google

  1. Xiang Hao

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuverify google admob akaunti

    habari wanajukwaa mimi ni blogger mchanga ninaejaribu kuziendea ndoto zangu nilifungua app siku mingi kidogo hapo nyuma sasa ni zaidi ya miezi miwili nimefikisha usd 10 ambapo kwa sheria za google natakiwa kupokea pin katika sanduku la barua lakini mimi sina naomba msaada yeyote anaeweza...
  2. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa; Je Google wanapataje mitaa na njia za dunia nzima?

    Moja kwa moja kwenye point. Wajuzi watujuze ni kwa vipi Google inazo barabara na vinjia hata vya vijijini swekeni kabisa. Na mara nyingine wameweka hadi majina ya mitaa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Google watuhumiwa kuonesha uwezo bandia wa Gemini AI

    Kampuni kongwe katika tasnia ya teknolojia,Google wamepokea maelfu ya lawama kutoka kwa wanajamii wa AI baada ya bidhaa yao mpya ya Gemini AI kudhihirika kuwa na uwezo mdogo tofauti na ilivyooneshwa kwenye demo Mpaka sasa hakuna anaejua sababu halisi za kampuni hiyo kongwe kabisa kufanya...
  4. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Tips and tricks of Google Compact

    Wakubwa na wa Penzi wa Jukwaa hili natumai hamjambo na mnaendelea vyema na Majukum ya ujenzi wa Nchi na Dunia yetu kwa Ujumla. Leo nimeona Nije na wazo,kwa kila member anae tumia Iterm ya Google aje apande Hapa Jukwaani akisifu ustady wake na jinsi anavyo tumia katika shughuli zake. Mano;wa...
  5. Jasmoni Tegga

    JamiiForums Tanzania Google JamiiForums

    Salamu, wana JF!!! Uzi huu ni makhususi kwa ajili ya marejea au mafafanuzi ya mambo mbalimbali muhimu. (Simply ^kuwekana^ sawa)!!! Hii ni kama Google ndogo -- Google JamiiForums!!! Inaweza tukio au tarehe fulani ya tukio, neno au matumizi yake, habari tata, hoja isiyoeleweka, historia fulani...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini picha ya kujaa Maji Bwawa la Nyerere haionekani google wakati huu, nini shida

    Tangu kuanza kujazwa maji katika bwawa la nyerere ni takribani mwaka mmoja umepita, na maendeleo ya ujenzi wa bwawa la nyerere limefikia asilimia takribani 90. Sasa toka maji yameanza kujazwa disemba 2022 maji yameingia mengi mno, na ujazo umefikia mita takribani 160+, hawa google kwanini...
  7. Eternally to be

    JamiiForums Tanzania Vinahitajika Vifaa kutoka google pixel

    Habarini za kila mmoja mwenye kusoma uzi huu Kama ilivyo katika kichwa cha habari hapo juu, ni kwamba inahitajika mashine(hapa mafundi simu tu ndo watanielewa zaidi nikisema mashine) ya google pixel 6. Kwa maana ya kwamba mtu anaweza kuwa na google pixel 6 yake mbovu, kwa hivyo anaweza kutupatia...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua Google chrome inakusanya taarifa zangu nyingi niliwahama, ni mwaka wa pili sasa natumia Brave Browser.

    Yani google ni majasusi waliokubuhu, Sina tatizo kwa google kutunza baadhi ya taarifa zangu kama cintacts zangu lakini kuna muda wanavuka mipaka kuchungulia hata visivyowahusu. Google chrome ukiitumia historia yako ya kila kitu ulichosechi kitaonekana, Google chrome inatunza passwords za...
  9. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel 4 for sale

    Habari , nauza simu tajwa hapo juu ipp clean mpya ,, sifa za hizi simu picha zake zipo clean as reality...for more ni cheki 067270132...pia po moshi KCMC price 360,000...RAM 6 GB, INT.64 GB
  10. Atalanta

    JamiiForums Tanzania Usije uka google dalili za Ukimwi kama unajihisi unao "Utakufa kwa presha"

    Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Kwanza naomba ifahamike kabisa kwamba kuwa na UKIMWI sio mwisho wa maisha kwakua wapo watu wengi wanaoishi na ugonjwa huu lakini bado wanaendelea kuishi vizuri kwa kufuata ushauri wa madaktari. Pia uzi huu haupo kwaajiri ya kuwanyanyapaa watu waishio na...
  11. eli_dealz

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel 4a 5G 128GB / 8GB Ram Battery 3885maH

    Jipatie Google Pixel 4a 5G iliyotumika USA (Second Hand) Warranty 6 Months 0764081567 Free Charger Free Cover Free delivery in Dar es salaam
  12. eli_dealz

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel 5 5G 128GB / 8GB Ram BATTERY 4080mah

    Jipatie Google Pixel 5 yenye 5G iliyotumika USA (Second Hand) Warranty 6 Months Imenyooka sana Grade A imetumika kwa upendo sana 0764081567 Free Charger Free Cover Free delivery in Dar es salaam
  13. albab

    JamiiForums Tanzania Kinatafutwa kioo Cha google pixel 6 pro

    Kwema MKUU.... Kinatafutwa kioo Cha google pixel 6 pro Njoo DM Kwa biashara.
  14. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepata google adsense lakini sipati ads kwa sababu ya lugha

    Wakuu, nimepata google adsense lakini sipati ads kwa sababu ya lugha nifanye nini ku switch toka Swahili to English? Blog yangu ni ya Kiswahili, sasa baada wao kureview inaleta ujumbe wa kutopata ads kwa sababu ya lugha, naombeni msaada wenu. "Your blog isn't ready to show ads and needs...
  15. central midfielder

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Google Drive inaweza kuhifadhi audio 600?

    Ndugu zangu kwema? Hivi hii Google Drive inaweza kuhifadhi audio 600 au ina kikomo? Msaada kwa anayefahamu. forgive me.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV za majaji waliohusika kesi ya DP World naomba please; naona wametumia zaidi kiingereza cha Google. Lugha rahisi wameifanya ngumu

    Watanzania tuna safari ndefu sana kufikia maendeleo ya fikra; majaji waliohusika katika hukumu hii wamefanya mambo mepesi kuwa magumu. Wameandika maamuzi yaliyojaa maneno ya kiingereza magumu bila hata sababu ya msingi. Nikisoma hii hukumu nabaini hata maneno baadhi yaliyoandikwa wao wenyewe...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kwa smartwatch, Google na Samsung hawana mpinzani

    Kwa wale wapenzi wa hizi Smart watch, Samsung na Google hawana mpinzani. Designing zao ni za sayari nyingine kabisa. Binafsi navutiwa sana na hizi Smart watch za Android hasa kutoka Google na Samsung. Apple nadhani kitu kinaitwa designing sio kipaumbele chake.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Wapi napata kioo cha smart tv brand ya tcl google TV 32 inch?

    Kioo cha Smart google TV, TCL brand 32inch.
  19. jeneralikevin

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google pixel 4xl

    Google pixel 4xl - Used Ram 6GB Internal memory 64GB Face ID Bei: 320K Phone number: 0629 153 727
  20. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Je, unamfahamu Sundararajan Pichai? Maarufu kama Sundar Pichai?

    Huyu ndio CEO wa Google na alphabet Inc. Ni mtu mwenye asili ya kihindi na marekani, alizaliwa June, 10, 1972 huko Tamir Nadu India, alipata shahada yake ya Kwanza Katika chuo cha Stanford university na baadae akaongeza elimu yake katika master ya maswala ya biashara chuo cha pessylvania...
Back
Top Bottom