habari

  1. JamiiForums Tanzania Siku ya Pili, Kongamano la Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, 02/05/2023 Zanzibar

    Siku ya Pili, Kongamano la Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Mei 2, 2023 Zanzibar, Kongamano hili linafanyika wenye Ukumbi wa Golden Tulip. Mjadala unatarajiwa kuanza muda si mrefu kutoka sasa... BAKARI MACHUMU: MAGAZETI YALIANZA KUWA NA HALI NGUMU HATA KABLA YA...
  2. JamiiForums Tanzania Mauaji ya Waandishi wa Habari mwaka 2022 yaliongezeka maradufu

    Waandishi wa habari 86 pamoja na watendaji wa vyombo vya habari waliuawa duniani kote mwaka 2022,kwa mjibu wa Taarifa kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, ikichambua zaidi ya kwamba takwimu hizo ni sawa na mmoja katika kila siku 4. Taarifa ya UNESCO...
  3. JamiiForums Tanzania EFM na WASAFI Wanadhalilisha Tasnia ya Habari nchini

    Hawa watu ukifuatilia Kwa ukaribu wanachofanya siyo sahihi kabisaa Mimi Sina taaluma ya Habari na mawasiliano Kwa uzoefu wangu Katika kufuatilia mambo haws jamaa wako OP kabisaa. 1. Wafanyakazi wao wengi siyo profesional kabisaa ni wa mjomba kamlete 2. Hawako serious Katika kuchambua mambo...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia

    Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi. Marehemu...
  5. JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza ya Kongamano la Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, 01/05/2023 Zanzibar

    TAMWA WATOA NENO Baada ya mgeni rasmi kuwasili ukumbini, Mwenyekiti wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Joyce Shebe amemkaribisha na kutoa neno la ukaribisho. Anasema: Tunafahamu kuwa hali ya uhuru habari wa kujieleza kwa vyombo vya habari nchini umeimarika na tunaona jitihada...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari acheni kuonea watumishi maskini, mnawasimamisha kazi waliowashauri mtoe fedha za matengenezo ya mfumo wa umeme mkakataa?

    Mhe. Rais kilichofanywa na wizara ya Habari hakina hata chembe ya Haki. Ukisoma barua ya wizara inasimamisha wafanyakazi kazi kisha barua hiyo hiyo inaeleza kwamba wanaharakisha mchakato WA tenda; unajiuliza Nani kawaambia wizara kama hitilafu ilivyotokea inahitaji tenda? Maana yake wanayo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo asema kuwa hii habari ya 16% Share kwenye Madini huenda tumeliwa!

    Kama Taifa bado hatujatuliza vichwa ipasavyo katika ishu za madini. Hatujui vizuri biashara yake, na wala hatujui hata thamani halisi ya madini yetu ukiachilia mbali vipesa mbuzi. Kiufupi bado akili zetu ni zilezile za kugawa Almasi kwa Shanga. Profesa Muhongo ameongea vizuri sana bungeni. kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili media na social media zihabarishe umma kuhusu uwajibikaji na kujitambua badala ya kutoa habari kiburudani?

    Kwenye Forum Meeting inayojadili uwajibikaji kutoka ripoti ya CAG, JF imeulizwa na taasisi ya WAJIBU, kuwa Nini kifanyike kuhusu media na social medias kuhusu kuhabarisha umma juu ya uwajibikaji na kujitambua. Msingi wa swali ni kwa kuwa uchambuzi wa ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yathibitisha Kipindipundu kuingia Dar, Ilala ina Wagonjwa 10

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa Wagonjwa wa Kipindupindu muda mfupi baada ya Jamii Forums kuripoti uwepo taarifa za Ugonjwa huo katika Wilaya ya Ilala. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya hadi sasa kuna Wagonjwa 10 waliobainika katika Wilaya ya Ilala ambapo 3 wapo Tabata, na...
  10. JamiiForums Tanzania Tabiri vichwa vya habari vya magazeti ya michezo kesho

    Kufuatia Yanga kushinda ugenini dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria huko kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Africa, hebu tabiri vichwa vya habari kwa magazeti ya michezo kesho. Mwanaspoti: Tuwape Yanga maua yao Endelea na wewe kutiririka
  11. JamiiForums Tanzania Habari Zenu wadau wa JF ..

    Mimi Fundi Lyimo nipokeeni na mnipe ushirikiano.. Asante
  12. JamiiForums Tanzania Musiba alikuwa anapata habari za kikachero na Membe ni kachero, sasa wanagombana nini?

    Ni vizuri kama hao watu wangepatana, kwa sababu they are on the same side. Inaoŋyesha kwamba makachero wanagombana wenyewe kwa wenyewe. Mimi napinga hili ambalo naliona kama jaribio la kuwatisha whistleblowers. It is an attempt to frighten the public. Halafu it is not clear who exactly it is...
  13. JamiiForums Tanzania Habari Njema Zao la Kahawa Mkoa wa Kagera

    MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO - HABARI NJEMA ZAO LA KAHAWA MKOA WA KAGERA MASWALI NA MAJIBU WIZARA YA KILIMO Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro ameiuliza swali Wizara ya Kilimo - "Wizara ya Kilimo ina Mkakati gani wa kuhakikisha wakulima wa Kahawa Wilaya ya Ngara wanaendelea...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Habari Simba Matatani kwa Kauli Chafu

    Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake ya kusema "Yanga ni kama maiti hivyo wanakwenda kuwakamua" kauli hiyo imevuka mipaka ya utani wa jadi na ni kinyume na ueledi na ni tusi baya.
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan anasurika kifo baada ya kutupiwa Bomu

    Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba. Kishida alikuwa anazuru bandari ya Saikazaki mkoani Wakayama leo Jumamosi asubuhi. Waziri Mkuu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania, habari ya kuchunguzana kwanini tunakunywa bia kila siku haifai

    Yaani kila siku ni kuhoji kwanini huyu anakula bia kila siku jioni na hujui kazi yake. Hata kama hana kazi alishakuibia? Alishakuja kukuomba bia? Alishakuja kukuomba chakula? Balimi buku jero. Bia nne mtu analewa hoi!
  17. JamiiForums Tanzania Algeria: Bunge lapitisha sheria ya kubana uhuru wa vyombo vya habari

    Sheria zinazolalamikiwa ni zile zinazoweka mazingira magumu ya wazawa kumiliki vyombo vya habari na inayaolazimisha kufichua chanzo cha habari. Sheria inapiga marufuku vyombo vya habari vya ndani kupokea ufadhili au msaada wa nyenzo za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja kutoka nje ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used kutoka Dubai

    Habari Ndugu Zangu Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo. 1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai 2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji) 3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
  19. JamiiForums Tanzania Yanga kuifunga Simba siyo habari (news) ila kinyume chake ndiyo habari (news)

    Wananchi tumezoea ushindi, tunafunga Simba, Paka, Chui, Sungura na yeyote ajaye mbele yetu. Yanga kuifunga Simba haijawahi kuwa ni habari, na pengine vyombo vya habari visiandike au kutangaza, ndiyo kawaida, yaani mfumo wa maisha kimichezo kwa sasa. Ni kama binadamu kula samaki, ni jambo la...
  20. JamiiForums Tanzania UTI sugu inaweza kutibika kwa kitunguu swamu?

    Habari wanaJF, naomba kuuliza hivi ni kweli kitungu swaumu kinatibu UTI sugu? Je, Kuna tiba zingine za asili zinazoweza kumaliza tatzo hili? Asanteni sana naombeni ushauri na maoni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…