godbless lema

Godbless Jonathan Lema (born 26 October 1976) is a Tanzanian Chadema politician and Member of Parliament for Arusha City constituency from 2010 to 2015. He was also a candidate for the same constituency in the 2015 general election which was conducted on 25 October 2015. However, the parliamentary election for Arusha Constituency had to be postponed following the death of Estomoh Malya who was the parliamentary candidate for the Alliance for Change and Transparency, a newly established opposition political party in Tanzania.
The by-election was scheduled for 13 December 2015 and Lema was expected to win since Arusha is one of the Chadema strongholds. In the October 2015 general election, his party won 23 out of 24 members of the Arusha City Council. Lema has been vocal and well known following his activists politics against the ruling Chama cha Mapinduzi. He led a number of political rallies and protests against the government and CCM, some of which resulted in serious injuries and deaths after fierce police confrontation. However, his leadership increased Chadema popularity in the Northern City of Arusha and for the first time, its council is led by the opposition.In 2020 he moved to Canada as a refugee, after being arrested without cause in a government crackdown on the opposition Chadema party following the 2020 Tanzanian general election.

View More On Wikipedia.org
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema alikuwa mwanachama wa NCCR !

    Wafuasi wa CHADEMA asilia wanaikumbusha jamii kuwa Godbless Lema ni muhamiaji tu ndani ya Chadema. Hivyo hana haiba ya kuwasumbua wana CHADEMA original. PIA SOMA - LGE2024 - Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima
  2. R

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: sheria na utawala bora ukivurugwa hakuna yeyote atakayesalimika

    Waliofariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo, hawakuwa kwenye maandamano , lakini katika maeneo yao ambayo standard ya ujenzi imekuwa compromised ! My take: Ni ngumu kuona connection ya andiko la Lema huko X , kati ya haya yanayotokea Kariakoo na utawala bora, utawala usio fuata sheria...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amshushia tuhuma nzito Benson Kigaila

    Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kaskazini bwana Godbless Lema amemrushia tuhuma nzito makamu mwenyekiti wa Chadema bara bwana Benson Kigaila kuwa amehusika kuandaa kundi la wahuni lililoenda kufanya vurugu kwenye uchaguzi wa Chadema mkoani Arusha. Bwana Lema amemuonya bwana Benson Kigaila kuwa...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima

    Wakuu, Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Godbless Lema amesema kuwa haamini kama ACT Wazalendo wana uwezo wa kufikisha au kusimamisha wagombea zaidi ya 2000 nchini. Soma pia: Lema wa CHADEMA afichua madudu mazito kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema ahoji usahihi wa takwimu za uandikishaji zilizotolewa na Waziri Mchengerwa "Nahisi ameshirikiana na mke wake"

    Godbless Lema, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, amemkosoa Waziri Mchengerwa kuhusu takwimu za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Lema amesema kuwa Waziri Mchengerwa alitangaza idadi ya waliojiandikisha kupiga kura Dar es Salaam kuwa milioni 3.483...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Gambo: Ilibidi tumtumie mke wake ndio Lema akakubali kujiandisha, hamasa yetu imefanikiwa

    Wakuu, Ila CCM bana, sasa hili nalo ni jambo la kuita media na kuanza kubwabwaja? Mko na ujinga mwingi! Haya, wacha tuendelee kuangalia maigizo. "Lema mwenyewe amejiandikisha jana na makelel yote yale, ilibidi mpaka tumtume mtu akamtumia ujumbe mke wake ili kumkumbushe ajiandikishe. Hamasa...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo: Lema aliniomba nimsaidie kuingia CCM

    Wakuu salam, Msikilizeni Gambo hapa, eti hii ilikuwa siri baina yao, lakini Lema kasababisha hadi Gambo kaitoa nje!
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!

    CPA Amos Makalla ametoa angalizo kwa vyama vya upinzani hususan CHADEMA kuwa kimeanza kutafuta visingizio vya kishindwa uchaguzi wakati ambapo hakijajiandaa kabisa na uchaguzi. “unachokipanda ndicho unachokivuna wenzetu wameanza kulalamika tulitegemea haya mana hawakujipanga Sisi Viongozi wote...
  9. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema, mlishatwambia kuwa kushiriki chaguzi kwa sheria hizi za sasa ni Ujinga

    Ndugu Lema, nakusabahi Miaka michache iliyopita, wakati ukiwa Canada, na Lissu akiwa ubelgiji mlikuwa mkitoa elimu nzito kuhusu demokrasia na mambo ya uchaguzi. Miongoni mwq elimu nzito mlizokuwa mkitoa ni kuwa, haiwezekani uchaguzi nchini ukawa huru na wa haki kwa katiba na sheria hizi. Kwa...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lema wa CHADEMA afichua madudu mazito kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Asema Serikali inaiba Uchaguzi

    Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akiongea na wanahabaru hivi karibuni amezungumzia namna ambavyo kumekuwa na hujuma kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa. Lema amesema kuwa kuna baadhi ya viongozi wa serikali wanafanya mbinu ikiwemo...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema: Kata ya Igama Walimu wanawaambia Wanafunzi wasio na vigezo wajiandikishe

    Godbless Lema kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa X anaandika na kuweka video inayodaiwa kuwa wanafunzi wa kata ya Igama (Njombe au Morogoro) wameagizwa na Walimu wao kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyia November 27, 2024. Tazama video hapo Juu. Post ya Lema hii...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema: Land Rover Festival ni mkakati wa watu wasijiandikishe

    Uandikishaji kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa umeanza rasmi leo, tarehe 11 Oktoba, 2024, na utaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Hatua hii inampa fursa kila Mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema: Kanuni za Uchaguzi 2024 ni za Kihuni, Hatuwezi Kususa, Kamati Kuu Imeazimia Kupambana na Kushinda Uchaguzi

    Godbless Lema, kiongozi wa CHADEMA, amefichua mazungumzo yaliyofanyika katika kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Akidai kuwa kama CHADEMA wapo tayari kupambana na...
  14. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa Hotuba yako Godbless Lema, Mungu akupe maisha marefu usipungukiwe kiroho

    Leo Tarehe 20-09-2024 NDUGU Godbless Lema Amefanya mapitio ya maudhui na ujumbe wa Rais Hassan wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu Godbless Lema ametoa hotuba nzuri sana, na hapa niwape tahadhari wana CCM wenzangu umoja wetu uliotukuka ni Utanzania wetu na Ubinadamu wetu. Sisi sote ni NDUGU hii ni...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lema: Nimeisikiliza hotuba ya Rais mara tano, Nitarudi na majibu baada ya tamko la Chama

    Tuko kwenye vikao vya Kamati Kuu vya Chama Dar es salaan. Nimesikiliza hotuba ya Mheshimiwa Rais mara tano. Nashukuru Mungu nilirudi nyumbani nikawakuta wazazi wangu wakiwa hai na walifurahi sana. Nitajibu baadhi ya maeneo baada ya tamko la CHAMA. Soma Pia: Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya...
  16. Tarishi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ana PHD ngapi mpaka awe mjuvi wa kila jambo duniani?

    Hivi majuzi nimesoma post ya mtu anayeitwa Julius Mtatiro (siku indie Mhe DC ama majina yamefanana) amepost hio post huku pembeni yupo Godbless Lema Mbunge Mstaafu wa Arusha. Baada ya kuisoma post hiyo nikajipa assignment kufuatilia platforms zote za Mbunge Mstaafu wa Arusha, nikajikuta nastuka...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amwelekeza Hamad Masauni kutokuhudhuria Mazishi ya Watu Wanaotekwa, atahadharisha kwamba inaweza kusababisha Maafa Mengine

    Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao. Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea. Hamad Masauni amezomewa na...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema aulizia namna mtu aliyetekwa anavyoweza kumthibitishia Jaji kwamba ni kweli katekwa

    Nabii wa Mungu Godbless Lema amehoji namna ambayo Mtu aliyetekwa anavyoweza kukurupuka kutoka mikononi mwa Watekaji ili kuja Mahakamani kumthibitishia Jaji wa Mahakama ya Tanzania kwamba ni kweli katekwa, ili Jaji huyo awaamuru Watekaji wamuachie. Hoja hii kabambe ya Nabii huyo wa Mungu...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: CCM kukataliwa mkutano wao Ngorongoro ni Maigizo

    “Kwenye suala la Ngorongoro, ilitakiwa twende huko kesho Ijumaa kwenye Mkutano, tuliomba mikutano mitatu, Makalla (Mwenezi wa CCM Taifa) alivyoona akatoa ratiba ya mkutano, nikamwambia Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini kuwa Makalla ameitoa hiyo ratiba makusudi, hawa wana mpango wa kutunyima...
  20. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema azungumzia matukio ya utekaji na Wamaasai kuondolewa Ngorongoro; Atamani Simba na Yanga zisingekuwepo

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless amesema "ameona juzi kuna mbunge ndani ya Bunge ametaka Bunge lijadili masuala ya watu kupotea na kutekwa, spika anazuia mjadala wa watu kutekwa, lile halina uhalisia wa bunge. Huwezi kuwa na bunge ambalo...
Back
Top Bottom