google

  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwanini YouTube Channel ya JamiiForums imedoda?

    [salam inakuaga hapa] Wakuu, nimekua nikitembelea mara nyingi tu Channel ya JF uko YouTube. Kusema kweli Mero na team yake kwa YT wanahitaji kubadirisha approach yake. Maana engagement ni ndogo sana. Ni wazi JF imejitengenezea fan base kubwa sana kwenye baadhi ya social network mfano...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Pixel 8a Made by Google

    #TeamPixel Google wamezindua Pixel 8a, ambayo ni cheap version ya Google Pixel 8, ikiwa na Tensor G3 chipset. Kimuonekano inafanana na Pixel 8 na 8 Pro. Ikiwa na kioo cha OLED cha 6.1 inch FHD. Nyuma camera mbili (64MP & 13MP) na mbele kuna 13MP. Camera zina uwezo wa kurecord 4K video at...
  3. CodeX

    JamiiForums Tanzania Natafuta Google Developer Console

    Habari wakuu. Nahitaji mtu mwenye Google Developer Console niweze kununua. Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog. Napatikana 0692 76 33 06
  4. Mtu mbalimbali

    JamiiForums Tanzania Contacts zimefutika kwenye Google account

    Habari za mei mosi wakuu Leo nimefungua simu nikakuta contacts zangu zilizokuwa kwenye email zimepungua kutoka 2000+ mpaka 12 contacts. Naomba muongozo wa namna ya kurudisha contacts hizo simu sio mpya nimekaa nayo takribani miaka miwili sasa ila hakujawahi tokea kitu kama hicho. Nawasilisha
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili

    Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili "Lugha ya Kiswahili kwa sasa ni Lugha rasmi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Afrika (AU). Kila tarehe...
  6. Rungwe88

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel 5a, 5G inauzwa bei nafuu

    Brand : Google Pixel Model : Google Pixel 5a Network: 5G Ram : 6 GB Storage: 128 GB Screen Size: 6.34 inches CPU : 2.4 GHz Cover la sim gumu unapewa bure Bei: 430,000/= Sim bado ipo kwenye hali nzuri kama mpya, haina mikwaruzo, vidoti n.k Nipo Dar es salaam Karibuni sana
  7. Cainan

    JamiiForums Tanzania Google Advertising (Google Ads)

    Habarini wakuu, Ukiacha advertising platform kama facebook , instagram na twitter nani yupo familiar na google ads namaanisha vitu kama gharama, namna ya kudeliver na vitu vingine muhimu Maana kwenye biashara ni kitu muhimu sana kuongeza wigo au coverage,
  8. R

    JamiiForums Tanzania Huu muonekano wa neno GOOGLE leo una maana gani?

    Hii ni kitu gani?
  9. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu google Admob

    Mambo vipi watu wa Tech. Kwa uchache niwaeleze kuhusu google Admob, ambayo kwa namna moja au nyingine inaweza kua fursa. Kwanza kabisa google Admob ni child company ya google ,ambayo ina jihusisha na shughuli za matangazo(ADS) kwenye Apps Kinacho fanywa na google Admob ni kushare mapato...
  10. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yangu inagoma kuinstall App nilizo download kwenye Google Chrome na nilizo rusha kwa njia ya Xender

    Nimeluhusu sehemu zote zihusianazo na security & install unknown apps. kila nikijaribu ku install inaandika hivi 👇 Msaada plz.
  11. Optimists

    JamiiForums Tanzania Kioo Cha google pixel 3a ni shingapi?

    Hizi simu bana Bora uchukue zako Infinix au Samsung, Nimeinunua miezi 6 iliyopita. Lakini shida iianza Jana inawaka Lakini mwanga unakuwa hafifu saaana, Mwisho kabisa ikazima jumla mwanzo nilijua itakua na shida ya taa ya KIOO, Lakini sasahivi imezima kabisa haionyeshi kitu, lakini unasikia...
  12. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Wadau wiki mbili zilizopita, dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua China plaza. Walipompeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka. Juzi rafiki yangu, google pixel 7...
  13. Candela

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel 5 370,000

    Nimenunua pixel 5 kwa ajili wife kasema kadogo anataka simu ya kujaa mkononi, naiuza bei hiyo ina wiki tu. RAM 8GB, 128GB STORAGE. HAINA SHIDA YOYOTE CHAJI INAKAA ASUBUHI MPAKA JION DATA IKIWA ON.Ukizima data unatoboa siku 2. Imenyooka sana CAMERA KALI.
  14. Rungwe88

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel 6A inauzwa kwa bei nzuri

    Sim aina ya Google Pixel 6A used but in good condition. Ram 6 GB Internal storage 128 GB Single sim card Size 6.1 inches Network 5G Bei 500,000/= Protector cover bure Nipo Tabata Segerea
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

    MAREKANI: Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami jijini Florida baada ya kuanguka kwenye 'Boti'. Abraham aliripotiwa kupata ajali Februari 24, 2024...
  16. chris emex

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Poogle Pixel for sale

    150,000tsh call 0628 880 380 Pixel 4a 5G kila kitu kipo poa mstari tu umejichoraa
  17. majebsmafuru

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo, kimetokea nini? Mbona umefungiwa Google?

    Ukiingia tu kwenye website ya millardayo.com unakutana na message hii.
  18. chris emex

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel 4a 5G

    Call 0628880380 OFFER kwa 270tsh Google Pixel 4a 5G-Resolution 1080 x 2340 pixels,-Android 14-128GB storage -6GB RAM
  19. chris emex

    JamiiForums Tanzania Google Pixel 4a 5G 270tsh

    Call 0628880380 OFFER kwa 270tsh Google Pixel 4a 5G-Resolution 1080 x 2340 pixels,-Android 14-128GB storage -6GB RAM
  20. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu hasa hii google saved places(visited places)accuracy yake kwenye ramani

    Je hii kitu Ina accuracy kiasi gani? Je, inaweka kumlocate mtu akilala guest flani na hajawahi lala hapo? Je, ukipita mahali hata mara moja kama location ipo on, baadae ukiangalia kwenye ramani itanyesha uliwahi lala hapo?
Back
Top Bottom