Lema apewe heshima ya kuwa mtabiri wa taifa kisiasa

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Wakati anafanya shughuli zake bungeni huwa anaongea mengi sana.

Kati ya anayo yaongea mara nyingi huwa yanageuka kuwa ya kweli na kuonekana na kila mtanzania.

Haya ya kuuzwa au kumilikishwa kwa rasilimali za taifa iwe pale Ngorongoro na bandari zetu kumbe tayari mh Lema alisha yazungumza pale bungeni.

Ili taifa letu lisiwe linaingia kwenye misukuko suko kama ya bandari na Ngorongoro basi nashauri wampatie nafasi mh Lema awe ndiye mtabiri mkuu wa mambo ya kisiasa.

Naomba kila Mtanzania amsikilize mh Lema kwenye hii video fupi ataelewa nini namaanisha.

Unajua ukifuatilia hoja za lema na wapinzani wengine bungeni utagundua wanahoja za msingi san! Sa mi najiuliza kuna vidampa wanampiga vita lema mno. Hebu sikiliza tu hoja yake hapo juu ndipo utaamin wabunge wa CCM ndio tatizo pale bungeni.
 
Unajua ukifuatilia hoja za lema na wapinzani wengine bungeni utagundua wanahoja za msingi san! Sa mi najiuliza kuna vidampa wanampiga vita lema mno. Hebu sikiliza tu hoja yake hapo juu ndipo utaamin wabunge wa CCM ndio tatizo pale bungeni!!
Hilo halina ubishi na naamini kabisa hata viongozi wakuu wa ccm wanajua fika kuwa wabunge wa ccm wapo pale kupokea posho tu
 
Huyu enzi zake alimtukana sana jk na kudai eti ni raisi wa awamu moja na lowasa alivyojiunga na chadema akasema ccm inakufa mikononi mwa jk, kilichotokea wao wakahama hadi nchi na jk ndio huyu hapa jadi leo kuwa smart sio lazima ubwabwaje sana
 
Kwa upinzani huu wasipobadilika ccm atatawala milele vyama vyenyewe vingi vimekuwa kama saccos ya mtu havina sura ya umiliki wa wanachama, sasa mtu na akili zako ukabidhi nchi kwa watu kama hao si mara elfu ccm tu
 
Wakati anafanya shughuli zake bungeni huwa anaongea mengi sana.

Kati ya anayo yaongea mara nyingi huwa yanageuka kuwa ya kweli na kuonekana na kila mtanzania.

Haya ya kuuzwa au kumilikishwa kwa rasilimali za taifa iwe pale Ngorongoro na bandari zetu kumbe tayari mh Lema alisha yazungumza pale bungeni.

Ili taifa letu lisiwe linaingia kwenye misukuko suko kama ya bandari na Ngorongoro basi nashauri wampatie nafasi mh Lema awe ndiye mtabiri mkuu wa mambo ya kisiasa.

Naomba kila Mtanzania amsikilize mh Lema kwenye hii video fupi ataelewa nini namaanisha.

View attachment 2748698
Kweli alikuwa Mwana wa Mungu........ni maneno ya Myahudi mmoja hivi.
 
Back
Top Bottom