habari

  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je, ni mwanzo wa mwisho wa Mwita Waitara mbunge wa Tarime Vijijini?

    Ni dhahiri kwamba Waitara "ameshauona mwisho" kabla ya kuufikia. Leo amefanya mahojiano na waandishi wa habari akilalamika kwamba serikali imeweka mipaka ya hifadhi ya Serengeti bila kumshirikisha, Waitara alikuwa akilia kwa kwikwi na akijiapiza kwa kidole. Anadai Chadema wamepita jimboni...
  2. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Israel: Muswada watinga bungeni ukisema kumtaja Yesu kuwa kosa la jinai. Waziri mkuu asema hawana mpango wa kuendelea nao

    Wajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo kwa kila atakaekiuka. Waandishi wa muswada huo, Moshe Gafni na Yaakov Asher ni kutoka jamii ya...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yawalipia viingilio Maafisa Habari wa Serikali kushuhudia mechi ya Tanzania Vs Uganda

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Wizara ya Habari itawalipia Maafisa Habari wote viingilio vya kwenda kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Uganda kwenye Uwanja wa Mkapa (Jumanne Machi 27. 2023). Waziri Mkuu amesema hayo wakati akihutubia katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, leo Jumatatu Machi 27, 2023. Tulia Ackson anazungumza: Maafisa Habari wa Serikali lazima mjipe nafasi ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa ajira

    Habari zenu, Nimerudi tena baada ya kutafuta ajira bila mafanikio . Mimi ni kijana wa miaka 21. kazi katika Mashirika, Makampuni, Viwandani Maofisini na Madukani... Elimu yangu kidato cha nne
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jamaa warudishwa Uganda Baada ya Kujinasibisha ni LgbTV ili Wapewe Ukimbizi

    Kweli Duniani Kuna Mambo! Wikiendi Muswano mwanaJF. Kila siku unatafuta njia, fulsa ili ujikwamue kutokana na msongo wa mawazo kimaisha, hapo ulipo kuna fulsa ila hujaiona au hujui namna ya kuitumia au hata kwenda ulaya, raia wa Uganda wamepata fulsa ya bure kabisa, lakini! ☝🏾Picha haina...
  7. conductor

    JamiiForums Tanzania Kuna habari gani huko?

    Kuna habari gani huko?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi

    Habari wakuu, nahitaji la kuwa mpenzi, hivyo binti alie tayar anaweza Kuni pm tukayajenga. Sifa zangu Age 23 Elimu: bado nipo chuo Rangi: black, Dini: mkristo Vigezo, Age 20-25 Elimu, sio issue sana. Dini, mkristo kama ni si mkristo awe tayar kubadili. Mengine ni ziada
  9. J

    JamiiForums Tanzania Zumaridi aviponza Vyombo vya Habari. TCRA yatoa onyo na kuvitaka kusimamia misingi ya utoaji habari

    Hii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika. Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maasai hawana habari za Yesu wala Mohamad ila wamenyooka kwenye misingi yao na maadili mazuri

    Nikiwaambiaga watu ya kwamba Afrika tamaduni zetu na dini zetu za asili ni bora kuliko hizi dini zilizoletwa kwa ajili ya biashara ambazo ni ukristu na uislamu huwa wanabisha. Hebu tazama maasai, hawa jamaa wanaweza ishi na mtu yeyote. Hawana tabia za ajabu ajabu na za kishenzi kama hawa jamaa...
  11. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba baadae awe mke

    Habari za wakati huu, Nahitaji mchumba miaka 23-27, awe mweusi, dini yoyote. Umri wangu ni miaka 22, mwanafunzi wa Degree.
  12. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Habari ya ITV usiku huu kuhusu uchangiaji wa Figo haipo sahihi, itaogopesha wachangiaji

    Upandikizaji wa figo (renal transplant) sasa hivi unafanyika hapa hapa nchini kwetu. Na tuko mbioni pia kuanza upandikizaji wa maini (liver transplant). Huko nyuma tulilazimika kuwapeleka wagonjwa wanaohitaji huduma hii nje ya nchi, hasa India kwa gharama kubwa ya fedha za nje za USA dollars...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hii habari ya kuita mitaa Uzunguni na Uhindini ingekoma

    Hii ishu haijakaa sawa. Sijui kwa nini imedumu hadi leo?
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Trump alikuwa na mpango wa kulipa wanaozaa watoto wengi

  15. Fundi kipara

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Fei Toto ndio nafuu ya ushindi wa soka letu!

    Fei kushindwa soka letu limeshinda! Ukubwa wa jina la Fei alioupata akiwa Yanga ungekuwa silaha ya kuuangamiza mpira wetu 🇹🇿. Kivipi? Kesi/Shauri lake kama angeshinda lingetumika kama kielelezo na mfano kwa Wachezaji mbalimbali kuvunja mikataba yao bila utaratibu. "Mbona Fei alivunja?" Kauli...
  16. ninosi

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwetu Tanzania Prisons kuelekea mechi ya leo dhidi ya Yanga Sc

    Kuelekea mechi ya leo kati ya Yanga SC na Tanzania Prisons.. Msemaji wa Tanzania Prisons anena haya wakati akihojiwa na kituo kimoja cha redio:- Mtangazaji: Kuelekea mechi ya leo, je katika timu yenu kuna majeruhi yoyote? Msemaji: Benjamini Asukile yupo salama.. Pia wachezaji wenzake wote wako...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Karibu asilimia 70% ya maswali ya baadhi ya waandishi wa habari Bongo ni ya ovyo; nina wasiwasi na ubora wa vyuo vya habari

    Nimefuatilia mahojiano (interview) nyingi za waandishi wa habari Tanzania! Wengi wao wanamaswali ya hovyo na kipuuzi kuliko mahitaji ya jamii inachohitaji kujulishwa! Maswali yao mengi yapo kwenye mlengo wa taharuki kwamba Flani kasema vile na vile almradi tu jambo lionekane la kuishangaza...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Samia awapiga ‘stop’ mawaziri kuajiri maofisa habari binafsi

    Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka wizara kujibu kauli za upotoshaji zinazotolewa na wanasiasa kuhusu utendaji wa Serikali. Katika kulitekeleza hilo, amewataka mawaziri kuacha kuajiri maafisa habari binafsi, badala yake wavitumie vitengo vya habari kutoa taarifa za Serikali. Rais Samia...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata soko la mazao ya bustani nchi za nje

    Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25. Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje. Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za namna ya kupata markets nchi za nje anisaidie.
  20. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Nyomi si Habari Tena, Tujidhatiti kumaliza Mchecho

    Nguvu ya chama ni watu. Kwamba chama kina watu thabiti nyuma yake si habari Tena: Inafahamika hatutapata katiba mpya kwa kuchezeshwa ngoma na CCM. Hatutapewa katiba mpya kwa kuzingatia sheria na kanuni tunazopewa na CCM. Hatutapewa katiba mpya mezani. 2 Wafalme 7:6 inasema: "Kishindo...
Back
Top Bottom