godbless lema

Godbless Jonathan Lema (born 26 October 1976) is a Tanzanian Chadema politician and Member of Parliament for Arusha City constituency from 2010 to 2015. He was also a candidate for the same constituency in the 2015 general election which was conducted on 25 October 2015. However, the parliamentary election for Arusha Constituency had to be postponed following the death of Estomoh Malya who was the parliamentary candidate for the Alliance for Change and Transparency, a newly established opposition political party in Tanzania.
The by-election was scheduled for 13 December 2015 and Lema was expected to win since Arusha is one of the Chadema strongholds. In the October 2015 general election, his party won 23 out of 24 members of the Arusha City Council. Lema has been vocal and well known following his activists politics against the ruling Chama cha Mapinduzi. He led a number of political rallies and protests against the government and CCM, some of which resulted in serious injuries and deaths after fierce police confrontation. However, his leadership increased Chadema popularity in the Northern City of Arusha and for the first time, its council is led by the opposition.In 2020 he moved to Canada as a refugee, after being arrested without cause in a government crackdown on the opposition Chadema party following the 2020 Tanzanian general election.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia mahojiano ya Godbless Lema na Odemba Star TV na hizi ndio findings zangu

    •Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego. • Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu. • Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Familia ya Godbless Lema ni familia bora ya wanasiasa kwa mwaka 2023

    Umoja uliopo miongoni mwa Lema, mke wake na watoto ni wakuigwa. Wamelelewa kiimani, wanaishi kwa haki na awajawahi kuacha kutafuta kesho iliyo bora kwao na kwa wengine. Ni familia bora kwa mwaka 2023 ambayo wanasiasa wengi wenye madaraka itawachukua miaka kadhaa kuishi maisha ya hawa watu. Wana...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Lijuakali aagiza polisi wamkamate Godbless Lema kwa uchochezi

    Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali ameagiza Jeshi la Polisi kumsaka popote alipo na kumkamata Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Godbless Lema ili ahojiwe kwa kauli za uchochezi alizozitoa kwenye mkutano wa hadhara Oktoba 24,2023. Kwenye Mkutano huo ambao...
  4. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Lema apewe heshima ya kuwa mtabiri wa taifa kisiasa

    Wakati anafanya shughuli zake bungeni huwa anaongea mengi sana. Kati ya anayo yaongea mara nyingi huwa yanageuka kuwa ya kweli na kuonekana na kila mtanzania. Haya ya kuuzwa au kumilikishwa kwa rasilimali za taifa iwe pale Ngorongoro na bandari zetu kumbe tayari mh Lema alisha yazungumza pale...
  5. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema alalamika DC aliyeharibu shamba la Mbowe Wilayani Hai kuteuliwa Ubalozi

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amelalamikia uteuzi wa Gelasius Bakyana kuwa Balozi Lema anesema Teuzi kama Hizi zinachochea kukua kwa Ukatili na Uovu hasa ikizingatiwa Gelasius Bakyana ndiye aliyefyekelea mbali mazao ya mwenyekiti wa chama Kikuu cha Upinzani mh...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amtaka Rostam Aziz asambaze Umeme wa Sola nchi nzima, asiishie Zanzibar tu

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mh. Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima. Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo Zanzibar itakayoifanya Nchi hiyo iachane na Umeme wa Tanganyika. Lema ametoa ushauri huu twitani. =========
  8. J

    JamiiForums Tanzania Leo nimewaelewa Mchungaji Msigwa na Lema Baada ya Pastor Ezekiel kudai Kanisa lisipofunguliwa atakosa Tsh 400 Milioni za Sadaka

    Lema ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema aliwaonya Wananchi kuhusu Fedha wanazopeleka kwa manabii. Mchungaji Msigwa naye akasema Baadhi ya wachungajj hugeuza makanisa yao kuwa vitega Uchumi hivyo Serikali iwachunguze na kuwachuja. Leo huko Kenya ambako Mchungaji Msigwa alikuwepo juzikati...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sakata la watuhumiwa wa Ugaidi kuwekwa selo miaka 10, Godbless Lema amuomba Jaji Mkuu aweke wazi gharama za kuendeshea kesi ili wadau wachangie

    Baada ya Taarifa ya Shehe Ponda kuonekana mitandaoni, ikieleza kwamba kuna mashehe wamewekwa rumande huko Arusha kwa miaka 10 kwa tuhuma za ugaidi, na kwamba hawapelekwi Mahakamani kwa vile Bajeti ya mahakama haitoshi, Msamalia Mwema Godbless Lema ameguswa na amejitokeza hadharani akimuomba Jaji...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Uendeshaji wa boda boda na baiskeli kwa muda mrefu unapunguza nguvu za kiume; waendesha boda boda kuweni makini

    UENDESHAJI WA BODA BODA NA BAISKELI KWA MUDA MREFU UNAPUNGUZA NGUVU ZA KIUME; WAENDESHA BODA BODA KUWENI MAKINI. Leo naenda kwenye mada moja kwa moja, maana hili ni suala nyeti sana. Kwa sababu wengi huwa tunataka ushahidi, naomba kila mmoja atakayepita kwenye huu uzi, akafanye utafiti wake...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema shukuru Nyerere hayupo hai angekufunza adabu

    Godbless Lema shukuru sana Nyerere hayupo hai angekufunza adabu. Wewe umekuwa mtu wa kudharau fedha inawezekanaje useme million 12 ni hela ndogo sana kwako ilihali fedha ni mali ya serikali? Wewe huna tofauti na Prof Tibaijuka aliyesema mil 60 kwake ni hela ya mboga. Serikali inapaswa...
  12. voicer

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Godbless Lema jibuni kuhusu hili

    Lema Toa Elimu Badala ya kutukana! Ndugu Godbless Lema ambae ni Muishiwa Mbunge wa Arusha zamani. (sio mheshimiwa) maana hana huo ubunge kwa sasa. Anaendelea kuzunguka nchini akitukana makundi mbalimbali ya kijamii hususan Bodaboda kama kawaida yake. Na sasa ameirudia tena kauli yake safari hii...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Vijana wote mnaoendesha bodaboda, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa

    Godbless Lema akiwa Mwanza amesema “Ukiona dereva bodaboda ameongezeka ujue ni umasikini umeongezeka, hakuna kazi ya mateso, ufukara na umasikini. "Vijana mnaoendesha bodaboda hivi sasa, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa, mtaumwa vifua, viuno, migongo na wengine mtakuwa vipofu kutokana na upepo.”
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mandonga mtu kazi akutana na Godbless Lema

    Bondia maarufu wa Tanzania, Mandonga, amepata bahati ya kukutana na Mwanasiasa Mashuhuri mwenye koneksheni kubwa Duniani, Godbless Lema. Wawili hao wamebadilishana mawili matatu na bila shaka sasa tutarajie pambano kabambe la Mandonga Ulaya au America. Tunawatakia kila la heri.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Zitto, Lissu na Peter Msigwa wanakubaliana Magufuli alijenga Nidhamu Serikalini. Wakumbuke nidhamu haiji kwa kuchekeana!

    Kitu kimoja ambacho Viongozi wakuu wote wa Upinzani wanakubaliana ni kwamba hayati Magufuli aliimarisha nidhamu ya Watumishi wa Umma na nidhamu ya serikali kwa Wananchi Wote. Wanapopongeza hili wajue pia Nidhamu haiji kwa kuchekeana bali hutengenezwa kwa mfumo wa kimkakati. Ni katika...
  16. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Lema ni sahihi kabisa, ugali pia unadumaza akili

    Alichokisema Lema hakina tofauti na alichowahi kusema Alfredo Bowman aka Dr Seby (huyu dr alivumbua tiba nyingi za asilia C.I.A wakamfyeka) kuhusu Ugali Dr Sebi alishawahi kusema kuwa Ugali sio nzuri hata kidogo unadumaza akili na ni chakula.cha kimasikini kabisa kutwa kucha ugali wa dona akili...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa CHADEMA, Godbless Lema kuwa Mjumbe wa Kamati yake Kuu ya Taifa, nashauri avuliwe ujumbe haraka sana!

    Ndugu zangu Watanzania, Kamati kuu ya chama chochote kile ndio chombo Cha juu kabisa Cha kimaamuzi, ndio Taswira ya chama husika,Ndio Nembo ya chama,,Ndicho kitoacho muelekeo na misimamo yake, Ndio Nguzo ya chama,Ndio Tumaini la Chama,Ndio Ngome ya chama,Ndio moyo wa chama wenyewe, ndio kioo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Lema tunajua wanaokulipa, soko la Tanzanite halitarudi Arusha kamwe

    Mirerani. Mbunge wa Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema kutokuhadaa wafanyabiasha wa madini ya tanzanite wa kutwa soko la madini hayo litarudishwa jijini Arusha, akisema kiongozi huyo anadandia treni kwa mbele. Lema...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema na kitabu Nchi ya wasioona(The country of the blind)

    Kulikuwa na hekaya kuwa huko juu milimani kuna bonde ambalo wakazi wake wote ni vipofu. Siku moja mpanda milima mmoja kwa bahati mbaya aliteleza na kuporomokea kwenye bonde refu sana. Bonde lililokuwa limezungukwa na milima iliyosimama wima pande zote. Bahati akakuta kuna watu wanaishi...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nitaenda gerezani kumtembelea Sabaya

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema “Nitaweka presha kubwa kila mahali waliofanya makosa wakishirikiana na Sabaya nao wahojiwe au Sabaya aachiwe.” “Mbona Serikali inachagua, kama ni hivyo basi...
Back
Top Bottom