Mchungaji Katekela atakuwepo Dodoma kwa uponyaji

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
3,968
Reaction score
4,565
Mlioko DODOMA yule mtumishi wa Mungu wa ukweli mwenye nguvu kubwa moto wa Mungu unaounguza wachawi wote na kuwafungua wale wote waliotupiwa uchawi,majini ,mapepo ,laana na kuibiwa nyota zao...vichaa wanapona,kansa zinapona,magonjwa ya kichawi yanapona,MAGONJWA YA FIGO,kisukari,presha,ndoto mbaya,mikosi..zote zinapona...

mchungaji KATEKELA atakuwepo DODOMA nzuguni kwa masista...kuanzia ijumaaa,jumamosi,na jumapili...njoo ufunguliwe...kwa jina la Yesu..mualike na mwenzio..UPONYAJI NI BURE...Yesu alishalipia kwa gharama kubwa ya kuutoa uhai wake na mateso makubwa pale msalabani ..hakuna kulipia YESU alimaliza yote pale msalabani..

nasi tutamshinda shetani kwa DAMU YA MWANAKONDOO.

KATEKELA atakuwepo kuanzia ijumaa,jumamosi na jumapili. mahali TAG -Nzuguni kwa masista.

**habari za mchungaji AMIELI KATEKELA zinafahamika vizuri..kwa wasiomjua moto wake mtafute youtube...huyu ndiye MOSES KULOLA wa kizazi chetu.
 
Attachments

  • IMG-20260323-WA0187.jpg
    IMG-20260323-WA0187.jpg
    103.1 KB · Views: 17
Cku ntasikia mchungaji flani kaenda mhimbili au bugando cjui kcmc akapga injili wagonjwa wakakurupuka toka vitandani wakirusha madrip kulee, hiyo cku kwa hiari yangu ntamfata alipo nipige magoti chin aniombee. Lakn hv hv na mambo ya kupuliza mic ati anafukuza mapepo hanipati ng'o here nikae na hayo mapepo yangu
 
Mtoa mada na hao wachungaji anaowapigia debe Humu wote vichwa maji na matapeli
 
Nilikuuliza n wap pameandikwa nyeto ni dhambi, ukakimbia swali ukaishia kuchekacheka kama fala
sijakimbia mtu wa Mungu kwanza kabisa tambua wewe ni mtu wa thamani mbele za Mungu,na Mungu anakupenda sana na ana makusudi na maisha yako,na hapendi wewe upotee katika dhambi.

Kirudi kwenye swali lako rahisi kabisa,kwamba ni wapi biblia imeandika kwamba punyeto ni dhambi??

Wagalatia 6:8
Neno: Bibilia Takatifu
8 Mtu apandaye katika tamaa za mwili, ata vuna kutoka katika mwili uharibifu; lakini yeye apandaye katika Roho, atavuna kutoka katika Roho uzima wa milele.

Wakolosai 3:5
Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu

1 Kor 6:9
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti

Yakobo 1:15-17
Neno: Bibilia Takatifu
15 Kisha tamaa hiyo ikisha chukua mimba, huzaa dhambi; na dhambi ikisha komaa, huzaa mauti.

Yakobo 1:14 BHND
Lakini mtu hujaribiwa anapovutwa na kunaswa na tamaa zake mbaya

Mt 5:28
lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

Ufunua wa Yohana 21:8-10
N
8 Lakini waoga, na wasioamini na wachafu, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na wanaoabudu sanamu, pamoja na waongo wote, urithi wao upo katika lile ziwa linalowaka moto na kiberiti. Hii ndio mauti ya pili.”

Gal 5:19-21
Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.

Kol 3:5

PUNYETO HUANZIA
Kwa kutamani ngono hutanguliwa na kutazama picha za ngono au kuvuta picha ya ngono akili mwako
hiyo tamaa hukuwaka na kuamsha hisia za ngono ukamalizia kwa kujichukulia sheria mkononi lakini akilini mwako rohoni mwako unakuwa umevuta picha ya huyo mwanamke unaye MTAMANI tamaa ukakuwaka iwe ni kwa hisia akili mwako au kwa kitazama kuangalia picha za ngono..(ukishamuangalia mwanamke kwa kumtamani tayari umeshazini naye moyoni hiyo bi ZINAA.

Mt 5:27-48
Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini; lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
 
Ngonjera nyingi sana hii siwezi kusoma huu upuuzi wote.

Nyooka, Nenda straight Kwenye Jibu.
Wapi pameandikwa nyeto ni dhambi.

Sitaki kelele mingi, Nyoosha jibu.
 
Biblia ina kanuni zake za kuelewa maandiko ndio mana watu wanaenda shule kusoma biblia..

ni sawa na kusema utafute mahali ambapo biblia imeandika USIVUTE SIGARA ama usivute shisha hutaona kuanzia kitabu cha mwanzo wa biblia mpaka kitabu cha mwisho UFUNUO.

lakini hii haina maana kwamba kuvuta sigara siyo dhambi kwa vile hakuna mstari wa neno ulioandika moja kwa moja kuwa USIVUTE SIGARA.

JIBU UNALIPATA HAPA KUWA.
Miili yetu hii siyo ya kwetu na siyo miili tu vyote tulivyonavyo tunavyomiliki hata hii dunia na sisi wwnyewe tunaoishi duniani ni MALI YA MUNGU..haya maisha tumepewa UWAKILI tu na tumepewa amri ya kuitunza dunia miili yetu na vyote tulivyopewa uwakili tuvitumie kwa utukufu wa Mungu na viwe baraka na si laana.

Na miili yetu ni HEKALU LA ROHO MTAKATIFU..tukiitumia miili yetu kwa utukufu wa Mungu yeye Mungu anakuja kukaa mdani yetu(ROHO)

na hii miili yetu ukiotumia vibaya una alika maroho ya giza kuja kukukalia kama kiti cha majini ,unapopiga punyeto una alika majini mahaba yanakuja kuzini na wewe na kufunga nayo ndo za mikataba ya mapepo kwa kuzini ngono kwa kujichua masterbation kujizini punyeto.

ndio maana huwezi kusema huu ni mwili wangu acha nika uchanje chale za waganga wa kienyeji,ay nichore tatuuu au ngoja NIJIUE NIFE au niudhuri kwa kuvuta shisha sigara pombe madawa ya kulevya uzinzi.

Huu mwili umepewa uwakili dhamana uutunze tu,sio wako ni wa Mungu ni nyumba ya Mungu,na amekununua kwa gharama kubwa ya damu ya YESU KRISTO msalabani kukukomboa wewe usipotee katika dhambi.
 
1 Wakorintho 6:19
Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka kwa Mungu? Nyinyi basi, si mali yenu wenyewe.
 
Biblia ina kanuni zake za kuelewa maandiko ndio mana watu wanaenda shule kusoma biblia..

ni sawa na kusema utafute mahali ambapo biblia imeandika USIVUTE SIGARA ama usivute shisha hutaona kuanzia kitabu cha mwanzo wa biblia mpaka kitabu cha mwisho UFUNUO.

lakini hii haina maana kwamba kuvuta sigara siyo dhambi kwa vile hakuna mstari wa neno ulioandika moja kwa moja kuwa USIVUTE SIGARA.

JIBU UNALIPATA HAPA KUWA.
Miili yetu hii siyo ya kwetu na siyo miili tu vyote tulivyonavyo tunavyomiliki hata hii dunia na sisi wwnyewe tunaoishi duniani ni MALI YA MUNGU..haya maisha tumepewa UWAKILI tu na tumepewa amri ya kuitunza dunia miili yetu na vyote tulivyopewa uwakili tuvitumie kwa utukufu wa Mungu na viwe baraka na si laana.

Na miili yetu ni HEKALU LA ROHO MTAKATIFU..tukiitumia miili yetu kwa utukufu wa Mungu yeye Mungu anakuja kukaa mdani yetu(ROHO)

na hii miili yetu ukiotumia vibaya una alika maroho ya giza kuja kukukalia kama kiti cha majini ,unapopiga punyeto una alika majini mahaba yanakuja kuzini na wewe na kufunga nayo ndo za mikataba ya mapepo kwa kuzini ngono kwa kujichua masterbation kujizini punyeto.

ndio maana huwezi kusema huu ni mwili wangu acha nika uchanje chale za waganga wa kienyeji,ay nichore tatuuu au ngoja NIJIUE NIFE au niudhuri kwa kuvuta shisha sigara pombe madawa ya kulevya uzinzi.

Huu mwili umepewa uwakili dhamana uutunze tu,sio wako ni wa Mungu ni nyumba ya Mungu,na amekununua kwa gharama kubwa ya damu ya YESU KRISTO msalabani kukukomboa wewe usipotee katika dhambi.
🗑️ Weka humo
 
1 Wakorintho 7:23

23 Mungu alilipa gharama kubwa kwa ajili yako, hivyo usiwe mtumwa kwa mtu yeyote tena.
Mungu ametununua kutoka utumwa wa dhambi kupitia ADAMU na HAWA dhambi iliingia kwa meanadamu na wanadamu wote tukawa watumwa wa dhambi..

KUPITIA Yesu Kristo ,tumenunuliwa nabkukombolewa kutoka utumwa wa dhambi..tumeshanunuliwa tusiwe tena watumwa wa dhambi kwa gharama ya kusulubiwa na kufa kwa Yesu pale msalabani,tukapata UKOMBOZI..

sasa kama bado tunaishi chini ya tamaa ya dhambi..ina maana bado hatujakombolewa..

kama bado mtu UNAJISIFIA KUJICHUA kujizini mwenyewe masterbation??karne ya 21 ,na bado unajiita unamjua Mungu na unafanya ibada...

Hakuna Mungu yeyote aliyeruhusu zinaa hata DINI nyingine sijaona inayoruhusu zinaa na punyeto

labda upagani rituals na makafara ya zinaa ibada za kuzimu na mashetani..matambiko makafara ya punyeto..ni ibada za mapepo..ni ndoa za majini..

na kuacha punyeto huwa ni kazi ..sana kwa sababu ni ndoa za maagano na majini..hata ukioa mke wa ndoa bado utapiga punyeto.(mpaka utakapovunja hayo maagano mikataba na majini..punyeto ni kuzini na majini ..tofauti hata na anayezini na kahaba..punyeto ni mbaya zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom