habari

  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hizi taarifa kwamba Gerald Hando hana taaluma ya uandishi wa habari ni kweli? Kwamba alisomea ufundi bomba?

    Kuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba. Anayemjua vizuri atupe za ndani
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Unamshauri Nini Mtu ambaye Hana Habari na wazazi wake ?

    Binafsi tangu nianze kuwa karibu na wazazi na kuwa karibu na Mungu nimeona Mabadiliko Katika Maisha yangu. Je Endapo ukifanya kinyume chake je ntarudi Kwenye msoto na kuanza kuishi Maisha ya bahati nasibu ? Kufikia hatua ya kushindwa kulipa Bima Kama Mwanzo na je ntarudi kupanga uswahilini na...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari/Idara ya Habari Maelezo: inakuwaje channel/mitandao ya habari ya serikali inafikia miaka mitano haina habari mpya? Mnawapimaje?

    Maafisa Habari waliajiriwa kwa ajili ya kuunga daraja la mawasiliano kati ya serikali na wananchi. Inafikia miaka mitano mtandao rasmi hauna habari yoyote mpya. Nadhani Sasa wawekewe malengo ya habari zisizopungua 15 kwa mwezi kwa Kila halmashauri au Ofisi ya RAS. Kila Mkoa una maafisa hawa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Sibuka Radio aliyesoma Vichwa vya Habari leo arudi tena Darasani anatia 'Kichefuchefu' Kumsikiliza

    Tafadhali Mzee wangu na Mmiliki wa Sibuka Media Dk. Nangale na Mkeo Doreen Nyange ( Boss Mwandamizi Sibuka Media ) mmekumbwa na nini Siku hizi hadi mnaajiri Watangazi wa hovyo hovyo na wanaotia Kichefuchefu kuwasikiliza kama huyu wa leo? Nawaombeni hebu rejeeni Kukagua Academic Credentials za...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri lawapa Tuzo Waandishi wa Habari za Watoto na walioripoti UVIKO-19

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limetangaza kampeni ya kutoa elimu kwa waandishi ya namna ya kuhamasisha jamii kutoa maoni yao kupinga ndoa za utotoni. Akizungumza katika hafla ya kutoa Tuzo kwa Waandishi wa habari za Watoto, pamoja na mambo mengine Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amesema...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali "imevilazimisha" vyombo vya habari viripoti habari nzuri pekee za watawala wa CCM?

    Kwa nchi yoyote yenye utawala Bora, inavitumia vyombo vya habari kama mhimili wao wa 4, usio rasmi, baada ya mihimili rasmi ya Serikali, Mahakama na Bunge, katika kuendesha nchi. Huwa wanavitumia vyombo vya habari kama "watchdogs" vyao Kwa kuwa huwa wanakosoa, Ili serikali Ione mapungufu yake...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuna tiba nzuri ya gono?

    Wakuu habari. Natumaini ni wazima wa afya. Nna kijana wangu anasumbuliwa na gono na amepata matibabu mapema na kama liza dozi. Lakini halia ake bado ni ngumu haileti matumaini. Ushauri wenu jamani..ipi njia nyingine ya kufanya aweze pona .Na dWa alizo tumia ni cefixeme.
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nimelelewa na kusoma shule za Mapadri lakini ni Muislam safi tu. Habari za kubishana kuhusu dini hazina maana

    Kwa sisi watu tuliopata bahati ya kusoma maandiko Bible na Quruan huwezi kuona tunabishana kuhusu dini, maana maandiko ndiyo Maisha tulionza kuyaishi takribani miaka 7 hadi leo tumekuwa watu wazima. Kwahiyo, hizi ligi zenu kuhusu dini sahihi kati ya christian na uislamu, jibu ni moja; soma...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Star Tv wameingia vitani dhidi ya awamu ya sita? Habari ya SSH kuzindua uingiaji maji Stiglers ilirushwa ya mwisho, Alloyce Nyanda atumika

    Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza. Ni star tv tu ndio walirusha habari hiyo kama ya mwisho, ishara ya wazi ya chuki kubwa waliyo nayo dhidi ya SSH. Wahusika wanamtumia Alloyce Nyanda kama...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waandishi wa habari Tanzania hawaongelei rushwa?

    Tumekuwa na taifa la ajabu hasa kwenye waandishi wa siku hizi. Hakuna hata blog mmoja au youtube channel ambayo ni ya rushwa! Wakati ndiyo kitu kikubwa sana wananchi hawakipendi. Tume baki kuangalia tu idadi ya wanawake wa wasanii! 🤔 na umbeya kila siku Nashauri wana habari tengeni muda na...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya Serikali na wadau wa Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Desemba 17, 2022

    Ukumbi wa Kimataifa Wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC)- Dar es Salaam AZIMIO LA JUMLA Kongamano limeazimia kuipongeza serikali ya awamu ya sita kwa hatua kubwa iliyochukuliwa kupanua uhuru wa vyombo vya habari na kufungua milango ya mazungumzo na wadau wa habari kuhusu ukuaji wa sekta ya...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yaitunukia Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kudhamini Kongamano la Habari 2022

    Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeikabidhi Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kutambua uamuzi wake wa kuwa Mdhamini wa Kongamano la Habari lililofanyika leo Desemba 17, 2022 jijini Dar es Salaam.
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wadau washauri Vyombo vya habari viwe na Dawati la Jinsia kukabili rushwa ya ngono

    Ili kukabiliana na rushwa ya ngono na mfumo dume katika vyumba vya habari, wadau wa habari wameshauri kwamba kila chombo cha habari kinapaswa kuwa na dawati la jinsia. Kauli hiyo imetolewa na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari kwenye mkutano uliofanyika Desemba 16, 2022, jijini Dar es...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Twitter imeanza kufunga akaunti za waandishi wa habari wanaomkosoa Elon Musk

    Twitter yasitisha akaunti za waandishi wa habari wanaoandika habari za Musk Twitter ilisimamisha akaunti Alhamisi ya zaidi ya wanahabari nusu dazeni waliokuwa wakiandika kuhusu kampuni hiyo na mmiliki wake mpya Elon Musk. kuwanyamazisha waandishi wa habari kwenye Twitter huku wakidai kuwa...
  15. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Ukitaka habari za michezo zilizojaa uvumi na uchambuzi uliyoshiba basi sikiliza U-Live ya UFM saa 10 jioni

    Leo nimesikiliza EFM, Wasafi na Clouds, hakuna cha maana nimesikiliza na kukielewa na kutosheka zaidi ya KAMARI ZAO TU na zile tutarejea tutarejea zao. Hivi vipindi vya hizo redio vimefika mwisho.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye: Hakuna maendeleo, amani na furaha kama uhuru wa habari katika jamii hiyo haupo

    Waziri Nape ameyasema hayo katika Kongamano hili lenye kaulimbiu ya "Habari kwa maendeleo endelevu", kongamano ambalo limewakutanisha waandishi wa habari pamoja na wadau wengine wa habari kujadili changamoto pamoja na mafanikio kwenye sekta hii, mgeni rasmi akiwa ni Waziri wa Habari, Mawasiliano...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania TCRA lindeni walaji wa habari

    Vyombo vya habari redio na tv havipaswi kuwa na ratiba za vipindi vyao zinazoonyesha muda na siku? Kama zipo ratiba ni nani anapaswa kuhakikisha kuwa ratiba hizi zinafuatwa na vyombo vya habari ili kuwalinda wasikilizaji na watazamaji wa vipindi vyao? Mfano, Redio inasema watakuwa na taarifa ya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mashahidi 9, vielelezo 10 kutumika katika kesi ya mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema

    Mashahidi 9 na vielelezo 10 vitatumika katika kesi namba 407 ya 2022 ya kimtandao katika Kundi la WhatsApp inayokambili mwandishi wa habari za afya na uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo. Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hong Kong: Mmiliki wa Vyombo vya Habari vinavyotetea Demokrasia afungwa miaka 5

    Kwa mujibu wa Hati ya Mashtaka, Jimmy Lai, ambaye alikamatwa kwenye maandamano ya kushinikiza Serikali ifuate Utawala wa Demokrasi mwaka 2019 pia alipigwa faini ya Tsh. Milioni 599.7 Mahakama imemkuta na hatia ya Ulaghai Mwanademokrasia huyo anaodaiwa kuufanya mwaka 2016 na 2020 kupitia moja ya...
  20. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke first born. Nilisoma hapa habari zake. Kongole

    Mwenza wangu ni first born . Hana upuuzi wa ki DSM kihoma Arusha au mwanza. Anajali familia, ananijali na analea watoto wake. She is genius. Oeni watoto wa kike first born. Hawana ungese..... Na mafanikio niliyonayo she is infront. Ndio njia yangu, goal, intelligent, brilliant na hajawahi...
Back
Top Bottom