godbless lema

Godbless Jonathan Lema (born 26 October 1976) is a Tanzanian Chadema politician and Member of Parliament for Arusha City constituency from 2010 to 2015. He was also a candidate for the same constituency in the 2015 general election which was conducted on 25 October 2015. However, the parliamentary election for Arusha Constituency had to be postponed following the death of Estomoh Malya who was the parliamentary candidate for the Alliance for Change and Transparency, a newly established opposition political party in Tanzania.
The by-election was scheduled for 13 December 2015 and Lema was expected to win since Arusha is one of the Chadema strongholds. In the October 2015 general election, his party won 23 out of 24 members of the Arusha City Council. Lema has been vocal and well known following his activists politics against the ruling Chama cha Mapinduzi. He led a number of political rallies and protests against the government and CCM, some of which resulted in serious injuries and deaths after fierce police confrontation. However, his leadership increased Chadema popularity in the Northern City of Arusha and for the first time, its council is led by the opposition.In 2020 he moved to Canada as a refugee, after being arrested without cause in a government crackdown on the opposition Chadema party following the 2020 Tanzanian general election.

View More On Wikipedia.org
  1. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Msikilize Godbless Lema na suala zima la Ngorongoro na uhifadhi kwa ujumla. Nchi ina viongozi wajinga sana

    Hii nchi tuko hapa tulipo kwa kukosa maono, nchi inaendeshwa kihuni sana. Ukiangalia swala la Ngorongoro ni uhini mtupu pale. Unawafukuza wamasai wenye nyumba za majani unaruhus7 wawekezaji kujenga Mahoteli ya gorofa pale.
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

    Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu. Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika, "Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea...
  3. Ileje

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Ningekuwa Rais nchi hii ningeondoa Hotel zote porini

    Mwenyekiti Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati kuu - CHADEMA Godbless Lema amesema kama yeye angekuwa Rais wa Tanzania basi angeondoa hotel zote zilizojengwa porini. Kama serikali ingefikiria kama Lema kusingekuwa na mgogoro baina ya serikali na wamasai Ngorongoro. Soma Pia: Rais Samia...
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Godbless Lema asema mgogoro wa Ngorongoro umepandikizwa na wafanyabiashara wa utalii kutoka Kenya

    Godbles Lema awachana wamasai, amesema ana taarifa kuwa wanatumiwa na wafanyabiashara wa Kenya. Nimependa sana ujasiri wa Lema, kuwa mpinzani siyo kukataa kila kitu. Suala la Ngorongoro limeileta nchi pamoja, hata wapinzani wameungana na Serikali.
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Vijana wa CHADEMA wamekamatwa mkoani Iringa wakiwa safarini kuelekea Mbeya

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema kundi la Vijana wa Chadema wakiwa njiani kuelekea Mbeya wamezuiwa na Polisi mkoani Iringa Lema amesema Gen Z hao wanaelekea mkoani Mbeya kwenye mkutano Lema ametoa taarifa ukurasani X.
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msigwa: Bwana Mkubwa ana historia ya kuondoa wanaomfahamu. Orodha ilitajwa kuwa lazima Msigwa, Lissu, Lema na Heche waondoke

    Akihojiwa na Mwanahalisi Digital, aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa kuna orodha kabisa imewekwa ya Watu wa kuondoka ambapo yupo Msigwa, Lissu, Lema na Heche kwa sababu ni watu wana uelewa na wanahoji Amesema Wakati...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ang'ara tena, Utabiri wake waendelea kuthibitishwa

    Hakuna haja ya maneno mengi
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya taifa namuunga mkono Godbless Lema katika hili alilosema.

    Lema yuko sahihi 100%. Suala la wadudu ni kama laana kwa Arusha na nchi nzima. Wale wadudu wana future yenye giza tupu. Wengi wao walitakiwa wawe masomoni ila ndo hivyo hakuna mwelekeo wowote. Ukitoa kazi ya bodaboda ni ngumu sana MDUDU kufanya kazi nyingine. Bahati mbaya wengi wao wanakufa mno...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema aomba radhi kwa kauli aliyotoa dhidi ya mke wa Nape lakini ashikilia msimamo wake juu ya kauli ya Nape

    Ameandika Lema katika mtandao wa X: "Jana wakati nakemea kauli yako katika mkutano wa hadhara Murriet Arusha dhidi ya kauli yako na mipango yenu ya KIPUMBAVU juu ya wizi na uporaji wa kura katika chaguzi zinazokuja, nilijikuta natoa mfano mkali ambao umemgusa bila shaka Shemeji yangu mpendwa...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya pikipiki Arusha yanasimamiwa na chombo gani cha michezo?

    Ameandika Godbless E. J. Lema kwenye mtandao wa X kuwa:- "Naambiwa vijana wengi leo wa boda boda wamepata ajali mbaya ktk mashindano haya na wengine watatu wamefariki wakitokea ktk mashindano hayo huko Ngaramtoni leo. Zuieni huu UPUUZI ambao hautazamani wala kuzingatia regulation zozote za...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Siwezi gombana na Lema, mama yake atanipigia Simu

    Kuna watu hapa hawasalimiani, Lema mpaka anakimbia anaogopa kugombea kanda, shughuli ya mitandaoni hiyo, katandikwa mtandaoni mwenyekiti wa kanda mwenye mamlaka ya kanda yake, kiongozi wenu, wako viongozi ambao ni wa kawaida kabisa wa majimbo, wa wilaya, wananchama wa kawaida wanaweza...
  12. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema ajitoa kwenye mbio za kugombea Uenyekiti Kanda ya Kaskazini

    Hii ni kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa leo kupitia mtandao wake wa kijamii --- Kwa ajili ya ustawi wa chama changu na uimara wake ktk kujenga misingi bora na muhimu haswa ktk kipindi hiki tunachoelekea ktk uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na uchaguzi Mkuu 2025...
  13. Kamakabuzi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ni mzushi

    Nimeona kwenye mtandao wa X Lema amepost kitu ameita " sielewi kabisa" . Uchonganishi aliopost huu hapa https://twitter.com/godbless_lema/status/1788569776366723518/photo/1
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi na Godbless Lema Watikisa Moshi Mjini

    Mtikisiko huo kabambe umetokea kwenye Mkutano wa hadhara uliovurumishwa mjini humo Ajenda kuu ya mikutano ya sasa ni kuwaamsha Wananchi kudai haki zao ikiwemo Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa kushiriki Wiki ya Maandamano Huku wananchi wengine wakiendelea kusisitiziwa kwamba SHETANI...
  15. Etwege

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema anza mazoezi ya jinsi utakavyorudi Canada, ubunge umeota mbawa

    Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema. Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake. Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha mjini CCM twende na nani kwenye ubunge 2025?

    2025 iko pale kwenye kona je, wapiga kura wa Arusha mjini tumeshatafakari wa kwenda naye kwenye uchaguzi dhidi ya Godbless Lema. Huko CHADEMA inajulikana kuwa ni mgombea wao wa Ubunge ni Lema. Mchakato wao wa kumpata mgombea Ubunge huwa ni kiini macho tu. Tayari mgombea wao ni Lema na hata yeye...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Godbless Lema na Clouds FM yamehairishwa

    Clouds FM imetangaza kuwa yale Mahojiano yao na Godbless Lema yamehairishwa. Clouds FM wamsema mahojiano hayo yamehairishwa baada ya Godbless Lema kupatwa na dharura hivyo kuomba mahojiano hayo yasogezwe mbele Pia Soma: Godbless Lema kutikisa Power Breakfast
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema kutikisa Power Breakfast

    Nabii wa Mungu , ambaye pia ndio mbunge ajaye wa Arusha Mjini , Godbless Lema atakuwepo Clouds FM kwenye kile kipindi chao kinachoitwa Power Breakfast . Nabii Lema ambaye hakuna unabii wake ambao haukutimia anatarajiwa kuleta unabii mwingine ambao hautachukua muda mrefu kabla ya kutimia , ni...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Vitisho vya Godbless Lema kwa wafanyabiashara ni aibu tupu

    Na Joseph Maziku, Arusha Mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mbunge wa zamani wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema ameingia katika rekodi nyingine ya kushangaza kutokana na utaratibu anaoutumia kuomba michango ya fedha kutoka kwa wafanyabiashara Jijini...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Ujumbe wa CDF ulikuwa unamlenga zaidi Rais kuliko Wakimbizi aliowazungumza

    Godbless Lema akizungumza kupitia Star TV amezungumzia kuhusu kauli ya CDF kuhusu Wakimbizi kadhaa kudaiwa kupewa ajira Serikalini na wengine kuteuliwa Serikalini katika nafasi za juu.
Back
Top Bottom