Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kuchimba habari ambazo zinaleta sintofahamu kwenye jamii.
Ushindani wa vyombo vya habari ni kuwa wa kwanza KULETA habari Kwa wakati haswa zile za kiuchunguzi.
Ndugu Pascal Mayalla tusaidie mahojiona na Makamu au ndugu wa karibu kuondoa sintofahamu ambayo...
Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kuwa anapiga marufuku mara moja vyombo vya habari vya CNN, MSNBC, na Politico kuingia Ikulu ya Marekani, kutokana na kile alichokiita kuripoti habari za uongo bila kukoma.
Pia alisema kuwa vyombo vingine vya habari vinatarajiwa kuzuiwa kuingia huko hapo...
Video yaibua mjadala kuhusu namna baadhi ya waumini wanavyotoa sadaka kanisani, huku kikapu cha sadaka kikionekana kuwa na kiasi kidogo cha fedha.
Mhubiri anaonekana kuzungumzia changamoto zinazowakabili waumini na mtazamo wao kuhusu utoaji, jambo linalogusa maisha ya mwananchi wa kawaida ambaye...
Wana habari na wasanii wamechangia kutufikisha hapa! Mtazama na Meli Tanzania.
Wanahabari wamebaki kuwa machawa na wasanii badala ya kufikiria kukuza biashara wanafikiria kuwa machawa.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo leo Sept 16, 2026 ameongoza kikao cha kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa ardhi katika eneo la Litingi lilipo kata ya Mitengo katika halmashauri ya manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara.
Mgogoro huo unahusisha wananchi...
Mjumbe wa Kamati Kuu Cdm Godbless Lema alitangaza leo atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari Hotel X na Kuwaalika Waandishi lakini Leo Alfajiri Hoteli Maarufu anaoishi Godii yalionekana magari 4 yenye ulinzi mkali yenye Namba za usajili T.... ADD , Lingine ni Customerzed LC 200 ( Amo.. Vehcle...
Mkutano wangu na waandishi wa habari niliokuwa nifanye katika Hotel ya Golden Tulip nimeuahirisha.
Nimesikiliza hotuba za Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Wameeleza vizuri kuhusu uvumi na upotoshaji uliokuwa ukifanyika juu yangu na misimamo juu ya chama chetu.
Nimedumu katika mapambano haya...
Kesho saa sita mchana nitakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Golden Tulip.
Waandishi wa habari wote mnakaribishwa.
Karibuni sana. Godbless Lema.
Kuna jambo nimekuwa nikilitafakari siku hizi kuhusu namna taasisi za umma zinavyowasiliana na umma, hasa kupitia social media.
Kwa kweli naamini kuna haja kubwa kwa maafisa habari kubadilika na kuanza kuelewa vizuri hisia, tabia na matarajio ya audience wanayoihudumia.
Dunia imebadilika...
Mjadala kuhusu uhuru wa habari nchini Tanzania umeingia katika sura nyingine baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, kusema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyerejesha uhuru wa habari baada ya kuingia madarakani Machi 19, 2021, huku akilituhumu gazeti la...
Kuna huyu jamaa alikua pale abood fm na ss yuko EFM redio, jamaa akiwa ktk kipindi Chake anaikebehi sana simba na kusema kila kitu ni kibaya, kwani changamoto yake ni nini uyu mchambuzi?
Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia zaidi ya asilimia 67.
: 𝐌𝐑𝐀𝐃𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐊𝐀𝐊𝐀𝐓𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐎𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀 𝐋𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈
Huu ni miongoni mwa Miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la...
Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) unakabiliwa na maswali kuhusu mustakabali wa klabu za waandishi wa habari za mikoa, huku baadhi ya wanachama wakieleza kuwa utegemezi wa muda mrefu kwa umoja huo umechangia klabu hizo kudhoofika na kupoteza uwezo wa kujiendesha zenyewe...
Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka.
Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
Mkutano na Waandishi wa Habari
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, atazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mpango wa dharura wa kukabiliana na madhara ya El Nino, nchini.
📆 02 Septemba, 2026.
🕰️ 05:00 Asubuhi.
📍Ukumbi wa mikutano Ngome/Relini Dodoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.