Vinahitajika Vifaa kutoka google pixel

Faizan

Member
Oct 30, 2021
26
28
Habarini za kila mmoja mwenye kusoma uzi huu
Kama ilivyo katika kichwa cha habari hapo juu, ni kwamba inahitajika mashine(hapa mafundi simu tu ndo watanielewa zaidi nikisema mashine) ya google pixel 6. Kwa maana ya kwamba mtu anaweza kuwa na google pixel 6 yake mbovu, kwa hivyo anaweza kutupatia mashine kwa maelewano nasi tukaweka katika pixel 6 yetu inayohitajia mashine
 
Back
Top Bottom