habari

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa ngazi za chini wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi tunateseka sana

    Mimi ni mtumishi wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi, nikiwa katika ngazi ya chini kabisa ya kuanza utumishi. Nimeamua kueleza changamoto zinazotukabili baadhi ya watumishi katika eneo letu la kazi. Kuna hali ambayo inaonekana kuwepo ya kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Kituo cha Afya Mkonoo, Arusha tuna changamoto ya vitendea kazi na extraduty

    Habari, Sisi watumishi wa Kituo cha Afya Mkonoo, Mkoa wa Arusha, tunaomba kupaziwa sauti kuhusu changamoto zinazotukabili. Tunahamasishwa kukusanya mapato kituoni, lakini mahitaji muhimu kama gloves na maji hayapatikani, licha ya fedha kukusanywa na mhasibu kila siku. Pia, hatupewi malipo ya...
  3. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Hivi mna habari Samia ni dikteta kuliko Museveni?

    Nipo jikoni na nimeamua kulipuka ukweli. Anacho amua yeye ndo afla na omega. Ukimpinga kidogo tu uwe tayari kwa lolote. Sura sio Roho amini nawaambia!
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanazungumza na waandishi wa habari kutoka makao makuu

    Maandalizi ya kikao maalum cha Kamati Kuu ya CHADEMA yamekamilika katika Edwin Mtei House, Makao Makuu ya Chama, Mikocheni, Dar es Salaam. Kikao hicho kinafanyika leo, Jumamosi, Agosti 29, 2026, na kitaongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. "Mzee Warioba kwa umri wake hana...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Habari Tanzania: Lisemwalo Lipo!, Baada ya Kilichosemwa Kutokea Kweli, Gazeti la Mwanahalisi Lipongezwe Kuibua Ukweli Fiche?, Lisamehewe au?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali kuhusu Uhuru wa Habari Tanzania, baada ya kutokea Lisemwalo Lipo!, kwa Kilichosemwa Kutokea Kweli, Je Gazeti la Mwanahalisi lipongezwe kuibua ukweli fiche?, lisamehewe au liendelee tuu kubananishwa?, kwasababu ni kweli habari yao hata kama ni kweli, lakini...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Eti Msimamo?...hakuna msimamo wa tukio moja kupitia vyombo vya habari!

    Sisi wakweli na wanazuoni wa iliyokweli huwa hatubabsishwi na matukio. Inawezekana tuna tukio moja tu la huyu anayesemaekana ana msimamo na wasiojua wanaweza kusema eti ana msimamo kutokana na hilo tukio moja tu. sisi wenye msimamo tunakuambia tukio hilo halitubabaishi wala kutuondoa kwenye...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Kube, Mwanahalisi Kwa Ukweli Huu, Mashujaa wa Habari, CoRI, Teteeni Uhuru wa Habari kwa Utetezi wa Kweli na Sio Utetezi wa Kupiga Tuu Kelele!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kwanza nitoe pongezi kwa mwandishi wa habari, Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kuripoti ukweli bayana wa kitu cha kweli. Kubenea na Mwanahali watangazwe ni Mashujaa wa Habari, nimeitaka CoRI, kutetea uhuru wa habari...
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Habari ya makamu kujiuzulu ipostiwe kwenye mitandao ya kijamii?

    Wakuu, Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media? Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa. Hata kwenye page za ofisi ya makamu hakuna hii taarifa. Account yake iko hacked? Late is wait and...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tabiri, kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari ya Tanzania, 29/10? Siku 365 za Samia ikulu, au siku 365 za mauaji Tanzania?CHAGUA.

    Ningeomba MWA jf utabiri kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari vya Tanzania? Siku 365 za Samia ndani ya ikulu au Siku 365 za mauaji makubwa ya vijana, Wamama, wababa na wazee ndani ya Tanganyika? Wewe ungekuwa mwariri wa VYOMBO VYA habari ungeandika kipi? Ukichagua cha...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Afrika Waanza Kozi ya 63 Cairo Kudumisha Ushirikiano wa Kimedia

    Shughuli za Kozi ya 63 ya Ufundishaji ya Umoja wa Waandishi wa Habari wa Afrika iliyopewa jina la "Mahfouz El-Ansary" zimezinduliwa rasmi leo asubuhi mjini Cairo kwa ushirikiano wa Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari na Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri, Kozi hiyo inashirikisha waandishi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajivunia matunda ya ushirikiano wake kwenye vyombo vya habari

    Kuanzia Agosti 19 hadi 21, Beijing ilipokea ugeni mzito kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Ugeni huu ulikuja kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika, ambao uliandaliwa na Idara ya Taifa ya Redio na Televisheni, Serikali ya Manispaa ya Mji wa Beijing, na...
  12. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Waandishi wengi wa Habari wa Tanzania Hamna maana yoyote ile. Waoga

    Hamna maana yoyote ile. Nyie waandishi wa habari, hivi kwa nini habari za yule shehe Mwaipopo hamjazikomalia? Sijaona popote pale mkiwabana kwa maswali magumu wale wote ambao wanahusika na usalama nchini. Watu wanafunguliwa kesi feki za ugaidi halafu yupo mtu ambaye anajulikana wazi kabisa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania JAB yawataka waandishi wa habari kulinda imani ya umma

    Na Mwandishi Wetu. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka Waandishi wa Habari wa Crown Media kulinda imani ya umma kwa kuzingatia weledi, maadili, uadilifu na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao. Wito huo umetolewa wakati wa mafunzo ya siku mbili yaliyotolewa na...
  14. P

    JamiiForums Tanzania ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa nikiumwa mara kwa mara; leo tatizo hili, kesho lingine. Mwaka 2018 nilifanyiwa upasuaji na...
  15. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Habari za Udukuzi.....

    Kuna dalili jamaa akaachiwa HURU Mama kaamua kuwa mzazi ,,,uongozi kauweka pembeni ..... Tuendelee kuvuta subira
  16. Planett

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waandishi wa habari:-

    Ndugu zangu waandishi wa habari naomba niwashauri pindi mnapowahoji watu hawa muwe mmejiandaa kisaikolojia. 1)Chid Benz 2)T.I.D 3)Mangungu Msije sema hamkuambiwa. Nawasilisha.
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kuna kijana kutoka NIT anaomba sehemu ya kufanyia field kwa kampuni yoyote ya Forward and clearing

    Taarifa zake hizi hapa RAMADHAN SALUM RAJABU Anasoma NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT Age: 20 YEAR OLD Mwaka aliopo :SECOND YEAR Field yake : FREIGHT CLEARING AND FORWARDING Mawasiliano yake haya hapa 0778928217 Naomba tumsaidie Wana JF Yupo Daressalaam.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kitengo Cha habari Cha Yanga kimepwaya,kwa miaka mitano kimeshindwa kuteka kizazi kipya Cha mashabiki hatimae wanachama

    Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani. Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani ni habari za kutunga

    Unaweza ukahisi ni habari za kutunga, au wale wenzangu na mimi wanasema ni 'drama' za CCM... Au na Polepole alikuwa anafanya drama? Anyway! Huu mtanange una sura nyingi na inabidi utulize kichwa kwelijweli. Ondoa hisia na mihemko ya kisiasa, kiimani na ushabiki wa aina nyingine. 1. Kuna sura...
  20. O

    JamiiForums Tanzania MwanaHALISI: Nchimbi agoma kujiuzulu

Back
Top Bottom