How? Si wamesitisha au vipi? Lakini Israel ni kituo cha USA cha uhakika middle East, si rahisi kukipotezaMnapenda sana kujifariji
Tatizo lipo hapo, kinachoendelea sasa hivi ni mmoja anataka kupigana bila ya malengo ,huku marekani pumzi imekata hawezi kuendelea kupata hasara kwa ajili ya kumjenga kisiasa netanyahuHow? Si wamesitisha au vipi? Lakini Israel ni kituo cha USA cha uhakika middle East, si rahisi kukipoteza
Mzayuni wa mbagala kwa mbwa mwitu upo?Mnapenda sana kujifariji
Amekaa kwa kutulia akaanza utunzi wa al-hadith!Source: Script from masjid ubwabwa Tandika kwa Mchambia Chupa.