google

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watumia Fitbit wote kulazimika kuwa na akaunti za Google 2023

    Kuanzia mwaka 2023; watumiaji wa smartwatch za Fitbit watalazimika kutumia akaunti ya Google katika kujisajili kwenye vifaa vya Fitbit - smartwatches na fitness trackers. Fitbit ni brand kubwa ya smartwatch ambayo ina mfumo wake wa kufungua akaunti katika vifaa vyake; lakini ilikuja kununuliwa...
  2. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Namna Yanga inaongelewa huko Sudan kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mechi yao na Al hilal (by google translate)

    NAMNA YANGA INAONGELEWA HUKO SUDAN🔥🔥🔥 Wafahamu kiufupi YOUNG AFRICANS @yangasc wapinzani wa AI Hilal Round ya kwanza CAFCL Hawa ndio wafalme wa soka la Tanzania, ndiyo Klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo (28) wakifatiwa na wapinzani wao ambao ni watani wao wa Jadi klabu ya Simba...
  3. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Tanga mkawashtaki Google kwa udhalilishaji huu

    Aisee nimepigwa na butwaa kule google ukitafuta "Utopolo fc" matokeo yanayoletwa ni Young African sports club!! Kama Mimi nadanganya basi gugo na Wewe!!.. Pamoja na Kwamba Mimi ni Simba ila nimeumia sana maana Kila jina la utani la simba nikiweka halileti!! Utopolo bhana!
  4. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Simu za Google Pixels zinauzwa bei gani Tanzania?

    Hizi simu bongo dukani ni sh ngapi wajameni Hii Simu ninaitafuta Sana
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Google na Meta zapigwa faini kwa kuuza taarifa binafsi za watu kwa matangazo

    Serikali ya Korea Kusini imetoza faini ya jumla ya dola milioni 72 dhidi ya Google na Meta kwa kukusanya na kutumia taarifa binafsi kinyume cha sheria. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliamua kutoza faini ya bilioni 69.2 na bilioni 30.8 dhidi ya Google na...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Google inajaribu kuweka mfumo wa kuchuja kelele kwenye calls

    Katika Android 13, kuna kipengele kipya kinaitwa “Clear Calling”. Kipengele hicho kinawezesha kuchuja na kuondoa kelele ambazo zinasikika kwenye calls. Mtumiaji wa Android 13 akiiwasha option hiyo, inaonekana inachuja kelele za background na inasaidia kama mtumiaji akiwa anaongea na simu katika...
  7. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku-search kupitia google kwa mtindo huu?

    Habari zenu wataalam Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee. Mfano: Nataka kusachi neno fulani tuseme "ushonaji". Matokeo nataka yatokee kutoka katika mtandao mmoja pekee. Na sii mchanganyiko mchanganyiko kama ambavyo inatokea mtu akisachi kupitia...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupima kiwanja/shamba kwa google earth.

    1. Kwanza unasearch mji/ mtaa au sehemu kiliko kiwanja. Labda Arusha. 2. Kisha unazoom kukipata hicho kiwanja. Labda kiwanja pembeni na uwanja wa Sheikh Amri Abeid. 3. Unaclick kwenye hiyo alama ya pili toka kulia. Iliyo kama alama ya rula. Itakuletea hako kaduara kama ka kulenga. Utakaweka...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Andrew Tate, mtu anayetafutwa sana duniani kupitia Google

    Andrew Tate ni kati ya watu wanatajwa sana kwa hivi sasa, bila shaka. Ikiwa hii ni mara yako ya kwanza kusikia kuhusu jamaa huyo, fuatilia hapa. Mtumiaji huyu wa mitandao ya kijamii aliye na kipawa kikubwa cha ufasaha, Mmarekani mwenye asili ya Uingereza mwenye umri wa miaka 35 ambaye anaishi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania update mpya za google for bloggers!! asee njooni hapa ni dharula

    wazee wa kazi nimesikia google wanafaya mabresho yao kwenye searching engine algorithm, mwenye kuelewa vizuri hii issuee, maana wanasema wale wanaoblog kachumbari, wanakula ban, wanaopost maelezo yasioeleweka kisa kuvutia watu wanakula ban na mengine mengi tu... nakaribisha hoja
  11. D

    JamiiForums Tanzania google indexing issues

    Wakuu mambo vip? wataalam wa mambo ya blogging na website naomba msaada kwa hizi issue hapa.
  12. Nicolaus Trac

    JamiiForums Tanzania Elon Musk Akana Tuhuma za Kutoka Kimapenzi na Nicole Mke wa Mwanzilishi Wa Google

    Bilionea namba moja duniani, Elon Musk amekana uhusiano wowote na Nicole Shanahan, ambaye ni mke wa mwanzilishi wa Google, Sergey Brin. Kauli ya mmiliki huyo wa kampuni ya magari ya uneme ya Tesla, imekuja baada ya ripoti katika Jarida la Wall Street kieleza kwamba urafiki wa Musk na Brin...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: Google ina mchezo wa kupuuzia maneno unayoandika na kukupa matokeo ya search zinazo-trend

    Mtaalamu mmoja wa masuala ya Cyber ameichunguza na kugundua kuwa searching engine ya google ina mchezo wa kupuuzia maneno yako unayoandika ili kusearch na kukupa matokeo ya vitu vinavyotrend hata kama haviendani na ulichokitaka. Henk van Ess, ameonesha mfano wa search aliyoifanya ambayo...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Google yatuhumiwa kuuza taarifa za watumiaji wake kama mitazamo yao ya kisiasa na jinsi wanazopenda

    Google na kampuni nyingine za teknolojia zimeshutumiwa kukiuka kanuni za ulinzi wa taarifa za Ulaya(GDPR) ambapo wanatoa taarifa za watumiaji kwa mamia ya watangazaji. Wadai wamefungua madai hayo kwa mamlaka za Uingereza na Ireland kwa niaba ya Brave na Open Rights Group. Brave inadai...
  15. hyle master

    JamiiForums Tanzania Nawezaje ku-remove Google Deceptive Site ahead

    Habari Wakuu, Kuna mwenye idea ya kuweza kutoa hii kitu my website uki acess via chrome browser / google search engine ina display hio message msaada tafadhali.
  16. mbinda_smartphones

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Google finalises first phase of mapping Kisumu businesses

    Kisumu County has completed the first phase of mapping and assigning homes, businesses and social amenities in the lake city online addresses. The county carried out the mapping exercise in partnership with Google Plus Codes, which has created a comprehensive system of locating properties to...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Lugha 10 za Afrika zaongezwa Jukwaa la Google Translate

    Google imeongeza Lugha mpya 24 zinazozungumzwa na watu zaidi ya Milioni 300 katika Jukwaa lake la Tafsiri za Lugha 'Google Translate'. Idadi hiyo itafanya Lugha zilizopo ikiwemo Kiswahili kufikia 133 Inaelezwa kuwa kati ya Lugha zinazoongezwa, 10 zinatokea Barani Afrika. Kampuni hiyo imesema...
  19. Kang

    JamiiForums Tanzania Google imeanza kuajiri ofisi yao mpya ya Nairobi

    Mda si mrefu uliopita Google walitangaza kufungua ofisi yao ya kwanza ya product development Africa jijini Nairobi, kazi ndo hizo engineers, UX experts, researchers mnaweza mkakamata! Google to set up first Africa product development centre in Nairobi Build for Everyone - Google Careers
  20. S

    JamiiForums Tanzania Google Doodle wameuweka Mlima Kilimanjaro leo

    Leo kama ilivyokatika miaka yote ni siku ya Dunia. Huwa siku hii inaadhimishwa kwa kujadiliana namna gani tunaweza kuifanya dunia iendelee kuwa sehemu salama ya kuishi. Changamoto zote na namna ya kuzitatua kufuatia mabadiliko ya tabia nchi. Nimefarijika kuona mlima Kilimanjaro leo utafahamiaka...
Back
Top Bottom