habari

  1. Jerry pro

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Uwekezaji kwenye Biashara ya Samani (Furniture) - Dodoma

    Habari wana JamiiForums, Mimi ni fundi mbobevu wa samani (furniture maker) na mwanzilishi wa chapa ya Heritage Style. Natafuta mwekezaji anayependa kushirikiana nami katika kukuza biashara ya samani bora jijini Dodoma. Nina uwezo na utaalamu wa kutengeneza samani za kisasa zenye viwango vya...
  2. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Waandishi wa habari kama kuna kasoro andikeni Serikali itafanyia kazi

    Akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mambo mengine bwana Msigwa aliwaambia waandishi hao kuwa kama kuna kasoro waandike na serikali itafanyia kazi. Mojawapo ya kasoro kubwa ambayo ipo na vyombo vya habari vya Tanzania haviandiki, havisemei au hata kufanya uchunguzi (documentary) ni...
  3. T

    JamiiForums Tanzania TUACHANE NA HABARI YA KUPIGA MARUFUKU MIKUTANO YA KISIASA. CHA MSINGI TUJADIRI MAANDAMANO YA 7/7 NA KUSISITIZA UMUHIMU WAKE

    Kwa wale wapenda nchi na haki naomba tujadili jinsi ya kufanikisha maandamano ya 7/7. Ishu za kuwaongelea hao viongozi fake ni kupoteza muelekeo kabisa. Na wanataka kututoa katika reli. Tuanze kutumia muda mwingi kujadili matamko yao. Hapa ishu ni moja tu. Je tumesalenda kwa matamko yao ama...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Netanyahu kwisha habari yake.

  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwalimu Mzumbe-Morogoro anafanya Elimu kuwa Biashara

    Kuna Mwalimu chuo kikuu mzumbe ndani ya Morogoro anafanya elimu Kama Biashara anatoa assignment ambayo tunatakiwa kuondoka Zaidi ya page 80 Na haturuhusiwi kuprint eti tukusanye softcopy Kwa CR's ndio wakaprint kwenye stationary yake tu yeye bila kuprint kwake unapata ziro imagine me Na printa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Ulanga: Rais wetu anapokwenda kwenye nchi nyingine ni Branding, inaleta manufaa kwenye uwekezaji na utalii

    Mkurugenzi wa Biashara ya Kimataifa na Diplomasia ya Uchumi katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga, akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 cha Clouds Media leo Juni 22, 2026, ameeleza kuwa ni Ziara za Rais nje ya nje ya nchi au Viongozi wengine...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kufika 7/7 kutaibuka vikundi vya kila aina vikiitisha wana habari kujifanya wanakemea maandamano.

    Kinachoendelea sasa ni kufuja pesa kwa kila mtu na kukusanya watu wakila aina wakijifanya wanakemea maandamano. Usijeshangaa kutaibuka kila umoja sijui wa wapi,umoja wa nini,mpaka umoja waokota makopo. Mfano ni huu na nani anawatuma.
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania October 29 Ilichangiwa na Kauli Mbofu Mbofu za Viongozi Kinyume cha Maadiili!, Je Media Tuwaripoti Bila Uoga ili Secretarieti ya Maadili Iwakemee au?

    Wanabodi, Kile kilichotokea October 29 kilichangiwa na kauli mbofu mbofu za baadhi ya viongozi wa umma ziko kinyume cha maadiili ya viongozi wa umma!, Je Media tuwaripoti viongozi hao bila uoga na Secretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, ianze utaratibu wa kuwakeme kama afanyavyo Msajili wa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Habari zenu ndugu

    Habari zenu ndugu wangu ?
  11. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Watangazaji (waandishi wa habari) wa Tanzania kwanini siku hizi mnasema, "hizi mambo", badala ya "haya mambo"?

    Yaani Kila ukifungua redio utasikia, "hizi si mambo zangu", "mambo zako?" nk. Kibaya zaidi wanaozungumza haya ni vioo vya jamii na ni wasomi, kwamba lazima watakuwa wamesoma kipengele cha ngeli za nomino wakiwa O level. Nawasihi watangazaji waache hii tabia mara moja tabia hii.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Habari njema kibaha! Mradi wa kisasa majitaka mbioni kukamilika

    Ujenzi wa mtambo wa kisasa wa kuchakata majitaka katika eneo la Mitamba, Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, umefikia asilimia 50 ya utekelezaji wake huku lengo likiwa ni kuimarisha usafi wa mazingira kwa wananchi. Mradi huo unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam...
  13. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mchina ni habari Ingine acha waendelee kura nyoka

  14. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa michezo ya ubashiri kwenye vyombo vya habari

    Kumekuwa na michezo mingi sana ya ubashiri kwenye vyombo vingi vya habari hasa redio na television. Michezo hii imepewa majina mbalimbali kulingana na chombo cha habari husika, mfano: -Pakua mkwanja -Cheza pesa -Mshiko faster -Pesa mkwanja nk Hata hivyo mtindo wa uchezaji ni mmoja (utofauti...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kusaga TV kwa sasa Hana mpinzani kwa habari za matukio na kijamii jijini Arusha

    Nimekuwa namfuatilia Sana kwenye platform ya TikTok na YouTube...huyu jamaa nimemkubali Sana kwenye habari za MATUKIO ya kijamii ya hivi karibuni hususani MATUKIO mawili yaliyotokea hivi karibuni ya Kiongozi wa Serikali kumpa maua yake na lile tukio la Mama mpita njia akiwakataza wananchi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO NACTVET kuongeza kimyakimya vigezo vya udahili kwa kozi za afya kunazua maswali

    Mimi ni mdau wa elimu kutoka Jiji la Arusha. Kwa sasa dirisha la maombi ya kujiunga na vyuo vya kati kwa kozi za afya lipo wazi. Hata hivyo, jambo linalozua maswali mengi ni hatua ya NACTVET kuongeza vigezo vya udahili kwa baadhi ya kozi muhimu za afya, hususan Pharmacy na Nursing. Kwa mfano...
  17. R

    JamiiForums Tanzania JF ina raha yake! Unapata habari yoyote unayoihitaki duniani hasa baada ya kifunguliwa/ kuifungua, maana vpn kilikuwa ni kipengere

    ASANTE Maxence Melo and Team! Raha tupu!
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Page ya Russian Today (RT) haina habari ya ujio wa Rais Samia. Jamaa wanatudharau pia?

    Hii hapa page yao na habari zao muhimu. Hapo hakuna habari. Pia hapa.
  19. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hapa kwetu habari za kila siku ni ajali labda na teuzi. Wenzetu ni ubunifu na tafiti za kusaidia dunia

    Je hili mamlaka inaliona au ndio utamaduni wetu.
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Be The First To Know: Habari Njema Toka Vatican, Litania ya Bikira Maria: Imeongezwa Vifungu Vitatu vya : Huruma! Matumaini na Faraja!.

    Wanabodi, Hii ni ile the JF Advantage of "Be The First To Know", kuna habari njema kutoka Vatican City, ile sala ya Litania ya Bikira Maria ambayo huwa inasomwa kwenye Jumuiya Ndogo Ndogo zote za Katoliki kwa mwezi mzima wa May na October, imeongezwa vifungu vipya vitatu vya Huruma! Matumaini...
Back
Top Bottom