habari

  1. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi, ndani ya miezi miwili nipate milioni 1

    Niende kwenye mada samahani Mimi niko Dar pls nahitaji kama kuna mtu anaweza kunisaidia kazi au kibarua nataka zile kazi ngumu lengo nataka nimake ndani ya miezi miwili nipate milioni moja so kama kuna mtu anaweza kunipa connection nitatoa hela ya maji pindi tu nikianza kazi nataka kazi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania JAB Yasema Uhuru wa Habari Uende na Uwajibikaji

    Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM — Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema uhuru wa uhariri ni nguzo muhimu katika taaluma ya habari na unapaswa kulindwa ili vyombo vya habari viweze kutekeleza majukumu yake kwa weledi...
  3. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal atoa msamaha kwa Mwandishi wa Habari Rene Capain Bassene aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha Maisha jela

    Rais wa Senegal ametoa msamaha kwa mwandishi wa habari, Rene Capain Bassene, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha maisha jela kuhusiana na mauaji ya watu 14 yaliyotokea mwaka 2018 katika mkoa wa Casamance. Mnamo Januari 2018, watu 14 waliokuwa wakikata mbao (loggers) walivamiwa na kuuawa katika...
  4. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kukata Mawasiliano na Familia: Miaka Haina Habari

    Imenishangaza kuona mtu anaondoka kwao, gafla anakata mawasiliano. Inapita hata miaka bila wao kujua yuko wapi, anafanya Nini. Ujasiri wa namna hii sio wa kawaida. Ila pia inanifanya nifikiri kuhusu familia, malezi, tamaduni na utandawzi. Kweli zama zimebadilika.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC wa Chakechake, Zukhra: Wanahabari acheni woga, andikeni habari zenye tija

    Waandishi wa Habari wametakiwa wasiwe waoga bali waendelee kuandika habari zenye ukweli na zenye kuzingatia maadili, ambazo zitaleta maslahi kwa Umma. Nasaha hizo zimetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Chakechake, Zukhra Mgeni Othman wakati akizungumza na wandishi pamoja na wadau wa habari katika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Gari lililokuwa limebeba Waandishi wa Habari lapata ajali

    Gari la Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga limepata ajali eneo la Usanda wilaya ya Shinyanga barabara ya Tabora - Shinyanga, wakati likikwepa gari aina ya Toyota Harrier na kuingia kwenye mtaro. Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu watano wamejeruhiwa katika ajali hiyo akiwemo Mwandishi wa...
  7. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kwasasa ni Arsenal na Chadema ndiyo Habari ya mjini,Nyie wengine subirini kwanza!

    Nawashukuru sana Arsenal baada ya miaka 22 kusubiri hadi kuwa mabingwa wa kombe lenye hadhi kubwa ulimwenguni la EPL (ENGLISH PREMIER LEAGUE) Nimefurahi mnooooo! Arsenal imechukua ubingwa wakati ambao Chadema wanaenda kuwa mabingwa na viongozi wakuu wa nchi ya Tanzania Ahsante Chadema...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Humu ukisoma habari mchanganyiko unachanganyikiwa akili

    ukipita unakutana na anonymous anaeleza kero, ukishuka kidogo unakuta luca anasifu, ukishuka unakutana na story za kina binti wa zamani, ukishuka chini unakutana na habari za ukraine binafsi huwa nikipitia new posts hua kichwa kinachanganyikiwa sana
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania PEMBA: Waandishi wa Habari watakiwa kukaa karibu na Watafiti ili waibue matatizo ya Jamii

    Wandishi wa Habari wametakiwa kuzitumia Tafiti wakati wanapoandika habari zao, ili kuibua changamoto zinazoikabili jamii na kupatikana kwa ufumbuzi wa jambo husika. Ushauri huo umetolewa na commissiona wa ufuatiliaji na tathmini kutoka Tume ya Mipango Zanzibar zuhura Mohd Abdallah kwa niaba...
  10. K

    JamiiForums Tanzania From the Pitch to the Pillars of Power: Evaluating the Mismatch of Media Scrutiny in Tanzania

    This critique originates from the deeply frustrated perspective of an ordinary citizen—a passionate observer who is tired of watching immense intellectual talent and public influence squandered on sports debates while vital national assets are bargained away in silence. Day after day, Tanzanians...
  11. JOH CARLOS

    JamiiForums Tanzania Habari kwa wafanyabiashara na ma-contractors!

    Je, unatafuta namna ya kuomba zabuni za serikali na taasisi mbalimbali kupitia mfumo wa NeST bila makosa? Usipoteze fursa ya kushinda tender kwa sababu ya makosa madogo ya kimfumo au upungufu wa nyaraka. Sisi tunakuhakikishia huduma bora ya: Kuandaa Documents Zote: Tunasaidie kuandaa nyaraka...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Mimi ndiye Mwandishi wa habari wa kwanza Tanzania kutuma stori kwa Internet

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 ameeleza namna alivyopambana wakati anafanya kazi na Radio Tanzania Mkoa wa Songea
  13. R

    JamiiForums Tanzania Jitu kama hili halina habari na Liberation struggles za Tanganyika. FLUINISHING

    Kilichotuumiza ni FLUINISHING
  14. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Nzigila: Vyombo vya habari vya kanisa tangazeni ukweli, Ukweli utabaki kuwa kweli hata watu wakiukataa

    Vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki vimetakiwa kusimamia ukweli na kuepuka kujiingiza katika mtego wa kusambaza habari za uongo au zinazopotosha ukweli kwa maslahi binafsi na kutafuta umarufu wa kupata wasikilizaji na wasomaji au fedha. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kurugenzi ya...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana washauri? Habari ya kupata Katiba Mpya inahitaji elimu ya miaka mitatu inatoka wapi? Tume ya Jaji Kisanga na rasimu ya Jaji Warioba?

    Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai. Iliundwa tume ya Jaji Kisanga mwaka 1998 ikakisanya maoni ya Wananchi kupitia White paper. Serikali ya CCM chini ya...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru wa Vyombo vya Habari hatarini: Waandishi wa Standard Media wazuiwa kwenye hafla ya Rais William Ruto

    Waandishi wa habari kutoka Standard Media Group wamezuiwa kuingia katika event ya Rais William Ruto huko Naivasha wakati wa Second National Education Conference. Kisa hiki kimeibua mjadala mkubwa kuhusu freedom of speech na haki ya wanahabari kufanya kazi yao bila vitisho au ubaguzi. Inadaiwa...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ndio iwe mwamuzi wa nani awe mwandishi wa habari na nani asiwe?

    Wakati Serikali ikitangaza kuwepo kwa mpango wa kuwatambua waandishi wa habari wakongwe ambao hawakusomea uandishi wa habari kwa ngazi ya stashahada, swali linalogonga vichwa ni kwa nini Serikali ndiyo iwe mwamuzi wa nani awe mwandishi wa habari na nani asiwe? Hivi karibuni, Msemaji Mkuu wa...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Sasa, Pesa Ndio Kila Kitu!, Hakuna cha Bure!, Je Umefika Wakati Habari Zilipiwe?Bila Pesa Hakuna Habari!. Media Zilipwe, Waandishi Tulipwe?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, katika gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia maisha ya kisasa, na mambo ya kisasa, pesa ndio kila kitu!, siku hizi hakuna cha bure!, kwanini mpaka leo habari ni bure?!, je umefika wakati habari nazo zilipiwe?, bila pesa hakuna habari!, media zilipwe, waandishi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso yaifungia Televisheni ya Ufaransa 'TV5 Monde' kwa habari za uongo

    Burkina Faso imeipiga marufuku televisheni ya Ufaransa, TV5 Monde, ikiituhumu kwa kueneza "habari za uongo" kuhusu hali ya ugaidi nchini humo na nchi jirani ya Mali. Uamuzi huo ulitangazwa na mamlaka ya kusimamia vyombo vya habari nchini humo siku ya Jumanne Mei 5, 2026. Hii si mara ya kwanza...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Kenani Kihongosi anazungumzia kuhusu maridhiano, leo Mei 4, 2026

    https://www.youtube.com/live/K8FOhiBhit4
Back
Top Bottom