Ufisadi wa kutisha Wizara ya Habari na Michezo

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
4,040
8,895
Ofisi nzima kuanzia waziri wapo Uturuki kuponda raha eti wameenda kushangilia timu ya Walemavu/Tembo Warriors.

Swali: Hii wizara kazi yake ni moja tu kushangilia Tembo Warriors?

Huu ni ufisadi was kutisha, rudini mhudumie wananchi wizi ni dhambi.

Tangu msifiwe na Rais sasa imekuwa ndio tiketi ya kuiba hela za wadanganyika.
 
Jana wamepigwa na Haiti 4:1 haya rudini mfungue ofisi.
 
Bora waende huko walau Tembo Warrior watakula bata kimtindo kuliko wakikaa huku wanauwezo wa kujilipa posho na wapo na Malaya guest house
 
Hiv kufika robo fainal konbe la dunia mchezo? Acha watu wawatie hamasa vijana eboo
 
Hiv kufika robo fainal konbe la dunia mchezo? Acha watu wawatie hamasa vijana eboo
 
Back
Top Bottom