habari

  1. JamiiForums Tanzania Ujio wa chanjo ya UKIMWI ni habari njema kwa wazinzi. Rwanda kupewa chanjo ya Ukimwi

    hii inabidi pia tz ipewe ========== Rwanda imejumuishwa miongoni mwa Mataifa 12 mapya yatakayofaidika na ufadhili wa Serikali ya Marekani unaolenga kuongeza upatikanaji wa dawa ya sindano ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU), dawa inayojulikana kama Lenacapavir. Ufadhili huo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania BURUNDI: Mahakama yamwachia huru Mwandishi wa habari baada ya kukaa jela miaka miwili

    Mahakama ya rufaa nchini Burundi imemwachia huru kwa masharti mwandishi wa habari Sandra Muhoza, hatua inayohitimisha kizuizini cha karibu miaka miwili kilichoibua hofu mpya juu ya uhuru wa habari nchini humo. Muhoza, ambaye ni mwandishi wa habari wa shirika la La Nova Burundi, alikuwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hii Habari ya Kifo Haijapewa Kipaumbele?! Sijaisikia!!

    Habari Wakuu, Taarifa inataarifu mlembwende huyo ambaye ni influensa kutoka USA amefia kwenye moja ya Resort ya hali ya juu hapa TZ. Hii habari ni ya zamani mimi ilinipita au ni manga'nyu? Sijaipata kwenye nyuzi kabisa. Kuna mwenye taarifa? Inaonekana mpenzi wake anahusishwa. Mapenzi bana!
  4. JamiiForums Tanzania Media, Tukiendelea Kunyamazia Unyanyasaji wa Uhuru wa Habari Unaofanywa na JAB na TCRA, Mwisho wa Siku, Ama Tutanyamazishwa Jumla Ama Tuwe Machawa?.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu gazeti la mwananchi la leo https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/kwa-nini-tunahitaji-kuulinda-uhuru-wa-vyombo-vya-habari-5417540 Hili ni Swali: Media tukiendelea kuunyamazia unyanyasaji huu wa uhuru wa habari na uhuru wa maoni kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kichwa cha habari cha mada niliyo andika kimebadilishwa na chote 100%. hakuna hata neno moja walilobakiza

    hii nitapambana nayo hadi mwisho wa dunia kichwa cha uzi: huu uzi usisomwe na mwanamke yoyote maana hauhusu wanawake ( mwanamke yoyote akisoma ataota kipara ) wao wakabadilisha na kusema: Jinsi ya kumtongoza mwanamke yoyote mantiki yote ya kichwa cha habari imebadikishwa na kupinduliwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kivulini Talks: Hali ya Vyombo vya Habari Tanzania—Hai, Hoi au Vimekufa?

    02 April 2026 Katika kipindi hiki cha Kivulini Talks, washiriki wamejadili juu ya hali ya vyombo vya habari Tanzania. https://m.youtube.com/watch?v=gRQFP4i8O_o Source :: the chanzo
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi kwenye Kampuni Binafsi tunapata shida sana kulipwa stahiki zetu

    Habar wakuu, Sisi wafanyakazi tunaofanya kampuni binafsi hakika tunanyanyasika sana hasa linapofikia swala la kulipwa stahiki zetu na mishahara, kuna kuwa hakuna sababu ya mfanyakazi kulipwa mshahara kuanzia tarehe 5-8 mwa mwezi unaofuata. Mfano mshahara wa mwezi wa tatu unalipwa mwezi wa nne...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TANESCO, sisi Wafanyakazi wa S.T.E Boresheni Mikataba yetu au tupeni Mikataba ya Kudumu

    SHIRIKA LA UMEME TANESCO SISI WAFANYAKAZI WA S.T.E BORESHENI MIKATABA YETU AU TUPENI MIKATABA YA KUDUMU. Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu:- 1. mkataba wa kudumu company namba 2. Mkataba temporary...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran!!

    Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI: -"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni". -"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye". -"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania kodi isiwe sababu ya kufunga biashara Yako.

    habari ikiwa wewe ni mfanyabiashara mkubwa au mdogo na unakabiliwa na gharama kubwa za uendeshaji wa biashara yako kiasi kwamba biashara Yako inaweza kufungwa basi karibu ukope kwetu, kama una changamoto ya kudaiwa Kodi ya pango, Kodi Toka TRA, bill za maji umeme na mishahara ya wafanyakazi...
  11. JamiiForums Tanzania MO29 TV ni game changer ya habari Tanzania

    Daa hii nchi sijui kama itapona makovu ya MO29. Sasa Kuna TV mpya , ni online TV, imeanzishwa imepewa jina la MO29 TV. Hii channel inapiga spana kweli kweli, imegeuka kilio Cha kusaga meno Kwa CCM. Je MO29 TV ni ya nani? Na itaweza ku- survive bila kufungiwa. Let wait and see. Mto wa mbu...
  12. JamiiForums Tanzania Mchungaji Katekela atakuwepo Dodoma kwa uponyaji

    Mlioko DODOMA yule mtumishi wa Mungu wa ukweli mwenye nguvu kubwa moto wa Mungu unaounguza wachawi wote na kuwafungua wale wote waliotupiwa uchawi,majini ,mapepo ,laana na kuibiwa nyota zao...vichaa wanapona,kansa zinapona,magonjwa ya kichawi yanapona,MAGONJWA YA FIGO,kisukari,presha,ndoto...
  13. JamiiForums Tanzania Kifo cha Uaminifu: Madhara ya Kuminya Habari na Mtego wa "Content Creators"

    Mimi ni Mwanahabari na Mtanzania Nasema ... Kuna huzuni nzito inayotanda ndani ya vyumba vya habari nchini,siyo huzuni ya kukosa vifaa au teknolojia, bali ni huzuni ya kuona taaluma yetu ikigeuzwa kuwa "kipaza sauti" cha upande mmoja, huku misingi ya uhuru wa kutoa maoni na kuchambua ukweli...
  14. JamiiForums Tanzania Hii Habari ni ya kweli? Malalamiko ya baadhi ya waumini wa Kiislamu kufuturishwa Pilao ya Kitimoto na kupewa mawaidha ya Kikristo

    Kuna taarifa inaendelea katika mtandao wa YouTube ikilalamikia kuwepo kwa kundi la baadhi ya Wakristo waliowafuturisha baadhi ya Waislamu kwa kuwakaribisha Pilao ya Kitimoto na mahubiri ya Kikristo https://youtu.be/AUGORT9jeF8?si=mEeR6SdYrf78df_- Imechapishwa na:
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi Kamara iliyopo Mungonya, Halmashauri ya Kigoma, walimu wamewageuza wanafunzi vibarua wao

    Walimu wamekuwa na tabia ya kuwapeleka wanafunzi muda wa vipindi kufanya kazi za shamba, ikiwamo kulima, kupalilia, kuvuna na kupukuchua mahindi pamoja na kuwachotea na kuwapelekea maji walimu majumbani kwao wale wanaoishi kwenye nyumba za kota za shule. Nyakati nyingine wanafunzi wanarudishwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna Habari za kusikitisha kuhusu Mojtaba Khamenei kiongozi mpya wa Iran!!!

    Baada ya kuponea kwenye tundu la sindano kuuwawa hapo Feb 28,2026 Gaidi Ayatollah Majitaka Khamenei alijeruhiwa vibaya na Hali yake huko alikojificha Inasemekana ni mbaya sana. Taarifa kutoka vyombo mbalimbali huko Israel na Russia zinathibitisha kuwa Hali yake ya ki afya si rafiki kutokana na...
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kalonzo: Tunachunguza kwa umakini mauzo ya hivi karibuni ya hisa za Nation Media Group

    Kalonzo Musyoka ambaye ni kiongozi wa chama cha upinzani cha Wiper Democratic Movement na aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wakati wa uongozi wa Mwai Kibaki, amesema wanafanya uchunguzi juu ya mauzo ya hisa yaliyofanyika hivi karibuni kwenye taasisi ya Nation Media Group kwa bwana Rostam Aziz...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliosoma Chuo cha Taifa cha Utalii tuna changamoto ya upataji wa Ajira Serikalini kupitia Mfumo wa Ajira Portal

    Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisome katika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hizi breaking news za waarabu wa Mbwinde kwamba Netanyahu kauawa, source yake ni wapi ?

    Imekuwa too much sasa, kila kona uwakutapo waarabu wa Mbwinde utawakuta wakipeana habari za Netanyahu kuuawa. Ni wapi wanazitoa hizi habari ?
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kibanda: Kuna 'Watu wasiojulikana' wanatisha Waandishi wa Habari

    "Vyombo vya Habari vya Tanzania Vina hali mbaya kiuchumi ndio maana haviko huru, na kuna kundi la watu yanatisha waandishi wa Habari” Absalom Kibanda Kibanda ameyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano katika medani kuu na mwandishi Chief Odemba
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…