google

  1. Shariff_tz

    JamiiForums Tanzania Google pixel 7 pro

    Naomba kujua kwa watumiaji wa Google pixel 7 pro,pamoja na wadau wenye uelewa wa hii simu. Je, nawezaje kuitambua kama ni simu original? Je Kuna test ambazo naweza kuzifanya kutofautisha copy na original
  2. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kuona muhitimu wa degree ya TEHAMA (ICT) hajui kutumia Google Map

    Nikiwa dukani kwangu napitia mahesabu ya mapato na matumizi ya wiki iliyopita, akaja mteja anataka madawa fulani, madawa hayo ni slow moving items hivyo huwa yanakaa store, hayapangwi dukani. Basi nikaona si mbaya huyo mteja akiwa anahudumiwa (akisubiri dawa zake) aje ofisini kwangu anywe walau...
  3. KingsStore

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie Bidhaa za kielectronic simu, PC, Tablet, Fridge, Sabufa na Tv kwa uaminifu mkubwa

    Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel, Sony, Oppo na Infinix warranty ni uhakika Tv pia zipo Hisense, Samsung ukubwa tofauti tofauti...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Samsung kuachana na Google Kama Search Engine

    Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine. Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search engine...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Samsung kuachana na Google kama Default Search Engine

    Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine. Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI chatbot ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search...
  6. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Google, Diamond Platnumz ndio msanii anaefatiliwa zaidi Africa 2023

    Diamond Platnumz ndio habari kubwa mpaka sasa Africa. Ndio msanii pekee yeye na Davido wanaozungumzwa na kufatiliwa zaidi hapa Africa. Je Diamond Platnumz ni mkubwa kuliko Bongofleva? Inawezekana lisiwe swali ili.
  7. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Kuamini Google na ufinyu wa maarifa: Teknolojia ina faida chache ila hasara kibao

    Sasa hivi watu vichwa vyao vimekuwa vyepesi kama mchuzi wa yai, uvivu umetawala mtu akiulizwa swali anakimbilia Google ili apate jibu haraka na aje kujibu mtu. Huyo aliyeandika Google ni nani? Katika uandishi kuna typing error uwaga zinatokea ila unakuta mtu anasema kasome Google tunawasomi...
  8. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    ChatGPT ni artificial intelligence iliotengenezwa na openAI, unaweza iuliza ikuandikie barua, report, inaweza kutengeneza website na mengine mengi, yajayo ni hatari sana
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni Google watuambie kwanini wamempa Mo Dewji umiliki wa Tanzania

    Kwenye mada "Nani anamiliki Tanzania..." Mwana JF Kinyungu akagugo kwa kutumia neno " Who is the owner of Tanzania" na jibu likaja Mo Dewji. Alipoweka hilo jibu kwenye ile mada nikadhani ni maskhara ama utani, lakini na mimi jibu likaja hilo hilo, nikashangaa sana. Imekuwaje Google waseme Mo...
  10. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Blog niche ambazo ni rahisi kurank 1 position google search

    Mambo vipi wakali wa hizi kazi za SEO. Rejea title hapo juu nimekuwa nikitengeneza makala nyingi kwenye niche mbali mbali lakini imekuwa kipengele kurank #1 position pale google Yaani narank position ya 15 huko. Wadau hivi ni niche zipi ambazo hazina competition kubwa kwamba hata sisi blogger...
  11. Apollo

    JamiiForums Tanzania Google imeanza kuweka sehemu ya Magic Eraser kwa watumiaji wa iOS (iPhone)

    Google imeanza kuweka uwezo wa kufuta vitu na watu kwenye picha. Kwa kawaida feature hii inapatikana bure kwa watumiaji wa Google Pixels 6 na Google Pixel 7. Kwa wiki hii Google imeanza kuweka feature hii bure kwa watumiaji wa iOS ambao wanalipia huduma ya Google One. Huduma hii ya Google One...
  12. More Chances

    JamiiForums Tanzania Google Pixel 4a 5G

    Google pixel 4a 5G Specifications Ram 6 Storage gb 128 Battery 3500mAh Internet 5G Bei 380,000 ofa ya week 1 Delivery✅ Tupo kariakoo mtaa wa Agrey na likoma Piga 0699517063 uhudumiwe haraka
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ukiona daktari wakati wa kukutibu anababaika babaika na anatumia google, mheshimu sana

    Ukiona unaenda kwenye matibabu na daktari anakuwa kama hajiamini hivi, anababaika-babaika katika kutafuta ugonjwa wako, na hata anatumia google jua kuwa upo kwenye mikono salama. Magonjwa ni mapana sana na yanaingiliana sana dalili. Ukiona Daktari anakudiagnose fastafasta jua kuwa hafahamu...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli naweza kuingiza hela kupitia blog bila kutumia Google Adsense?

    Ni kweli kuwa unaweza kuingiza fedha au kujiingizia kipato bila kuwa na Google Adsense.Narudia tena ni ukweli. Baada ya kumaliza masomo ya advance nilizindua kitabu changu cha pili kiitwacho OPEN THE DOORS OF SUCCESS IN YOUR ACADEMICS. Lakini ndoto zangu zilikuwa ni kuwa mwandishi mkubwa wa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Google kupunguza wafanyakazi 12,000 duniani kote, mdororo wa Uchumi watajwa

    Sababu za punguzo hilo ni Mdororo wa Uchumi na Ukuaji Mdogo wa Uchumi wa Dunia usioendana na Mapato ya Kampuni hiyo kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa Umma, Mkurugenzi Mtendaji wa Google na #Alphabet, #SundarPichai, tayari amewatumia Barua Pepe...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Apple yatajwa kuwa na thamani zaidi ya Google, Meta na Amazon kwa pamoja

    Kampuni ya Apple, imeweka rekodi ya kuwa na thamani kubwa kuliko kampuni za Alphabet (Google), Meta na Amazon - ukizichanganya kwa pamoja. Yaani ukichukua Market Cap ya Amazon, Meta na Alphabet kwa pamoja; bado haziifikii kampuni ya Apple. Apple imefikisha thamani ya dola Trilioni 2.307 siku...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watumia Fitbit wote kulazimika kuwa na akaunti za Google 2023

    Kuanzia mwaka 2023; watumiaji wa smartwatch za Fitbit watalazimika kutumia akaunti ya Google katika kujisajili kwenye vifaa vya Fitbit - smartwatches na fitness trackers. Fitbit ni brand kubwa ya smartwatch ambayo ina mfumo wake wa kufungua akaunti katika vifaa vyake; lakini ilikuja kununuliwa...
  18. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Namna Yanga inaongelewa huko Sudan kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mechi yao na Al hilal (by google translate)

    NAMNA YANGA INAONGELEWA HUKO SUDAN🔥🔥🔥 Wafahamu kiufupi YOUNG AFRICANS @yangasc wapinzani wa AI Hilal Round ya kwanza CAFCL Hawa ndio wafalme wa soka la Tanzania, ndiyo Klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo (28) wakifatiwa na wapinzani wao ambao ni watani wao wa Jadi klabu ya Simba...
  19. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Tanga mkawashtaki Google kwa udhalilishaji huu

    Aisee nimepigwa na butwaa kule google ukitafuta "Utopolo fc" matokeo yanayoletwa ni Young African sports club!! Kama Mimi nadanganya basi gugo na Wewe!!.. Pamoja na Kwamba Mimi ni Simba ila nimeumia sana maana Kila jina la utani la simba nikiweka halileti!! Utopolo bhana!
  20. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Simu za Google Pixels zinauzwa bei gani Tanzania?

    Hizi simu bongo dukani ni sh ngapi wajameni Hii Simu ninaitafuta Sana
Back
Top Bottom