google

  1. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya google apps ni nzuri sana zaidi ya samsung apps

    Mimi sio mtaalam sana wa mambo ya simu na computer. Jana katika kupita pita mitandaoni nikaona mjadala wa google apps ambazo unaweza kuziweka kwenye samsung na zikafanya vizuri zaidi. Kweli nikaweka google massages, google contacts na google phone app kwenye samsung yangu, aisee nimezipenda...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Virusi vya corona: Google yazuia mamilioni ya barua pepe za wadukuzi

    Wadukuzi wa mtandaoni huwa wanatuma barua pepe milioni 18 kila siku zenye ujumbe wa uongo kuhusu ugonjwa wa Covid-19, kwa mujibu wa Google. Mataalamu wa teknolojia anasema mlipuko wa ugonjwa huo umesababisha uhalifu wa mtandaoni kukua kwa kasi huku wakijaribu kutumia mbinu mbalimbali ili kuvamia...
  3. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Simu ya TECNO Yaimarisha Ushirikiano wake na Google Kwenye Mkutano wa Maonesho ya Teknolojia 2020

    Toleo jipya la simu CAMON 12 Pro ya hivi karibuni imewekewa kitufe cha Msaidizi wa Google (Google assistant) ambacho kinaruhusu watumiaji kufanya mambo mengi zaidi kwenye mfumo wa Google. Kampuni kinara ya Kimataifa ya simu za rununu ya TECNO yenye simujanja yake ya Camon 12 Pro ya hivi...
  4. Cicero

    JamiiForums Tanzania Google Pixel 4 XL ni simu nzuri kwa Tanzania?

    Wasalaam. Nina mpango wa kununua simu na kwa sasa options ninazozifikiria ni 1. LG G8 Thinq 2. iPhone X / XS Max / 11 3. Google Pixel 4 XL Naomba kwa mwenye ujuzi na hizi simu za Google anieleze kwa nini hazitumiki sana kwa hapa Tanzania. Zina kasoro yoyote? Ukute labda kuna functions haziwi...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Apple, Google, Tesla na Microsoft zafunguliwa kesi kwa kuwatumikisha watoto katika migodi kinyume cha sheria

    Apple, Google, Tesla na Microsoft ni baadhi ya makampuni yaliyotajwa katika kesi ya madai ya fidia ya vifo na majeraha ya wachimbaji watoto wa migodi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,DRC. Kesi hii ilifunguliwa na mawakili wa kimataifa wa haki za binadamu kwa niaba ya familia 14 DRC...
  6. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya attracts Google after launching Africa's biggest project

    President Uhuru Kenyatta continues to spread his influence across the globe after one of the largest technology companies in the world expressed interest in investing in his project that emerged as the biggest in Africa. American multinational technology company, Google, was reportedly...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Youtube ni fursa nzuri ya kujiajiri

    Platform ya Youtube ikitumika vizuri, inaweza kuwa full time job kabisa. Kwa wenzetu Marekani, Uingereza na hata barani Asia, hii (vlogging na blogging) ni kazi mtu kajiajiri kabisa na inalipa vizri sana endapo tu utakuwa serious na namba zako yaani subscribers na views zitakuwa zimeshiba...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nauza account ya admob..ina dollar 30 tayarina barua ishafika

    nauza account ya admob ambayo inaverification tayari na ina usd 30.nicheki whatsapp 0744287850
  9. B

    JamiiForums Tanzania Use samsung health on a rooted device

    How to Use Samsung Health on a rooted device
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi anitafute

    Tanzania ya viwanda inawezekana, mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi, namna ya kutengeneza, Ratios, NA rasilimali zingine muhimu za kuzingatiwa wakati was kutengeneza bidhaa hii muhimu. Uweza nicheck via sadickjaphari2@gmail.com
Back
Top Bottom