gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Mmeona meseji ya kupunguza gharama za tozo/makato twa mitandao ya simu?

    Uchaguaji huja na mambo mengi MNO...mnaumizwa kwa miezi kadha wa kadha af mnapozwa kwa miezi kadhaa....ULIMBO HUU bwana Migulu kashakaa kuseti majambo😄😅
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ili kuepuka gharama na kutoa fursa ya kupumzika, nashauri hii kesi iwe inaahirishwa kwa muda wa miezi miwili

    Hiyo itatoa muda muafaka kwa Kila upande kujiandaa na hivyo kutoa hukumu kwa muda muafaka. Nikiongezea hapo, nashauri hii kesi ya uhaini inayoendelea ikamilike ifikapo mwezi wa nne (Aprili) mwakani kwa utaratibu huu mpya ninaouomba (yaani kwa maghairosho ya miezi miwili miwili). Kwa maneno...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Gharama za kutuma hela ni kubwa sana

    Yaani laki 2 ya kutoa ni 6,000 ? Aisee tuacheni kutumia haya mambo ni gharama sana kutuma pesa kwa mitandao
  4. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Kisasa ya Contemporary: Mvuto wa Decor bora, tatizo ni Gharama!

    PROJECT COMPLETED KAMA UNAHITAJI KUJENGEWA/DESIGN CALL US +255624004640
  5. stabilityman

    JamiiForums Tanzania nimepata swali inbox Engineer samahani ningependa kufahamu utofauti wa gharama uliopo kati ya hidden roffing na roffing za kuonekana

    Hakuna haja ya kuomba radhi—swali lako ni la msingi kabisa! Tofauti ya gharama kati ya “hidden roofing” (paa lililofichwa) na paa la kawaida (linaloonekana) inategemea mambo kadhaa, lakini hapa kuna muhtasari wa tofauti kuu: * Hidden Roofing (Paa lililofichwa)* Faida za gharama: Hupunguza...
  6. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Fuatilia gharama za hii airbnb appartments tunayoendelea kuifanya moshi yenye 2 units each 2 bedroom, high ceiling lounge +255624004650

    🏠 HOUSE DESCRIPTION (2 UNITS) Each unit includes: 🔹 Ground Floor: Lounge, Dining, Open Kitchen, Public Toilet 🔹 First Floor: Family Room with Balcony, 2 Master Bedrooms 💰 COST BREAKDOWN PER PHASE: Foundation – TZS 32,000,000 Wall & Column (Ground Floor) – TZS 15,000,000 Slab – TZS 41,000,000...
  7. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hii Nyumba nimeijenga Dodoma nzuguni Juni 2025, fatilia ujue gharama tulizotumia

    nyumba ina vyumba 3 vya kulala chumba kimoja master vyumba 2 vya kawaida seble dinning jiko store public toilet nyumba ina mita 11 kwa 9.5 ukitaka tukujengee nichek 0743257669
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais hizi ni gharama za nyumba ambazo watauziwa wananchi hii ni proposal tu

    Nikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha makazi ya watanzania yanakuwa mazuri na katika ubora unaotakiwa Barabara zote zitakuwa kubwa na zitapigwa lami Kukiwa na mipango miji kutakuwa ni rahisi kupigwa paving Kutakuwa na mfumo wa Sewage watu hawatachimba tena mashimo Nyumba zote...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanataka kufahamu gharama za uchimbaji kisima Cha kisasa

    Wadau wengi Sana wanakutana na changamoto ya maji katika MAENEO yetu na wengi wanatamani sana kuchimba kisima Cha kisasa ila hawajafahamu gharama na taratibu zake ✅Taratibu ya kwanza ni kufanya survey kitaalam inaitwa geophysical survey yaan mtalaam kuja eneo lako kujua Je maji yanapatikana na...
  10. D

    JamiiForums Tanzania VODACOM Unlimited Internet kwa gharama ya TSh. 70,000/= 10Mbps speed

    Kwa watu wa zanzibar naunga unlimited internet ya Vodacom postpaid kwa gharama ya Tsh.70000 (elfu sabini tu) kasi yake ni 10Mbps (postpaid) Kwa mara ya kwanza utalipia Deposit 140000 hapa unapewa na device ya 5G au 4G na device unapata papo hapo ukilipia haina kusubili Kwa wale wa bara...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ulipaji wa gharama za kuagiza gari toka nje ya nchi

    Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada na kutoa ufafanuzi yakinifu kuhusiana na ulipaji wa gharama za kuagiza gari Toka nje ya nchi. ULIPAJI wa gharama za uagizaji wa gari Toka nje ya nchi huwa upo wa aina mbili. Aina ya kwanza ni kulipa kiasi chote Kwa pamoja yaani full...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je kwa nini mavazi ya mtoto wa kiume ni gharama sana?

    Hongereni wale wote mnaotumikia taifa, hasa kupitia familia. Endelea kuwa Nuru kwa familia yako Kinsingi, Hhakuna tofauti ya bei kwa mavazi ya mtoto wa kiume (hasa walioanza kutembea) na bei ya mavazi ya baba zao. Mtoto akivaa jeans, t-shirt na kiatu akapendeza, bajeti yake inamtosha pia baba...
  13. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Siku hizi tumeamua kukinunua kifo kwa gharama zetu wenyewe

    Katika jamii zetu kumekuwa na visa vya mara kwa mara vya ajali za moto na watu kupoteza maisha hatuwezi kupingana na husemi husemao kuwa hakuna ajuaye siku ya kifo chake yawezekana ikawa ni baadae kidogo au ata kesho Lakini je hivi vifo vingine vinavyotokea katika jamii haviwezi kudhibitiwa...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Watanzania wako tayari kuchangia harusi, sio gharama za matibabu ya Mtoto - Dtk. Mollel

    Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya kama njia ya kujiandaa na changamoto za kiafya, ikiwemo gharama kubwa za matibabu ya magonjwa kama saratani. Wito huo umetolewa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, alipokuwa akijibu swali...
  15. Frank Mazagazaga

    JamiiForums Tanzania Tengeneza Incubator Yako kwa gharama (W1219 Digital Thermostat) – Step by Step na Msaada Bure!

    Habari wana Jamii Forums, Kama wewe ni mfugaji wa kuku au unapenda kujaribu idea mpya ili kukuza ufugaji wako kuwa wa kibiashara inayolipa, basi hii post ni kwa ajili yako. Leo nakushirikisha kuhusu kifaa kinachoitwa W1219 Digital Temperature Controller — ambacho kinasaidia sana kutengeneza...
  16. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Kwanini mashine za NMB na CRDB wakala ni gharama hivyo?

    wakuu nimeenda benk kwa ajili ya kupata hizi mashine. Bei zake zimeniacha hoi hadi najiuliza n kukomoana au kupunguza watu
  17. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Hizi ni gharama za kutoka na mchepuko

    GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO 1.Usafiri 10,000 2.Chumba Lodge 30,000 3.Chakula + Vinywaji 30,000 4.Asante Kwa Kuja 50,000 Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
  18. W

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupiga rangi gari ni kiasi gani na itachukua muda gani ?

    Aina ya Gari ni Toyota Premio Body uya gari ipo fresh kabisa Gari lilikuwa limekaa miaka mitatu bila kutumika, rangi imefubaa. Makadirio ni bei gani, inaweza chukua muda gani, tagadhari, n.k.
  19. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni Jumamosi nyingine, siku nyingine wanaume wapumbavu kwa gharama wanaoa wanawake waliotumika

    Ni Jumamosi nyingine tena mamia ya maelfu ya wanaume wajinga duniani kote wanawafanya wanawake used kuwa wake zao kwa sherehe za mamilioni ya pesa. Wanaume kadhaa walishaichapa bure kabisa na wanajua kuwa she ain't valuable for marriage. Ila kuna simp leo anamfanya kuwa mke na kuspend millions...
  20. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
Back
Top Bottom