DOKEZO Mwalimu Mzumbe-Morogoro anafanya Elimu kuwa Biashara

DOKEZO Mwalimu Mzumbe-Morogoro anafanya Elimu kuwa Biashara

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kuna Mwalimu chuo kikuu mzumbe ndani ya Morogoro anafanya elimu Kama Biashara anatoa assignment ambayo tunatakiwa kuondoka Zaidi ya page 80 Na haturuhusiwi kuprint eti tukusanye softcopy Kwa CR's ndio wakaprint kwenye stationary yake tu yeye bila kuprint kwake unapata ziro imagine me Na printa yangu Ila bado natakiwa nitoe tena hela ya kuprint

Bado haitoshi Ata Kama assignment ni ya group Ila anataka kila Mtu aprint kivyake hapo hapo stationary kwake
Inatuumiza Sana hii.
1959357-jpg.3613723

1959357.jpg

Screenshot_20260623-104423.png
 
Kama jinga

Eti "group work" halafu "work independently"

Anakuja huyo CR hajui sauti H ilipo yeye anaiingiza kila sehemu na analazimisha sauti X itumike.

Kiswahili kinaharibiwa na gen Z ambao ndiyo walimu wa watoto sasa hivi halafu BAKITA wamejifungia tu pale Makumbusho.

Huu upuuzi unaukuta hadi kwenye mabango.
 
Hapo umkute anashauri vijana wajiajiri, utasema brain ya kuleta innovations si ndio hii kumbe kutengeneza laki tatu nje ya mshahara wake ni mtihani.

Pole mkuu, ila kama wengi wanafanya, nawe fanya maana kuna lecturers wana gubu sana
 
Mleta uzi ondoa ulichosema unakimiliki kwa umaskini wa huyu mtu hashindwi kunarrow down nani anamiliki hiyo ishu kwa darasa analofundisha lenye assignment hiyo kisha akaanza visa vya kitoto.

Mwalimu wenu ajue kwamba huwezi kua na shida za kiuchumi akataka zitatuliwe na wengine ambao wana shida ila hawajamlalamikia. Hii ishu peleka takukuru kama unaona itakua hovyo kuna takukuru rafiki unaweza kuwapigia na kuwaelezea.

Tabia anayofanya mwalimu ya kufanya kupata marks kuwe kugumu makusudi inaweza kupelekea vitendo vya rushwa. Sasa ili asifike huko inabidi aokolewe kabla hajafika. Mripoti takukuru.

Roho iliniuma kukosa kazi ya u-tutorial assitant sasa kama lecturer anaishi hivi mimi si ningeuza ubuyu humo vyuoni?
 
Mwalimu angejua kuwalazimisha wanafunzi kutoa kazi kwake ni bomu angeachana nao tu, nia yake apate kazi ila hajui sisi watanzania tuna ubinafsi mwingi. Wachache watasema huyu ni mwalimu wetu tukatoe kwake.
Hii anafanya haina tofauti na money extortion.
Ujambazi mkubwa.
Kuna vijana wengi masikini Sana wanajilipia au wanategemea mkopo huo huo walipie direct cost za chuo.
Wengine wapate ya kusaidia ndugu zao.
Yeye analipwa mshahara kwanini awatendee hivyo vijana?
 
Kuna Mwalimu chuo kikuu mzumbe ndani ya Morogoro anafanya elimu Kama Biashara anatoa assignment ambayo tunatakiwa kuondoka Zaidi ya page 80 Na haturuhusiwi kuprint eti tukusanye softcopy Kwa CR's ndio wakaprint kwenye stationary yake tu yeye bila kuprint kwake unapata ziro imagine me Na printa yangu Ila bado natakiwa nitoe tena hela ya kuprint

Bado haitoshi Ata Kama assignment ni ya group Ila anataka kila Mtu aprint kivyake hapo hapo stationary kwake
Inatuumiza Sana hii.
1959357-jpg.3613723

View attachment 3613723
View attachment 3613724
Vyama vya wanafunzi siku hizi vina kazi gani kama kila uchao wanafunzi mnakuja kulialia hapa?
 
Hii anafanya haina tofauti na money extortion.
Ujambazi mkubwa.
Kuna vijana wengi masikini Sana wanajilipia au wanategemea mkopo huo huo walipie direct cost za chuo.
Wengine wapate ya kusaidia ndugu zao.
Yeye analipwa mshahara kwanini awatendee hivyo vijana?
Kabisa, yani ni kama chuo hakina uongozi, natamani nione sura lake huyu mshenzi
 
loan si mnapata kwajili hiyo gentleman?

hebu timizeni wajibu wenu kama wanafunzi bila manung'uniko, na itapendeza zaidi 🐒
Chuo ulichosoma ulikua na wajibu wa lazima wa kuprint kazi zako kwenye stationery ya mwalimu?
 
Back
Top Bottom