Kijamii Graphika...
Back
Top Bottom